Misimu miwili imepita, mshambuliaji kinda wa Simba, Ibrahim Ajibu Migomba alianza kuonekana na baadaye akawa msaada kwenye kikosi cha Msimbazi.
Ajibu ni mchezaji mwenye kipaji hasa, mchezaji...
Klabu ya Barcelona ilitimiza game yake ya 1500 katika beseni la Camp Nou kwa ushindi wa goli wa 1-0 dhidi ya Granada.
Katika mechi hio ndipo ikakamilisha mechi ya 1500 tangu kujengwa kwa uwanja...
Tukimjua , huyo ndiye adui mkubwa wa timu yetu .
Haiwezekani na wala haitawezekana kuvumilia jambo hili .
Kumuacha mchezaji kama huyu na kuchukua galasa kama Kiongera na wengine wa aina hiyo...
BREAKING NEWS
Hatimae mohamed dewji(mo) amekubali kuiacha simba ijiendeshe yenyewe ili kutimiza agizo la baraza la michezo....
Hata hivyo itawabidi ungozi wa simba kuitisha mkutano maalumu wa...
Kabla ya yote mimi ni simba damu.
Ok,
Baada ya Mwigulu kusaidi Kocha wa Yanga kurudi kwenye timu yake yamezuka maneno mengi sana kumtuhumu kwa namna moja ama nyingine.
Leo nimemsikia Komredi...
Hello fans!
Naomba kujuzwa,Christian ronaldo Ana hotel anayomiliki U.S.A kwa sasa. Je hotel hiyo aliijenga au alinunua kwa mtu au kampuni na kuifanyia marekebisho?
Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Obrey Chirwa Chola amesema kwamba iwapo atapangwa katika mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya mahasimu, Simba Oktoba 1, mwaka huu atajenga heshima...
Wakuu wakati ligi ya VPL ikiendelea ni vyema kuweka kumbukumbu muhimu hasa kuhusu timu inayotajwa kuchukua ubingwa kabla ya ligi kwisha.
Simba Sc Mnyama mkubwa Mwendo Kasi 4G amekuwa na rekodi...
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika, Issa Hayatou ameteua Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi kuwa miongoni mwa wajumbe 11 wa Kamati maalumu ya mageuzi ya...
Mwishoni mwa wiki iliyopita zilienea habari katika mitandao ya kijamii kuwa Mkurugenzi Mtendaji na Rais wa MeTL Group, Mohammed Dewji na Yusuph Manji wote kwa pamoja wamesitisha mipango ya...
"Tatizo Simba mnamtegemea sana Mavugo, alishindwa kufunga huyo ndio basi tena, mpira haupo hivyo"
ONE MONTH LATER
"Simba pale ukimbana vizuri Tshabalala umekwisha, magoli yote anatengeneza...
Je unavifahamu vyema vigogo hivi vya soka barani, ulaya?
1. Real Madrid
2. Atletico Madrid
3. Tottenham
4. Villareal
5. Nice
6. Bayern Munich
Kama jibu lako ni ndio.. jua kwa sasa vinashare...
Ni wazi kuwa soka letu haliwez kuendelea kama tutendelea na tabia za kudhan sisi ni watoto wa timu flan kubwa. Hivyo tunapocheza nazo tunapaswa kuziachia. Haya mambo yanaonekana sana katika timu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.