Jana usiku ulikuwa mchungu kwa jamaa mmoja aliyekuwa katika chumba cha kuchezeshea kamari "Betting"eneo la Magomeni kagera.
Akiwa anafuatilia mpambano kati ya Sevilla vs Real Madrid aliweka...
Kiungo mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Al
Ahly na Misri, Mohamed Aboutrika ameongezwa
kwenye orodha ya magaidi nchini Misri kufuatia
kutuhumiwa kuwa na uhusiano na kikundi cha
Muslim...
Wadau wa Msimbazi vipi tena..... mbona kimya??
====
Mpira ni mapumziko; Mtibwa 0, Simba 0
Kipindi cha pili mpira bado ni bila kwa bila
Mpira umekwisha; Mtibwa 0, Simba 0
Habari wadau?Kwa siku kadhaa sasa nimekuwa nikifatilia Kwa ukaribu mechi za mashindano ya soka ya kombe la afrika maarufu Kwa jina la Afcon yanayoendelea huko Gabon,nilichokigundua mpaka sasa na...
TFF nadhani mnajua kuwa Mungu wa Watanzania anawaona. Tumefika hapa baada ya Mpira kutushinda kabisa. Sasa tunatoa Bendera kwa wanaokwenda Kuburudisha na sio wanamichezo tena........ Ngashindwa...
Wakuu kama kichwa kinavyojieleza hapo juu
Tukio lililoniuma na kuona soccer ni ushenz ni kitendo cha asamoah gyan wa ghana kukosa penalty dhidi ya uruguay
Ardhi yetu wa Afrika
Mpira umebaki dk...
Shirikisho la Kimataifa la mpira wa Miguu (FIFA) limemteua Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi kuwa Mjumbe wa Kamati ya Maendeleo ya soka ya FIFA kwa miaka minne ijayo. Uteuzi...
Kuna kamchezo kaibeba simba ili wabebe ligi kuu maana ukifuatilalia toka huu mzunguko uanze kila mechi lazima aanze yanga alafu ndiyo simba afuatie kuna agenda gani inaendelea hapo?
Kocha mkongwe, Luis Van Gaal amestaafu rasmi kazi hiyo kwa sababu za kifamilia. Kocha huyu mwenye historia na rekodi kadha wa kadha.
- Katika maisha yake ya soka amewahi kuzinoa Klabu za Ajax...
Amekuwa ndiye mchezaji mkongwe zaidi kucheza katika michuano hiyo ( miaka 44 ) , mara baada ya kuchukua nafasi ya kipa no 1 aliyeumia .
Mungu mpe maisha marefu ili aendelee kufundisha vijana .
Rais wa zamani wa Shirikisho la Soka la Tanzania(TFF) Leodger Tenga ni miongoni mwa watu watatu wanaowania uongozi kwenye Shirikisho la Soka la Kimataifa(Fifa).
Tenga ambaye amewahi kuwa...
Mechi ya Yanga na majimaji ndo inaanza hapa..
Tuwe pamoja kwa updates
Dakika ya kwanza: Mchezo umeanza.
Dakika ya 2: Yanga wanafanya shambulizi kali langoni mwa Majimaji, Amiss Tambwe anaingia...
Jamani tunaofuatilia michuano ya AFCON inayokufanyika kule nchini gabon tuwe tukijadili mienendo ya mechi katika uzi huu....
Mimi binafsi nimejikuta navaa uzalendo kwa zile nchi za kusini mwa...
Moja ya mechi ya Afcon iliyochezwa leo ilikuwa ni Algeria iiyosheheni ma pro wengi dhidi ya Zimbambwe na matokeo yalikuwa sare ya mabao 2-2.
Zimbambwe ni moja ya nchi yenye uchumi mbovu...
Habari zenu wadau wa sports!
Uwanja wa taifa ni moja ya kiwanja cha kisasa na chenye hadhi ya kimataifa na katika viwanja bora barani Africa na kipo katika chati nzuri na za juu. Uwanja huu...
Nimetizama news France 24 wakimuonesha Mtanzania akivishwa medal baada ya kushinda mbio huko India but sikufanikiwa kufahamu jina lake na mbio za umbali gani nimejaribu kugoogle sijapata mafanikio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.