Baada ya mechi ya fainali ya Kombe la Mapinduzi.. zimesikika kelele nyingi za vyura toka bwawa la Jangwani zikifurahia kilichompata Mnyama.
Kelele hizi zilinifanya nirudi katika makablasha...
Ni fainali ya kihistoria leo
Simba sport Club vs Azam Football Club
Mahali: Uwanja wa Amani
Tarehe: 13 Jan 2017 Saa 2:15 Usiku
=> Azam FC mabingwa wa kombe la Mapinduzi 2017 baada ya kuifunga...
Ni katika uwanja wa Aman pale Zanzibar hatimaye maombi ya wauza magazeti wa Tanzania (Yanga) kuomba Simba ifungwe ili magazeti yao yaweze kuuzika dua hilo lilifanikiwa hapo jana ........Kwa...
Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu (CAF), limetoa nafasi ya mwisho kwa Shirikisho la Mpira wa Miguu la Jamhuri ya Congo (FECOFOOT) kumpeleka mchezaji Langa Lesse Bercy jijini...
Ni tovuti gani rahisi kutumia?
Tovuti gani inaruhusu kwa watumiaji wa hapa tanzania?
Kiwango cha mwisho cha chini kudeposit pesa ni bei gani kwa tshs
Mwisho kabisa sijawahi kucheza hii michezo...
KUELEKEA fainali ya michuano ya Kombe la Mapinduzi keshokutwa Ijumaa, Kocha Msaidizi wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Idd Nassor Cheche, ameweka wazi kuwa wanajua namna ya...
Ubingwa wa Mapinduzi unaifanya Azam FC kufikishaTAJI LA PILI msimu huu na hii ni baada ya Agosti mwaka jana kutangulia kwa kutwaa Ngao ya Jamii kwa kuifunga Yanga kwa mikwaju ya penalti 4-1...
Hatimaye klabu ya Azam ya Tanzania imethibitisha Ubabe wake baada ya kuzitandika timu kubwa za Tanzania.Azam iliibamiza kipigo cha mbwa koko Wakimataifa YANGA bao 4-0 Na Wekundu wa msimbazi Simba...
Cristiano Ronaldo is better than Messi.
"La Gazzetta dello Sport" has published a video on the website, which reveals 10 reasons why Cristiano Ronaldo is better than Messi.
Here's 10 reasons:
1...
Kama ilivyoripotiwa hapo awali, Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) baada ya kutoridhika na kujiridhisha kuwa mmoja wa wachezaji wa Jamhuri ya Congo-Brazzaville, alikiuka kanuni za...
Morgan Schneiderlin Asaini Everton na amekuwa miongoni mwa wachezaji wanne waliouzwa pesa nyingi MUFC's.
Ronaldo £80m
Di Maria £44.3m
Beckham £25m
Schneiderlin £24m.
Kila la kheri Morgan huko...
Tabia hiyo inasababisha watu wa Yanga wayapende magazeti. Na hata nyie hasa wewe Shaffi Dauda unapenda kuiponda sana Simba na kuibeba Yanga hata kama haistahili.
Acheni biashara hizo, mtaharibu...
Natazama Simba na Yanga
wachezaji wanatoa pasi za upofu sana
yaaani mchezaji anapeleka pasi eneo ambalo hakuna mchezaji wa timu yake
kingine naona jinsi ya ku cover nafasi ni kama wachezaji wetu...
The bronze statue, unveiled last June, was broken in half and the torso, arms and head removed.
The motive for the damage was not clear but city officials say repairs to the statue are already...
Chelsea boss Antonio Conte has set a new Premier League record after being named Manager of the Month for December - receiving the award for an unprecedented third consecutive month.
The Italian...
Jamani wadau,
Naomba maelezo kidogo, hizi lotto games ambazo mara nyingi huchezeshwa Marekani kwenye baadhi ya majimbo yake, kuna watanzania walioshiriki na kushinda ama scam wa Nigeria.
Juma Abdul aonyesha umbo lake dogo halimzuii kutembeza ubabe, apambana na Banda wa Simba..
Beki Juma Abdul wa Yanga ndiye amekuwa gumzo zaidi mitandaoni kutokana na kuonyesha ubabe wake.
Abdul...
Kwanza kabisa nikupe hongera na pongezi za dhati kwa kufuzu kutinga fainali!
Kwa hatua ile, si kwamba ulistahili bali ulibahatika kusonga mbele. Ni kanuni na taratibu tu za soka jinsi zilivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.