Wakuu Leo kama mnavyofahamu Mnyama wa Msitu Mnene Simba SC anaenda kukipiga na Wana Rambaramba katika mechi yake ya 20 ya Ligi Kuu ya Vodacom. Mchezo utachezwa uwanja wa Taifa. Mechi ni saa 10...
Kwa wale wanaofatilia vizuri AFCON mechi ya robo fainali ya tarehe 29 january 2017 ile ya awali kati ya Ghana na Congo refa B. Camille wa huu mchezo amewapa penati "NYEPESI" Ghana na kufanya...
Wameanza rasmi kuitafuta namba 3 yao. All the best ninyi!
Na nyie mliozoea namba moja naona mmeshaishika, kama kawaida yenu mtuambie kabisaa mkishinda mechi ngapi vile inakuwa ndio basi tena...
Habari za muda huu ni kuwa uwanja unaotumiwa na timu ya Manchester united unaungua moto.
Moto huo umeanzia katika majukwaa ya Sir Bobby Charton na fire fighters wako tayari katika eneo la tukio...
Binafsi nashindwa kuwaelewa Azam hasa katika akaunti yao ya Instagram. Huwa wanaandika mechi inachezwa saa 10:30 wakati kiuhalisia inaanza saa 10:00 na pia wakati mwingine kuhusu Uwanja mechi...
Kwa siku kadhaa nimekuwa bize kiasi cha kuishia kusikiliza mechi mpila kwenye radio
Kiukweli nimekuwa nikiinjoi kwa kiasi kusikiliza mpila ukitangazwa na BBC SWAHILI,
Shida ni pale ninaposikiliza...
CLOUDS FM
RUFAA YA POLISI DHIDI YA SIMBA SC
SURA YA KUMINAMOJA (UTHIBITI WA WACHEZAJI)) KOMBE LA SHIRIKISHO AZAM SHERIA INASEMA KANUNI ZITATUMIKA KAMA ZA LIGI KUU
MCHEZAJI ATAKAEPATA KADI MBILI...
Michael Jordan Pays Tribute To Serena Williams After Her Historic Victory
Serena Williams took home a historic 23rd Grand Slam title tonight in Melbourne, and one of sports' biggest legends had a...
Shirikisho la soka Tanzania(TFF) limetupilia mbali rufani ya klabu ya Polisi Dar dhidi ya klabu ya simba ktk kombe la FA kwa madai kwamba haikuambatana na ada ya rufaa. Polisi ilikata rufaa kwa...
ulikuwa mchezo wa FA kati ya simba na coast union
Katika dakika ya 84 Shiboli akiwa anaenda kumsalimu kipa wa Simba SC beki wa Simba SC Novati Lufunga alimfanyia madhambi na mwamuzi wa mchezo huo...
Mi ni msanii chipukizi naimba hip hop, Rap
Na pia ni mwandishi mzuri wa mashairi, ya RNB.
Kama utaitaji kunimanage ili tufanye kazi tuwasiliane
Email:Silverjoseph3@gmail.com...
Kwa mujibu wa Takwimu kuna waamuzi & ambao walichezesha Mechi ambazo Yanga walicheza na Timu kadhaa na Matokeo yalikuwa ni yenye Utata.
kwa wanaofaham mpira. hakuna usajili mtu anaoweza ufanya...
Mtandao wa National News wa Kenya umeandika kuwa Yanga ipo kwenye mchakato wa kumsajili mchezaji wa Togo aliyekuwa anachezea Arsenal Emmanuel Adebayor
Eti inasemekana kuna mazungumzo yanaendelea...
Binafsi sina budi kusema ligi ya Uingereza ndio kipimo sahihi cha wachezaji na Makocha duniani ni kama vile mitihani ya Darasa la 4 au form 2 ukiweza kufaulu basi umeingia darasa lingine ukifeli...
*C.Ronaldo in 2016*
[emoji471] UEFA UCL
[emoji471] UEFA Golden boot
[emoji471] UEFA Euro Cup
[emoji471] EURO Cup Silver boot
[emoji471] WORLD SOCCER best player
[emoji471] GOAL world best player...
Timu ya Taifa ya Vijana chini ya umri wa miaka 17, Seerengeti Boys sasa njia yao ni nyeupe kushiriki michuano ya mataifa ya Afrika kwa vijana (U-17) baada ya mchezaji wa timu ya Congo, Langa Bercy...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.