Leo golikipa amewekewa mgongo...... Mwamuzi kapeta.
Watu wakafunga.
Je hii ni mbeleko? au ni masuala ya M-Pesa?
Hapana!! hii ni mbeleko. Sipati picha kama Agyei angechezewa vile kungetokea...
Nikiwa kama mdau wa mpira sijapendezwa na kitendo kilichofanywa na wachezaji wa YANGA kwa kumgomea kocha Mazoezi kwa sababu za kutolipwa mshahara wao karibia siku 20.
Kocha sio mwajiri wao...
Wadau wa Michezo Leo Ni siku ya kuzaliwa Kwa nyota ya Tanzania, mtoto wa Mama Tanzania ambaye anakimbiza Wazungu..
Binafsi, namhusudu sana SamaGoal na Mungu azidi kumlinda na Kumuongoza uenda...
Ratiba ya michuano ya Klabu Bingwa Barani Africa imekamilika rasmi jioni hii.
"HATUA YA AWALI/ Preliminary round"
Mabingwa watetezi wa LigiKuu Tanzania bara wa wamepangiwa na Mabingwa wa...
Shirikisho la soka ulimwenguni FIFA leo December 22 2016 imepotoa good news kwa shirikisho la soka Tanzania TFF, Tanzania leo imepokea taarifa za kupanda katika viwango vya soka vyaFIFA.
Tanzania...
Draw iliyofanyika Misri Leo inaonyesha Kuwa AZAM FC wana Lambalamba ni moja kati ya timu 12 Zitakazoanzia Round ya Kwanza ya Michuano ya CAF Confedaration Cup 2017. Timu zingine 40 zitaanzia na...
Klabu za mpira wa miguu Tanzania Simba, Yanga na Azam fc zapigwa marufuku kuwachezesha wachezaji wa kigeni kutokana na kutokukamilisha utaratibu wa uhamiaji na vibari vya wachezaji wa kigeni...
Yule Bondia wetu NGUMI MKONONI na mbabe babe toka Mji Kasoro Bahari pale MORO achezeshwa akadumba pale Nchini INDIA [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Ni Round ya 3 baada ya...
Malezi na makuzi ya wazungu na yale ya Waafrika walio wengi ni tofauti kabisa. Hii inachangia kuwepo na tofauti pia hata kwenye uwezo wetu wa kukabiliana na changamoto zetu mbalimbali ukubwani...
Klabu ya Chapecoense ya Brazil imekabidhiwa Kombe la Copa Sudamericana ikiwa ni siku 25 tangu ilipopata ajali ya ndege iliyoua watu 71.
===========================
Brazilian club Chapecoense...
Jamaa mmoja nchini Kenya sikukuu ya Christmas imemjia vizuri baada ya kushinda na mkeka wake kwenye kampuni ya Sport Pesa.
Jamaa mwenyewe jina lake ni Peter Byegon ni mfanyakazi wa hotel moja...
WAMUONYESHA LWANDAMINA NGUVU YAO
Kocha George Lwandamina alipigwa na bumbuazi leo asubuhi baada ya wachezaji wake kugoma kuingia na kufanya mazoezi.
Wachezaji wa Yanga hawakufanya mazoezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.