Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Yanga 'yalambwa 4G' Kombe la Mapinduzi Sunday , 8th Jan , 2017 Timu ya Yanga leo imeangukia pua baada ya kulambwa mara nne na wana lambalamba Azam FC katika michuano ya Kombe la Mapinduzi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuendelea kucheza kwa kiwango cha chini kwenye mashindano ya Kombe la Mapinduzi yanayoendela Zanzibar kwa mabingwa zamani wa mashindano hayo kumeibua mambo mengi kutoka kwa baadhi ya wadau wa...
4 Reactions
94 Replies
9K Views
Salaam wakuu, Karibu tena katika chambuzi za mchezo huu adhimu wa Soka. Na leo, Tutaizungumzia Timu ya soka ya taifa ya Tanzania inayoenda kwa jina la Taifa Stars. Kama umekua ni mfuatiliaji...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu inasemekana kwenye haya mambo ya simba na yanga kuna kupigana misumari. Sasa nimeangalia kiwango cha hivi karibuni cha huyu mchezaji wetu kiukweli nimestaajabu ! Si yule Kichuya wa kona -...
0 Reactions
35 Replies
5K Views
Mwanasoka kutoka Nigeria, Mikel John Obi(29) amejiunga rasmi na klabu ya Tianjin TEDA ya nchini China akitokea klabu ya Chelsea ya Uingereza ambapo katika klabu hiyo mpya atalipwa kiasi cha Pauni...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Yule aliyekuwa msemaji wa club ile yenye makazi yake katika eneo maarufu mitaa ya jangwani inayosifika kuwa na boti za mwendo kasi wa hali ya juu hasa wakati wa mafuriko, amejitokeza hadharani...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Vipi matokea ya Simba ya Mavugo na watoza Ushuru wa Uganda(URA)?
0 Reactions
19 Replies
5K Views
Mwaka huu Man of the Match anapewa Juice na mwaka jana alipewa kisimbuzi kwenye michuano Ya Mapinduzi inayoendelea. Hili Limekeaje Ndo michuano Imekua au inarudi Nyuma?
0 Reactions
2 Replies
843 Views
Timu ya wananchi inaongoza goli 2-0 mpira ni mapumziko.
2 Reactions
44 Replies
4K Views
Manji amewekeza hela zake nyingi Yanga, kama tunavyojua hakuna mfanyabiashara (Manji akiwa mmoja wapo) wanatengeneza hasara; hawezi kufanya kitu kisicho na faida. Tumeshuhudia Manji akitoa hela...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
A Premiership footballer was sent £5 by a soldier as thanks for helping him fix his car. Alex Bruce, 32, a defender at Hull City, stopped to help Jay Twining open his bonnet after he was having...
1 Reactions
0 Replies
626 Views
Leo,katika jiji la Abuja nchini Nigeria atatangazwa mchezaji bora wa soka wa Afrika. Atatangazwa mchezaji bora kwa wachezaji wa nje ya Afrika na yule anayechezea ligi za ndani za Afrika Katika...
0 Reactions
50 Replies
5K Views
Hatimaye maisha ya MTAANI yamnyoosha Msemaji wa Yanga-JERRY MURO.
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Sijawahi kusikia timu wala mchezaji mwenye jina kama Mangi, Mbowe,Kweka, Mushi, Kileo,Ngowi, Kimambo wala Akyoo, labda Joseph Kaniki tu!
0 Reactions
48 Replies
8K Views
Money anaondoka kwenda afcon je Liverpool watazba pengo lake?
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Alipokuja huyo golikipa wa Ghana tuliambiwa anachezea timu ya taifa na aliwazuia Brazil kombe la dunia sasa nawauliza mbona hajaenda kwenye Afcon? Au tulipigwa changa la macho hao ndio viongozi...
1 Reactions
29 Replies
3K Views
Tottenham imefutilia mbali ndoto ya Chelsea kutaka kuweka historia katika ligi kuu ya England kwa kushinda michezo 14 baada ya vinara hao kuchakazwa 2-0 White Hart Lane. Spurs wamekwaa mpaka...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein amesema endapo mwaka huu timu za Zanzibar zisipochukua ubingwa wa Kombe la Mapinduzi, basi itakuwa mwisho wake kuhudhuria fainali za mashindano hayo Rais...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Back
Top Bottom