Nimeamini ukiona unachukiwa sana jua wewe ni tishio kwao maana hawapendi kabisa wewe unavyowatesa na kuwakonga myoyo yao!!!
Messi kastaafu baada ya kukosa penalty muhimu kwa timu ya taifa lake...
Walidai tutaona AFCOM kupitia ZBC2. Jana wameonyesha mechi ya ufunguzi kwa muda wakatoweka hewani mpaka sasa.
Biashara hizi zinahitaji kukidhi mahitaji ya wateja na kutoa taarifa sahihi. Binafsi...
Naam!
ni nusu fainali, haijalishi unacheza na nani. ilikuwa ni lazima mkutane na Yanga SC. Njia pekee ya kumkwepa Yanga SC ni kujihakikishia mnatoka hatua ya makundi mkiwaacha waganda na aidha...
Ndani ya saa 24 yatatoka Majibu ya Rufaa iliyokatwa na Mabingwa wa kihistoria wa LigiKuu Tanzania bara yaani Dar es Salaam Young Africans SC.
Kamati hiyo ndiyo yenyejukumu la kuamua kama Yanga...
Alianza kwa kasi ya mbwembwe ndani ya klabu ya Simba,hakujua kuwa kuna wale waliomtangulia walianza na mbwembwe na kushindwa....
Akitokea timu ya Mtibwa Sugar, katika mechi 13 za awali Ligi Kuu...
Tunasajili hili kufurahisha wanachama sau tunasijili ili kukidhi mahitaji ya timu?
========
MSHAMBULIAJI wa Simba, Frederick Blagnon ameondoka Dar es Salaam leo kwenda Oman kupitia kwao Ivory...
Habari zenu wadau wa michezo haswa wana mtwara mashabiki wa ndanda fc niwapongeze kwa ubora wa timu yenu iliyouonyesha jana tarehe 15. 01 huku ushirombo na kuibuka na ushindi wa bao 1-0 ,
Kupitia...
Mtangazaji:kocha cheche hongera sn
cheche: asante nashukuru
Mtangazaji:unajisikiaje kuiongoza azam ktk mafanikio aya?
cheche: kwakwel ni fahari kubwa kwangu na kwa timu yangu ya azam...
Pogba mchezaji aliyenunuliwa kwa bei Kali paund million 100 ni sawa na billion 200 Tsh na zaidi,Mimi kwa mtazamo naona kichefuchefu hata kimbia yake utafikiri hakunyonya maziwa,sasa Leo kaamua...
Nimekuwa nikiangalia mahojiano ya manahodha wa timu zetu za mpira wa miguu wakihojiwa baada mechi, karibia wote walioshindwa au kutoka sare utawasikia wakisema "Kwanza namshukuru Mungu, mpira wa...
Wakuu kama mnavyokumbuka jana kwa taaaabu sana Azam FC waliishinda Simba SC na kuchukua kombe la Mapinduzi
Sasa tujadili yaliyojiri wakati wa mashindano.Mimi ningependa kujua kama kuna timu...
kumekuwa na threads za kuelemea upande mmoja na magroup ya whatsapp. lakini nimewaza zaidi ni bora kama kutakuwa na group lenye kuwakutanisha wapenzi na mashabiki wa Simba na Yanga. hapa tutapata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.