Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kutoka vyanzo vya ndani, kocha hans atachukua mikoba ya Bonifas mkwasa ya kuifundisha taifa starz BENCHI JIPYA LA UFUNDI LA YANGA LITAKUWA HIVI Kocha Mkuu : George Lwandamina. Msaidizi ...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Thomas Ulimwengu ameachana na klabu yake ya TP Mazembe ya nchini Congo DR baada ya kumalizika kwa mkataba wake. Ulimwengu ambaye ameitumikia Mazembe kwa...
1 Reactions
15 Replies
8K Views
News from sky sports today 24 october 206.. 2016 Ballon d'Or shortlist (15 names still to be announced) Sergio Aguero (Manchester City)Pierre-Emerick Aubameyang (Borussia Dortmund)Gareth Bale...
0 Reactions
42 Replies
3K Views
Imefahamika Shirikisho la Soka la duniani FIFA, limemzuia Kocha Mkuu mtarajiwa wa Yanga, Mzambia, George Lwandamina kusaini mkataba wa kukinoa kikosi hicho huku akitimkia kwao jana usiku. Mzambia...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Timu ya Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini jana ilitwaa ubingwa wa soka Afrika kwa ngazi ya klabu kwa kuishinda Zamalek ya Misri 3-1. Pamoja na jana kulala kwa bao moja kwa bila nchini...
2 Reactions
24 Replies
4K Views
Mshambuliaji Shiza Ramadhan Kichuya wa timu ya Mtibwa Sugar ya Morogoro amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Machi kwa Ligi Kuu ya Vodacom msimu huu wa 2015/2016. Kichuya alionyesha kiwango...
2 Reactions
5 Replies
10K Views
Sabiki wa man u nchini uganda amejiua baada ya man u kufungwa bao 4 kwa bila na Chelsea hapo Jana .
3 Reactions
15 Replies
9K Views
Kwa mlioangalia game iliyoisha sasa hivi la liga mtakuwa mmepigwa na butwaa kumuona C Ronaldo akikosa magoli Mengi mno Leo yakiwamo matatu aliobaki yeye, kipa na goli,hivi ni nini kinachoendelea...
3 Reactions
84 Replies
6K Views
Mkutano Mkuu wa Yanga uliokuwa umepangwa kufanyika kesho Jumapili, Oktoba 23, 2016 unadaiwa kuota mbawa baada ya Mahakama kuupiga ‘stop’ kufuatia kesi iliyofunguliwa na baadhi ya wanachama kupinga...
1 Reactions
59 Replies
8K Views
Best new player Marco Asensio - Real Madrid Best goalkeeper Jan Oblak - Atletico Madrid Best defender Diego Godin - Atletico Madrid Women top scorer - Jenipher Hermoso Barcelona Woman Team Best...
2 Reactions
5 Replies
894 Views
Aliwahi kuhojiwa Ivan Rakitic Mchezaji wa Barcelona mzaliwa wa Croatia akakiri hakuna kazi ngumu kama kucheza na Wachezaji aina ya Messi,Neymar na Suarez Ugumu wake wachezaji wa aina hiyo siyo...
2 Reactions
184 Replies
10K Views
Kocha wa Yanga raia wa kiholanzi ila sasa ikiishi Ghana ni mfano wa kocha wa kuigwa na makocha wetu wazawa. Amewai fundisha timu mbalimbali kwao Holland,Ghana Uarabuni na Sasa akiwa Yanga,Akiwa...
1 Reactions
29 Replies
3K Views
wakimataifa siwaelewi kumwacha hans
0 Reactions
0 Replies
304 Views
Mkurugenzi wa Ufundi:Hans van der Pluijm. Kocha mkuu:George Lwandamina. Kocha msaidizi:Charles Mkwasa. Kocha makipa:Manyika Peter. Meneja wa timu: Sekilojo Chambua.
4 Reactions
17 Replies
4K Views
Shirikisho la soka duniani (FIFA) limetoa orodha mpya ya viwango vya ubora wa soka duniani, ambapo vinara wamesalia kuwa Argentina. Wanafuatwa kwa karibu na mabingwa wa dunia Ujerumani, kisha...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Timu inacheza kirahisi huku ikiwagawia Yanga magoli. Yanga nao wanajifanya hawashangilii.
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Mjomba wangu ni mpenzi kichaa wa ligi ya uingereza. Amenitembelea na kwenye tv yangu hataki kitu kingine ila ligi ya uingereza. Nina king'amuzi cha startimes na nimelipia sh. 12,000. Je, ni...
0 Reactions
2 Replies
707 Views
Klabu ya soka ya Mamelod Sundowns imetwaa ubingwa wa klabu bingwa Afrika baada ya kuifunga klabu ya Zamalek katika mchezo wa marudio uliochezwa nchini Misri. Ikumbukwe Mamelod walisha mchezo wa...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Baada ya Tambo nyingi mapicha picha ya zile penalty na kuwaletea dharau wale jamaa WA uturuki, Jamaa wakaamua KUSHTAKI kwa mtu wanaemuamini na jirani yao karibu na kwao brother Conte,kilichojiri...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom