Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

SIMBA SPORTS CLUB D'SALAAM, TANZANIA 14/12/2016 *TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI*. Klabu ya Simba inapenda kutangaza marekebisho madogo ya usajili iliyoyafanya kutokana na...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Kumekuwa na mategemeo makubwa sana kwa hawa ndugu zetu 'Mikia' ya kuwa wanaweza kuchukua Ubingwa. Lakini kuna vikwazo vikuu 3 ambavyo wanapaswa wavivuke kwa namna yeyote. Kushindwa kuvivuka hivi...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Full Time | Kagera Sugar 2 - 6 YoungAfricans 90' Mins | sasa, hakuna kipya, timu zinaonyesha kucheza zaidi katikati ya uwanja, Yanga wakiwa wameridhika huku Kagera wakionekana kuwa wamekata tamaa...
2 Reactions
168 Replies
13K Views
SUPASTAA wa Tanzania, Mbwana Samatta ameikosa Manchester United katika hatua ya mtoano ya 32 bora kwenye Europa League baada ya kikosi chake cha Genk kupangwa kuchuana na Astra Giurgiu ya Romania...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Yanga imefanikiwa kupitisha jina la mshambuliaji wa zamani wa Zesco, Winston Kalengo. Kalengo ametua Yanga baada ya jina lake kuwasilishwa katika nusu saa ya mwisho kabla ya dirisha ya usajili...
0 Reactions
20 Replies
11K Views
Kuna kipindi huwa nacheka tu. Pale nionapo Usajili wa kukurupuka unaofanywa na Klabu ya Simba. Najiuliza ni nini huwa wanafikiria hasa pale wafanyapo usajili wa wachezaji wapya. Tatizo kubwa...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Eng. Deusdedit Kakoko akizungumza na Wafanyakazi wakati wa kufungua michezo ya Bandari ambayo imeanza kutimua vumbi jijini Tanga Disemba 15 katika viwanja vya 'Harbors...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kombe la Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani Fifa Linaendelea Nchini Japan,Huku Afrika ikiwakilishwa na Mabingwa wa Afrika MAMELODI SUNDOWNS kutoka Afrika Kusini. Wawakilishi Hawa wa Afrika...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
The government in DR Congo has told the country's football association to suspend league competition from Thursday until further notice. The move comes amidst fears that the end of President...
0 Reactions
0 Replies
593 Views
Viongozi wa Klabu ya Simba nawaomba mzingatie Ushauri uliotolewa Na Mwenyekiti Mstaafu wa Simba Alhaj Rage Juu ya kupeleka suala la Klabu 6a Yanga wa Kimataifa ya kusafiri , kumchezesha mchezaji...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Unaliwa 4-0na mtu anayekaribia mstari wa kushuka daraja Karibu epl wanasemaga sio ligi bora ila zile mbili ulizozoea kila weekend kupiga watu 6 na 5 hapa unapigwa wewe hahahahaha
2 Reactions
50 Replies
4K Views
Ikicheza Soka la Ki-Barcelona Yanga imepoteza mechi yake ya kwanza chini ya Kocha George Lwandamina. JKU ya Zanzibar ndiyo iliyoitia njaa Yanga kwa kuichapa mabao 2-0 katika mechi ya kirafiki...
1 Reactions
28 Replies
6K Views
Mda huu inapangwa draw ya UEFA hatua ya mtoano (Knock Out Stage) Timu zilizokua kundi moja haziwezi kukutana Timu za Nchi moja haziwezi Kukutana katika hatua hii Waliongoza Makundi hawawezi...
6 Reactions
184 Replies
14K Views
Arsenal wamepoteza nafasi ya kukaa kileleni mwa ligi kuu ya England baada ya Everton kutoka nyuma na kuondoka na ushindi wa 2-1. Washika bunduki hao walishinda michezo mitatu mfululizo walianza...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
(Cosmopolitan Concepts – Redefining the art of living) Wanasema leo wamepiga hatua moja mbele, nasema very good! Bila baraza la wadhamini wa Club (nadhani katiba yao inaruhusu) Mwaka huu tumekuwa...
1 Reactions
25 Replies
6K Views
Imeandaliwa na Bakari Ally Simu: 0659-767121 Habari sana rafiki ni kipindi kirefu sana sijakuwa na nyie katika upande wa kuandika makala lakini nakuwa na muda mchache sana maana huu mwaka ni KAZI...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
"Faru John" ni miongoni mwa faru wababe sana kuwahi kutokea duniani.. Sifa kubwa ya huyu Faru ni alikuwa akimiliki majike yote yaliyokua katika creta ya Ngorongoro... Hivyo mbele ya "Faru John"...
5 Reactions
22 Replies
4K Views
Mwanasayansi maarufu na nguli la hisabati na Fizikia Sir Albert Einstein aliwahi kutoa maana ya neno uwendawazimu iliyowashangaza watu wengi.. Alisema hivi "uwendawazimu ni ile hali ya kufanya...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Riyadhi Mahrez wa Leicester City amenyakua tuzo ya mchezaji bora wa Afrika 2016 inayoendeshwa na Kituo cha radio BBC,Amewashinda Sadio Mane,Piere Aubamayang ,Yaya Toure na Ayew. Binafsi...
5 Reactions
56 Replies
3K Views
Ndio matokeo ya mwisho Kati ya Simba Na Mtibwa Sugar mchezo umechezwa pale Chamanzi Complex. Wapenzi wa Simba watatupa Taarifa zaidi na hata kukanusha kama matokeo haya sio ya kweli Nasikia...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom