Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Serikali imevipiga marufuku vilabu vya soka vya Yanga SC, Azam FC na Simba SC kuwatumia wachezaji wao wa kigeni mpaka hapo watakapokamilisha taratibu za uhamiaji. Chanzo: ITV
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari za gazeti la leo la Mwananchi kwamba JKT Ruvu kwa Yanga kama uji na mgonjwa!
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Xmas Car Giveaway 2016 - Ranking | CAR FROM JAPAN Hii nayo ni betting???
0 Reactions
0 Replies
794 Views
leo nimeona jezi feki ya dar young africans
0 Reactions
4 Replies
763 Views
Wachezaji Wenye Majina Makubwa kipindi cha Karibuni wamekua wakitimkia ligi kuu ya Uchina kwa Usajili wa pesa Nyingi mnoo mfano,Ramires,Demba Ba,Paulinho,Hulk...nk na pia kukiwa na tetesi za...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
FULL TIME: JKT RUVU 0 - 3 YANGA Dakika 90 + 4: Mwamuzi anamaliza mchezo, Yanga inatoka kifua mbele kwa kuwa na mabao 3-0. Licha ya mabao yaliyofungwa na Msuva lakini Niyonzima alikuwa na mchango...
6 Reactions
116 Replies
9K Views
Jamani vvipi mbona kimya!
0 Reactions
137 Replies
18K Views
Mshindi wa tuzo ya Mchezaji bora wa mwaka 2016 kujulikana leo huko Paris nchini Ufaransa. Je, ni nani ataondoka na tuzo kati ya Lionel Messi, Cristiano Ronaldo au Antoine Griezmann. Tuzo za...
6 Reactions
166 Replies
25K Views
Kama umepata bahati ya kucheki game ya leo dhidi ya JKT ruvu na pengine game ile ya kirafiki dhidi ya JKU utakuwa kwenye nafasi ya kumuelewa mwl Lwandamina. Nawashauri mkiwa mnatazama game...
5 Reactions
15 Replies
2K Views
0 Reactions
1 Replies
710 Views
Pazia la ligi kuu linafunguliwa Leo katika viwanja mbalimbali. Hizi ndo mechi za Leo, nini maoni yako, utabiri na ujumbe. Sat Aug 20th Mtibwa Sugar vs Ruvu Shooting Azam FC vs African Lyon...
2 Reactions
102 Replies
13K Views
Bandari ya Tanga imeibuka kuwa washindi wa Jumla wa Michezo ya Bandari kwa mwaka 2016 mara baada ya kuibuka washindi wa kwanza katika michezo mbalimbali ya kikapu, mpira wa pete, kuvuta kamba...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hakuna asiyeujua wimbo wa Darasa unaoitwa Muziki,umekuwa maarufu sana namna ulivyopokelewa kila kona ya nchi yetu. Sasa basi baada ya Yanga jana kuanza mzunguko wa pili kwa kishindo kwa kuichapa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kuna watangazaji wengi vichaa kwa timu zao huyu kwa Ac Milan kichaa humpanda haswaa
4 Reactions
37 Replies
3K Views
Ratiba ya mzunguko wa 2 Wa ligi kuu bara imetoka, haji manara kapigiwa simu na kituo maarufu cha mochezo cha redioni, kasema "TFF wasipofanya mabadiliko ndani ya mwezi atatembea uchi"
0 Reactions
18 Replies
3K Views
ZIFUATAZO NI HASARA ZA KUBET 1. Unadumaa akili unashindwa kuwaza vitu vya maana vyenye kuleta pesa ya uhakika isiyo na mawazo. 2. Ni rahisi sana kupata magonjwa ya moyo ikiwemo presha, kwa wale...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Sijui aliyesema lakini ni maneno ya busara sana. Kasema nini aliyesema? Kasipo na wivu hapana mapenzi!!! Mbona nasema haya? kila kukicha naangalia pandashuka za wasanii wa mji wangu wa Malindi...
0 Reactions
0 Replies
862 Views
Pambano la Cheka limeanza muda huu kupitia channel Star Sports 1 limengia kwenye raundi ya tatu. Cheka anajitahidi sana. Watu wamejaa sana mithili ya watazamaji wa Yanga na Simba. Tumpe sapoti.
2 Reactions
39 Replies
4K Views
Back
Top Bottom