Nikiwa nishaanza shamra za kusherekea ushindi mzito wa leo wa Simba S.C dhidi ya Ruvu.. Nipo kijiweni na mashabiki wa Ndala wakiwa wamenyong'onyea.. Kisa.. Mkata Umeme!!
Nasikia wakijadili kauli...
Bondia Francis Cheka Ngumi Jiwe ametangaza kustaafu mchezo wa ndondi.
Hii ni habari mbaya kwa sisi wapenda ndondi. Francis ameamua kuachana na ngumi na kujiweka pembeni ili aendelee na biashara...
Uongozi wa Klabu bingwa Afrika Mashariki na Kati AZAM FC Leo Limesimamisha Benchi zima la ufundi la Timu hiyo linaloongozwa na Kocha mkuu Mhispania Zeben Hernandez kutokana na Mwenendo mbovu wa...
Jose Mourinho: "To be honest, It is very Difficult to catch Chelsea.. They're Unstoppable".
Pep Guardiola : "Chelsea is the Only team that takes my Admiration, Sometimes you lose, sometimes you...
Habari zenu hususani wana michezo!!
Naomba kuelimishwa suala moja najiuliza sana hivi wachezaji wetu mathalani mpira wa miguu wanaposajiliwa nje ya nchi suala la lugha huwa inakuwaje hasa kwa wale...
MATAJIRI wa klabu ya Shanghai Shenhua ambayo inashiriki Ligi Kuu nchini China, tayari wamemalizana na nyota wa zamani wa klabu ya Juventus na timu ya taifa ya Argentina, Carlos Tevez, kwa...
Hii ni tofauti kidogo na wenzetu wazungu wakati wao wakitamani kuitwa timu zao za taifa kwetu Gondwanaland(Afrika) ni tofauti
Zikibaki siku kadhaa Kombe la Mataifa Huru la Afrika kuanza kule...
As Sloane Stephens has said numerous times, Serena Williams is No. 1 for a reason.
In a battle of Americas No. 1 and No. 2, Williams got the revenge she sought Sunday. Williams defeated Stephens...
Story highlights
Serena Williams is engaged to Reddit co-founder Alexis Ohanian
The tennis champ announced the news on Reddit
The couple have been dating since 2015
(CNN) Tennis great Serena...
=> Dk 1, mechi inaanza kwa kasi kubwa ikionekana Yanga wamepania kupata bao la mapema.
=> GOOOOOO Dk 4, Ngoma anaiandikia Yanga bao saafi kwa kichwa baada ya kuunganisha mpira wa kona
=> Dk 5...
Miaka michache iliyopita Zamoyoni Mogella kipenzi cha wana-Simba alieleza kilichosababisha akaacha kuichezea Simba mwishoni mwa 1991. Anasema kwamba alichoshwa na vituko vya uongozi wa klabu hiyo...
Kikosi cha Simba leo kinacheza mchezo wa 18 katika ligi kuu Tanzania bara dhidi ya Ruvu Shooting uwanja wa Uhuru Dar es Salaam
Nitawaletea kikosi chote cha Mnyama hivi punde. Msimamo wa Ligi ni...
Najua mnajua kuwa kila mtu anamjua Douglas Costa de Souza ni nani? Kama humjui basi unashauriwa usimalizie kusoma huu uzi, ufungue YouTube ukiwa unatafuta video za huyu Kijana.
Leo nimeamua...
Hii ilikuwa ni mechi kali ya Simba Taifa Kubwa VS Yanga SCC. Jionee mwenyewe gonga one-two-one-two za Wanaume kiasi cha kufanya mtangazaji na mchambuzi Kaijage ''kusikitishwa'' na mpira mkubwa...
Mwisho wa Epl hii ya mwaka 2016/2017 ni kama ifuatavyo.
1. Liverpool
2. Chelsea
3. Man City
4. Man United
5. Arsenal
6. Tot Hotspurs
Itunze vema hii coment yangu ili tukumbushane kwa evidence...
Kocha Msaidizi wa Yanga, Juma Mwambusi, ameibuka na kusema kiungo wao, Mzambia, Justine Zulu, bado hajawa fiti kucheza kwa kiwango chake na ndiyo maana mpaka sasa hajapewa nafasi kubwa ya...
Mwenyekiti wa zamani wa Simba Ismail Rage ameitaka klabu ya Simba kwenda mbele zaidi kudai haki yao na si kukubali kiasi cha shilingi milioni 50 kama fidia kama livyoamriwa na Kamati ya Katiba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.