Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Niliona mapema kuwa Lwandamina si mkaaji sana Yanga kutokana na mambo kadhaa, likiwepo kuwa ambalo halijui ni kuwa kuna siasa za mpira na pia yeye ana kiburi au majidai fulani tofaut ya Pluijm...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Kitendo cha Diamond kuchagulia kutumbuiza AFCON ni cha kupongezwa sana ila hakiachi tusifanye tafakuri jadidi Kwamba Mtanzania amefuzu kwenda kutumbuiza huku TIMU YA TAIFA IKISHINDWA KUFUZU...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Wadau naomba kuuliza sheria za FIFA zinasemaje mchezaji wa Mpira wa miguu akibanwa na mkojo sana wakati mechi inaendelea anatakiwa afanyaje?
3 Reactions
16 Replies
3K Views
Wakuu habari za leo, Napenda kuiweka hii hoja mezani ili tuishauri shirika la Michezo Tanzania. Inashangaza sana uwanja wa mpira wa Zanzibar wa Amani ndio huo unaotumiwa kwa gwaride na shughuli...
0 Reactions
2 Replies
962 Views
Kunguru kumyea binadamu sio kujua kulenga shabaha bali ni bahati mbaya tu, Yanga ilifungwa kwa bahati mbaya tu sio ufundi wa Simba na Azam. Hata hivyo Plujin ni bora kuliko Lwandamina, over!!!
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Wafalme wa Kandanda Tanzania Bara na wawakilishi wa Tanzania kwenye mashindano ya Club bingwa Africa jana walitolewa katika hatua ya nusu fainali baada ya kufungwa na Mahasimu wao Simba kwa penalt...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Best player of the world once again tonight in history........
5 Reactions
76 Replies
9K Views
Kombe la Mfalme Spain, Atl Biblao Vs Barcelona kipindi cha kwanza ndo kimeisha Barcelona yupo nyuma kwa Magoli mawili ya Biblao. Japo Biblao anamsubua Barca mechi nyingi wanazokutana ila leo...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, mchana huu imemtangaza, Aristica Cioaba, kuwa Kocha Mkuu wa kikosi hicho. Cioaba, 45, anakuja Azam FC kurithi mikoba ya Mhispania Zeben...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hahahah aiseee inashangaza sana tunakuwa na ushinda ndan tu na si nje sasa lipi linalofa tushindwe kuingia kombe la dunia
0 Reactions
16 Replies
1K Views
A BE CHE hizi ni za kombe la mwaka huu tu.. nazo ni kama ifuatavyo; A:Timu iliyofanya vibaya katika michuano hii [Iliyoaibisha timu zinazoshiriki VPL] 1. Yanga Imekua ya pili katika kundi lake...
4 Reactions
33 Replies
4K Views
Sio kwa kipigo hiki 4-0 jamani kwel au ndio mwaka mpya,....Sijui nitaweka wapi uso wangu..... Nahama TIMU jaman sio kwa aibu hii Yanga .....Azam mmetumwa na Simba Mahasimu
10 Reactions
161 Replies
11K Views
Wadau toka amekuja huyu kocha Lwandamina naona kiwango cha klabu yetu ya Yanga kinashuka kwa kasi ya ajabu sana... Yaani tumekua Yanga Mdebwedo yani sisi wakupigwa Goli nne na Azam... Naomba...
2 Reactions
28 Replies
4K Views
Mma..tumbi ni mmatum.bi tu na mzungu ni mzung.u tu subirini mtaona
2 Reactions
9 Replies
1K Views
James delivered on a promise from two years ago to bring a championship to his native northeast Ohio, and he and the Cavs became the first team to rally from a 3-1 finals deficit by beating the...
7 Reactions
4K Replies
199K Views
Soka ni moja kati ya michezo yenye kutoa matokeo ya kushangaza sana sometimes. Achana na matokeo yaliyowahi kuishangaza Dunia kama Brazil kula wiki (7) na mengineyo,michuano ya Kombe la Mapinduzi...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Huo ni mtazamo ambao punde si punde utazaa uhalisia Hii so betting hivyo tunapojadili tuweke mapenz pemben Huu mtazamo utakuwa halisia kwa kuwa so kweli yanga wamedrop kiwango
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Kuelekea 'big match' ya michuano ya kombe la mapinduzi katika hatua ya nusu fainali itakayofanyika kesho Jumanne Januari 10, 2017, uchambuzi huu unaonesha kuwa itakuwa ni ngumu sana Yanga kuepuka...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Ikiwa leo Kombe La Mapinduzi ndiyo linakata utepe.. namleta kwenu mbabe wa kombe hili [bingwa wa kihistoria wa Kombe hili].. Simba SC. Kombe hili mpaka sasa tangu limeanzishwa lina miaka 10...
5 Reactions
106 Replies
71K Views
Shirikisho la mpira wa miguu duniani(FIFA) limeamua rasmi kuongeza timu shiriki za michuano ya Kombe la Dunia kutoka 32 za sasa mpaka 48. - Aidha mabadiliko haya yanatarajiwa kuanza kutekelezwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom