kwa wale wenye timu za volleyball itakuwa poa kaama tukialikana kwa ajili ya mashindano itakuwa poa sana maana tutakuza mchezo.mimi nachezea timu moja ipo tegeta dar. sio mbaya tukiorganise mechi...
inashangaza timu ya yanga haitakiwi kushinda katika ligi hapa nchini tayari maneno yameanza wachezaji wawili kagera wamesimamishwa lakini nilimfatilia kocha wao akiwa dar kabla mechi na simba...
Baada ya mbwana samata kuhoji kuhusu uwepo wa winga huyu hapa nchini, ilihali alifuzu majaribio huko Spain. Hatimaye leo azam fc wathibitisha kupokea work permit yake. Maswali tuliyonayo wadau...
"Kevin-Prince Boateng has described Ronaldinho as the best footballer he ever played with, hailing the Brazilian as even better than Zinedine Zidane, Diego Maradona and Pele" - Ronaldinho better...
Wachezaji wafuatao wakijituma wanaweza kutoa ufalme wa messi na ronaldo kwenye hii tuzo
1.Paulo Pogba
2.Eden Hazard
3.Antonio Griezman
4.Martial
5.Balle
6.Neymar
7.Suarez
8.Sanchez
Taja wengine
Nimefurahia sana Serikali kuwapiga 'stop' wafanyabiashara wanaonyemelea kuwekeza kwenye vilabu vikubwa vya soka Tz, Yanga na Simba.
Ushauri wangu kwa hili ni kuwataka wafanyabiashara hawa...
Tushirikiane mawazo tu mchinje kanj leo katika hii perfect12.Kama kuna matokeo unaamini possible share hapa tupige mzigo huu..41.2M Ipo kwa ajili yetu hivyo tushirikishane katika hizi mechi 12...
Kufuatia taarifa kuwa timu ya yanga imemsajili kocha mpya kutoka zambia kocha mholanzi anayekinoa kikosi hicho cha wana jangwani amejiuzuru baada ya kupata taarifa hiyo
more to follow
my...
Nlikua mmoja wa mashabiki wa timu ya Taifa ya Czech Republic kipindi cha nyuma kidogo enzi izo ikiundwa na Wakali kama Pavel Nevded uyu mtu alikua fundi sana anzia timu ya Taifa mpaka Juventus...
Wapendwa habari za masiku leo napenda tupitie huu uzi mdogo hapa wenye kufurahisha nimeutoa mahali.....
Bila mawazo ya Dj Jooh kusaga labda Clouds Fm isingekuwepo hapa ilipo mara nyingi...
Kiukweli miaka hiyo kulikuwa na ushindani mkubwa sana kati ya Matajiri hawa wawil na Simba na Yanga. Sijui ni nini kiliwatoa kwenye Ule Ushindani.
Mechi zao zilikuwa zikitabiria na watabiri...
Kila muda wanaisifia Liverpool na Daniel Sturridge "kuwa kafunga magoli mawili Jana na Liverpool haijapoteza mechi 10.
Mbona Arsenal hajapoteza mechi 14 mpaka sasa na Jana Oxlade Chamberlain nae...
Azam TV yazindua full dozi
Kituo cha Azam TV kimezindua promosheni ya Full Dozi Kutwa Mara Tatu ambapo ni fursa kwa mteja mpya atapewa king’amuzi bure, dishi bure na vifaa vingine ikiwa ni...
UPDATE
Kwa mujibu wa kituo cha redio E-FM mtangazaji Maulid Kitenge ametangaza kocha wa klabu ya Zesco United, George Lwandamina amesaini mkataba wa miaka miwili wa kuinoa klabu ya Jangwani...
EXCLUSIVE LEO USIKU KATIKA MICHEZO NA BURUDANI.
Wana- Nkurukumbi Kagera Sugar yawasimamisha Mlinda Mlango Husein Shariff pamoja na Beki wa kati Erick Charles wakiwahusisha na upangaji wa Matokeo...
Klabu ya yanga imemuajiri CEO mpya mfaransa kwa mkatana mpya wa miaka 3. Mfaransa huyo atasimamia masuala ya fedha na usimamizi wa maendeleo ya academy ya klabu
Mtandao wa Supersport umereport...
Kwaheri Hans hii ndio Tanzania, Kichwa cha mwendawazimu, wamekuletea kocha bila kuvunja mkataba na wewe, ni dharau kubwa, ukienda kwenu ulaya kawaambie kwanini mpira wetu haukui, kocha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.