Hbr wana jmvi,kwa heshima kubwa naomba mnipe maujanja mbali mbali ya football ikiwemo sites mbali mbali za kupata habar za mpira au majna ya vtabu vilivyoelezea baadhi ya mambo ya mpira...
Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM
KATIKA hali inayoashiria ni kuyumba kiuchumi, klabu ya Yanga imeandika barua Bodi ya Ligi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) ikitaka ilipwe malimbikizo ya fedha...
NINE people were reported dead and 21 missing after a boat “overloaded” with a football team and fans capsized just 100 metres from the shore in Uganda.
Up to 30 non-swimmers in the party of 45...
Tanzania kuna mazingaombwe mengi sana katika tasnia ya mpira wa miguu, unaweza usiamini kwamba mchezaji anauzwa na kila document yake ikaenda kwenye timu mpya bila hata yeye kufika wala kuambiwa...
December 25 2016 mkuu wa idara ya habari na mawasiliano wa Club ya SimbaHaji Manara alitumia ukurasa wake wa instagram kuandika ujumbe kwa Rais waTFF Jamal Malinzi kumuomba asamehewe afisa habari...
Katika hali ya kushangaza mashabiki wa ndondi tumepigwa na butwaa baada ya Cheka kugoma kutokea ulingoni jana bkwa sababu zisizo na kichwa wala miguu
Akiongea na mashabiki mdhamini wa pambano...
UINGEREZA: Klabu ya Chelsea imetangaza kumuuza kiungo Oscar, kwenda klabu ya Shanghai SIPG ya nchini China kwa Pauni Milioni 60.
Oscar Emboaba alijiunga na matajiri hao wa jijini London kwa ada...
Nimefuatilia mchezo wa leo kati ya Simba na JKT Ruvu kwa kweli LAWAMA zielekezwe kwa mwamuzi aliyechezesha mpira wa leo. Dhahiri amemwona mlinda mlango kaumia na hayupo golini na yeye mwamuzi...
Wachezaji wa Yanga kwa umoja wao wameamua kumkataa Mchezaji mwenzao na ambaye pia ni Nahodha wa Klabu hiyo Nadir Haroub ' Cannavaro ' kwa madai kuwa amezidi na kukithiri kwa Umbea na kuwagawa...
KATIKA hali inayoashiria ni kuyumba kiuchumi, klabu ya Yanga imeandika barua Bodi ya Ligi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) ikitaka ilipwe malimbikizo ya fedha zake za haki ya matangazo ya...
Bondia Mtanzania Francis Cheka ambaye mwishoni mwa wiki alipoteza pambano lake nchini India alilopigana na raia wa nchi hiyo Vijender Singh, ameibuka na kusema kuwa mpinzani wake huyo hakumpiga...
Klabu ya Guangzhou Evergrande Taobao na Beijing Guoan za China zimeonyesha nia ya kutaka kumsajili Wayne Rooney na kumlipa £700,000 kwa wiki.
========
The England captain’s future at Old...
KIKOSI VS JKT LEO, OMOG AMPANGA KOTEI AKATE UMEME WA WANAJESHI, MKUDE ASOGEZWA NAMBA NANE, PASTORY APEWA TISA
1. Daniel Agyei
2. Janvier Bukungu
3. Mohamed Zimbwer Jr
4. Abdi Banda Jr
5. Method...
Mnyama yupo hatarini kupokwa point kwenye mchezo wake na Ndanda baada ya kuwachezesha wachezaji wa kigeni wasio na vibali vya kufanya kazi nchini
Wanaweza kuwa na ITC na kupewa leseni na TFF...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.