Watanzania wawili Jackline Sakilu na Augustine Sulle wameibuka na ushindi muda mfupi uliopita katika mbio za Belo Horizonte half marathon huko nchini Brazil.
Dada Jackline Sakilu ameibuka mshindi...
Shabalala amesikika akisema hataki tena kuichezea timu yoyote ya Tanzania bara kwa sasa huku Haji Manara akijinasibu tayari wamemsainisha mkataba mpya mchezaji huyo, ukweli ni upi?
KUTOKANA NA KUGUSWA NA AJALI YA WACHEZAJI KUFARIKI DUNIA BAADHI YA WATU NA TEAM. WAMETOA MICHANGO YAO KWAAJILI YA FAMILIA NA TEAM YAO
CHELSEA have informed FIFA that they will donate €80M to...
Habari za kuleta kocha mpya zimeshika kasi tena. Nasisitiza sishangai Yanga kuleta kocha mpya kwa sababu matokeo yao si kwa sababu ya kocha waliyenaye bali kocha kivuli. Huyu kocha kivuli amekuwa...
Niheri kukoma k2enda kuishangilia Yanga kuliko kuendelea kushabikia timu inayoendeshwa kisiasa zaidi kuliko kiundindani. Timu lazima ibaki hivyohivyo ilivyokuwa miaka 80 iliyopita
Winga wa Azam Farid Mussa muda wowote anaweza kuondoka nchini kwenda nchini Hispania kucheza soka la kulipwa kwenye klabu ya CD Tenerrife baada ya kupata kibali cha kuishi na kufanya kazi nchini...
Mrisho Ngasa Ni Kati ya Wachezaji wachache wa Kitanzania waliofanikiwa Kufanya Majaribio na Klabu ya EPl Westham united na kwa Taarifa zake alisema amefuzu majaribio ila aliwaambiwa arudi kwanza...
Bado dunia na ulimwengu wa soka kwa sasa unaomboleza msiba wa msafara wa timu ya Chapocoense ya Brazil uliyopata ajali wakati wakielekea kutua uwanja wa ndege wa Medellin Colombia.
Ajali hiyo ya...
Wachezaji wa Tanzania nimeamini Elimu in tatizo kubwa kubwa sana.
Mchezaji aking'ara katika Klabu ya Simba anawaza kujiunga Na Yanga Na aking'ara Klabu ya Yanga anawaza kujiunga Na Simba.
Mfano...
Kwanza napenda kujua Muajiri rasmi wa hawa wapuliza kipenga ni nani katika ngazi yoyote(hapa simaanishi wale wa mechi za kombe la mbuzi). Pia vipi kuhusu mishahara yao Maana naona jamaa...
Serikali imesaini Mkataba na Klabu ya Yanga kutumia Uwanja Mkuu wa Taifa pamoja na Uwanja wa Uhuru kwa ajili ya michezo yote ya Kimataifa pamoja na michezo ya Ligi Kuu ya ndani.
Mkataba huo...
Uchunguzi dhidi ya shirika la kutoa msaada la mchezaji wa zamani wa Chelsea, Didier Drogba, haujapata ushahidi wa ufisadi au ulaghai,lakini umebaini shirika hilo ''liliwapotosha'' wafadhili.
Tume...
Tra wanaendesha mashindano baina ya klabu za kodi mashuleni. Hongereni kwa hili. Japo tungeomba ntuelimishe na sisi wamachinga umuhimu wa kodi, mbona kundi hili mmetusahau! Wekeni vipaumbele.
Nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars anayeichezea klabu ya KRC Genk yaUbelgiji Mbwana Samatta usiku wa November 30 2016 ameingia kwenye headlines baada ya kufanikiwa kuiongoza timu...
The Madrid president raised funds and staged friendlies in 1958 out of respect for Matt Busby
By Jack Pitt-Brooke
They are supposed to be the best of enemies: the socialists revered by the...
Golikipa kutoka nchini Ghana Danniel Agrey ametua nchini leo kwa ajili kusaini mkataba wa miaka mawili wa kuichezea Simba SC
Agrey aliyekuwa anachezea Klabu ya Madeama nchini Ghana, amewasili kwa...
Baada ya Mbabe wa Zamani kama Miaka Kumi na mbili iliyopita amerejea kwa Kuustusha Ulimwengu yaani ni Shock ya Ajabu baada ya kumgonga Mzee mzima Block Lesner katika Mpambano nilioushuhudia Live...
kiwango cha ally samatta mbwana kimepaa kutoka pound laki nane mpaka pound milion moja na laki sita samata anaonesha kiwango kikubwa tofaut na mpinzani wake ukiangalia safar ya samata hii ni mara...
Timu anayochezea mtanzania Mbwana Sammata leo inekutana na kipigo safi cha goli 6 kwa bila dhidi ya timu Ya Oostende
Sammata ambaye aliyecheza dk zote 90 ameshindwa kuinusuru timu yake dhidi ya...