Salaam wakuu
Poleni namajukum yakutwa
Naimani sote tuwazima nandivyo
Niombavyo
Naimani humu ndani kuna wapenzi nawadau wasoka
Wengi sanaa naomba kwa eshima na taadhima niweze kuleta ombi...
Kwa mara ya kwanza Tanzania imepangwa kwenye kundi" jepesi" .Kwa maana ya Uganda, Cape Verde na Lesotho. Mara zote tulikuwa tukipangiwa vigogo wa soka Afrika.Tushindwe wenyewe. Njia nyeupe kwenda...
Hii ilikuwa huko Iringa,Refa msaidizi alipoamua kuwatandika vichwa wachezaji "jeuri" waliotaka kumpiga muamuzi wa kati kwa madai kuwa anapeleka mambo kwa upendeleo.
Wachezaji hawa wawili walikula...
Kocha wa Taifa Stars ametangaza kikosi chake kitakachoivaa Zimbabwe katika mechi ya kirafiki huku Simon Msuva akiwa mchezaji pekee kutoka Yanga.
Mkwasa amewachota viungo wapya ambao wengi wao...
Mchezaji wa Yanga, Simon Msuva ametangazwa kuwa mchezaji bora kwa mwezi Oktoba akiifungia timu yake magoli manne na kutoa pasi 5 za mwisho na kuisaidia timu yake kukusanya jumla ya alama 14 katika...
Kitendo Cha Timu hizi Kuogopa mechi kati yao na Mabingwa Wa Afrika no kigezo tosha kua timu hizi hazipo kwenye Level za kimataifa ktk medani ya Soka!
Wapo kitaifa zaidi na kulewa ushabiki Wa...
Aliyejiuzulu nafasi ya Ukocha wa timu ya taifa ya Tanzania(Taifa Stars) Charles Boniface Mkwassa ameteuliwa kuwa katibu mkuu Yanga Afrika.
=======
Mkwasa aula Yanga, atoa neno
Klabu ya Yanga...
Soka la Tanzania na Afrika kwa ujumla ni kituko linapokuja suala la umri. Wachezaji wengi wamekuwa wakiongopea sana kuhusu umri wao halisi.
Wapo wachejazi wakubwa na wanaoheshimika ambao...
1: Paul Pogba – £290k a week
2: Wayne Rooney – £260k a week
3: Zlatan Ibrahimovic – £250k a week
4: Sergio Aguero – £240k a week
5: Yaya Toure – £220k a week
6: Eden Hazard – £200k a week
7: David...
Kwa wale wanaofatilia vizuri AFCON mechi ya leo ile ya awali kati ya Ghana na Kongo refaree B. Camille wa huu mchezo amewapa penati "NYEPESI" Ghana na kufanya washinde kwa mbeleko ya huyo refa...
Wakuu wasalaam,
Kwa heshima na taadhima naomba kuuliza kwa mwenye kufahamu hii kitu leo nilikuwepo uwanja wa taifa kushuhudia mechi ya Yanga na Mwadui nimeona ajabu timu kubwa kama Yanga...
Nionavyo tu!
Kusimamisha Ligi( Kusimamisha baadhi ya michezo ya LigiKuu) hasa ya Simba SC na Yanga Sc ili kupisha ombi la Klabu ya Afrika Kusini (Ambao ni Mabingwa wa Afrika) si uungwana...
Baada ya Simba SC kugongwa jana na Azam FC (Lambalamba), leo hii machampioni wa kabumbu Tanzania watakuwa na kazi moja tu, kuwathibitishia Simba kuwa nafasi yao ni mkiani!
Tuwe pamoja mwanzo...
Simba tualinza vzr lakn mwishoni mwa raundi ya kwanza tukaanza kuharibu.
Ile kasi ya mwanzo sasa sioni tena.
Kwenye kombe la mapinduzi tualianza vizuri lkn baadae tukaanza kuchechemea.
Niseme...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.