Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Siyo siri dua ya Wenger, na wenzake wa liverpool na man city ni kuwa chelsea ajikwae! Ule msemo kuwa wamechimba mashimo wakatumbukia wenyewe umetimia kwao. Wao wametangulia kudondosha pointi...
6 Reactions
11 Replies
1K Views
Waswahili husema udngo uwahi ungali maji, sijui wenzangu mnamuonaje huyu kipa mpya wa Simba nimeona makosa kadhaa ya kiufundi anayoyafanya na sijui kama waalimu wake wanayaona Over confidence...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Kocha wa Yanga Mzambia Lwandamina hana tabia ya kuacha Kombe lolote lile anzia akiwa na Zesco ya kule kwao,Kila michuano anayoshiriki lazima abebe Kombe. Na hata kwa Yanga itakua hivi hivi tu...
3 Reactions
3 Replies
980 Views
Naanza kwa kuulza: 1. Naomba nipate picha halisi yaa sakata la Okwi 2.Hatua gani zinapaswa kuchukuliwa dhidi ya Katibu Mkuu wa Yanga aliye ishutumu vikali Kamat ya maadili, (kwan, Ulaya shutuma...
4 Reactions
144 Replies
11K Views
Baada ya Arsenal kumsajili Mswizi Granit Xhaka na Man Utd kumsajili Pogba Mfaransa. Mashabiki wengi wa timu hizi mbili walikua wakiona kwamba fulani kamzidi mwenzake uwezo wa kusakata kabumbu, ila...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Gurdiola amelazimika kutoa shikamoo ka EPL! Aliingia kwa mkwala akapiga mechi 5 mfululizo! Waijuao EPL walijua atachemsha tu! Maana EPL so kama ligi ya ndondo ambayo ligi nzima timu za kueleweka...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Ifike mahali timu zetu za soka zicheze mpira na kuacha blaa blaa,pale Uingereza Jumamosi imechezwa michezo ya Ligi kuu tena ya Nguvu mfano liverpool Vs Manchester city. Hizo hizo timu Tena Leo...
0 Reactions
8 Replies
934 Views
Kuna taarifa chini kapeti toka Azam FC kuwa Mkwasa ni kati ya makocha walioomba na anayepigiwa chapuo na baadhi ya "maofisa", kuifundisha Azam FC. Hili ndio linaoloneka kuwa sababu kubwa ya Kocha...
1 Reactions
0 Replies
699 Views
Kelele zimekuwa nyingi mtaani, tuwe wakweli kati ya goli la Giroud - Arsenal na Mikhytarian - Man Utd lipi kali zaidi? Usibishane bila fact. Enockino nimeona post yako still watu hawajatiririka...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Kwa yeyote aliyesoma gazeti la Mwananchi la desemba 30, 2016 upande wa michezo atagundua kuna upotoshaji mkubwa uliofanywa na mwandishi wa habari za michezo wa mwananchi kwenye habari "Simba...
3 Reactions
2 Replies
1K Views
Hawa ndio chipukizi waliosajiliwa timu za Simba na Yanga katika dirisha dogo la usajili. Pastory Athanas. Stand united - Simba Emmanuel Martin. JKU - Yanga
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Venance Ludovick amesimamishwa kucheza VPL mpaka suala lake litakapokamilika kusikilizwa, mpaka sasa imebainika ni kweli ana leseni mbili zilizotolewa na TFF ambazo ni za kuchezea Mbao na African...
4 Reactions
22 Replies
3K Views
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limemteua Salum Mayanga kuwa kocha wa muda (Interim coach), wa timu ya taifa ‘Taifa Stars’. Kocha Salum Mayanga anachukua nafasi ya Kocha Charles...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Kwa wale wanaofauatilia mpira mmekuwa mkiona wachezaji wakiingia na watoto uwanjani hasa wenzetu wa ulaya. Je hii huwa Ina maana gani na kwa timu za bongo mbona sijawahi kuona wakifanya hivyo?
2 Reactions
22 Replies
6K Views
Hii ilikuwa ni October 3,2016. Na hii ni leo baada ya kumfunga Westham Halafu mchambuzi uchwara mmoja huwa anashikilia tu takwimu za timu za wenzie ilihali hajiulizi Chama Lake limekaa namba...
1 Reactions
1 Replies
978 Views
Na Saleh Ally JUMATANO hii, uongozi wa Azam FC ulitangaza kumfuta kazi kocha wake mkuu Zeben Hernandez. Kama haitoshi ikawafuta kazi Msaidizi wake, Yeray Romero, Kocha wa Makipa Jose Garcia...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
UFC's once-great hope Rousey suffers lightning-fast defeat By Euan McKirdy and Jill Martin, CNN Updated 7:34 AM ET, Sat December 31, 2016 JUST WATCHED Ronda Rousey knocked out in...
0 Reactions
2 Replies
842 Views
Simba inamaliza mwaka ikiwa kileleni mwa msimamo baada ya takribani miaka 4 kuwahi kufanya hivyo huko nyuma Msemaji wa klabu ya Wekundu wa Msimbazi Haji Sunday Manara amewakashifu watani wao wa...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom