CAF wamekiita kijeba cha Congo Brazzaville wakipime umri
By: Shaffih Dauda / Posted: Saturday 5th November 2016
Shirikisho la soka barani Africa (Confederation of African Football) lipo mbioni...
habari wadau..
binafsi na mshabiki mkubwa wa b ball duniani... na mfatiliaji mkubwa wa nba.. college ball usa na euroleague..
my favaurite team kwa nba ni cavaliers.. I love lebron sana na...
Nilipokuwa mdogo nilikuwa nikisikia visa na vituko mbalimbali vya golikipa maarufu wa yanga na taifa stars Juma Pondamali.
Nasikia amewahi kuudaka mpira na kuuficha watu wakabaki wanashindwa...
Kama bado unaamini kuwa Manchester United bado ni timu kubwa Barani Ulaya basi umepotoka.
Man UTD si klabu kubwa tena na wala sio Man UTD ya kipindi kile iliokuwa inavitisha vilabu pinzani kabla...
Baada ya serengeti boys kutolewa hatujamslkia tena mheshimiwa nape
hivi karibuni baada ya timu ya taifa ya vijana kubakisha mechi moja ili kufuzu michuano ya mataifa ya afrika kwa...
Rais kasikika leo akijitapa kushabikia ndondo Cup kuliko ligi kuu kwa kigezo cha wang'oa Viti, basi Tanzania kushiriki kombe la Dunia itakuwa ndoto.
Haiwezakani Kiongozi Mkuu ukalialia matatizo...
Uongozi wa Klabu ya Simba umesema utamburuza mahakamani beki wa Yanga Hassan Kessy kwa madai ya kuwatuhumu kumpa rushwa katika mojawapo ya mechi zilizopita baina ya Simba na Mtibwa Sugar...
Kuna taarifa imekuwa ikipita ktk Mitandao hasa Whtsapp ikimnukuu Dr LIAKEY. akiwashutumu AZAMTV kuihujumu YANGA na kuibeba Simba. Je ina ukweli wowote.
SOMA MADAI YAKE HAPA CHINI
" Mchambuzi wa...
ulikuwa unahojiwa muda si mrefu na sports extra. cha ajabu afisa habari mzima wa timu unajisifu, nukuu isiyo rasmi "mimi sipendi kutumia mitandao ya kijamii, situmii twitter, situmii instragram...
Siku ya saba sasa mji wa shinyanga umekuwa mtupu baada ya lile tishio la Simba mla watu na vitu kuvamia mkoa huo. Inasemekana wananchi walisha tahadharishwa ujio wa Simba huyo na wengine waliamua...
Wanajamvi habari za wakati. Naomba kuuliza, hivi Haji Manara na kituo cha radio E-fm wana ugomvi? Haji Manara ndiye msemaji rasmi wa Klabu ya Simba. Binafsi sijawahi kumsikia Malidi Kitenge...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.