Timu ya Sunderland ya Uingereza imeingia mkataba wa miaka miwili na kampuni ya Acacia kupitia Mgodi wa Dhahabu wa Buzwagi ulioko Wilayani Kahama Shinyanga kufundisha makocha watakaotumika kunoa...
Dar es Salaam. Kocha Mzambia George Lwandamina anatarajia kutua Yanga baada ya safari yake kuiva kufuatia mwajiri wake, Kampuni ya Umeme Zambia (Zesco) kukubali kumuachia.
Habari zilizopatikana...
Uongozi wa Klabu ya Azam FC kwa masikitiko makubwa, unatangaza kifo cha mwenyekiti wake, Mzee Said Mohamed Abeid, kilichotokea alasir ya Novemba 7, 2016, katika Hospitali ya Aga Khan jijini Dar...
Wachezaji Cristiano Ronaldo na Lionel Messi ndio wachezaji wa mchezo wa soka wanaongoza kwa kulipwa pesa nyingi zaidi duniani kwa sasa.
Ronaldo analipwa kiasi cha Pauni 365,000 kwa wiki huku...
MEXICO: Mchezaji mmoja wa soka anasakwa na POlisi kwa tuhuma za kumuua mwamuzi kwa kumpiga kichwa usoni sababu ya kupewa kadi nyekundu.
Tukio hilo limetokea katika Jiji la Tulancingo katika jimbo...
mimi napenda mpira wa miguu lkn leo nilikua na angalia mpira nikidhan ni wabunge wanacheza mechi ya kirafiki Dodoma, kutaamaki lahaula kumbe ni yanga na prison. Kwa kiwango hiki tuna safari...
Ukiwa kama mdau wa michezo na shabiki wa kutupwa wa Yanga.Na kama ulivyolifafanua suala majina yako tukaridhika.Sasa kuna hili la Kocha Yanga,juzi vyombo vya habari viliandika Mwigulu afanikiwa...
Simba Sc timu iliyocheza mechi 13 na kufungwa goli 2 tu na moja la mkono ililofungwa na Yanga SC,leo inakipiga na African Lyon ya Dar es Salaam uwanja wa Uhuru. Mechi hiyo itakuwa ni ya 14 kwa...
Ikitokea siku timu ya taifa Mpira wa Miguu ikabeba Kombe la Dunia,kombe hilo litahifadhiwa wapi?
Kwenye Ofisi za Tff,Kambi za Jeshi au tutaomba nchi za nje watuhifadhie au likafichwe hata...
Klabu ya Barcelona inasheherekea tukio jingine la kihistoria baada ya mshambuliaji wa Argentina Lionel Messi kuifungia klabu yake bao lake la 500 siku ya Jumapili.
Messi mwenye umri wa miaka 29...
1:Vicent Angban
Anaweza kupanga safu yake ya ulinzi vizuri.Ni goalkeeper ambaye hajawahi kupata kashi kashi yoyote ambayo inaweza kumpima uwezo wake.Ingekuwa si uimara wa safu ya ulinzi wa...
Msuva kachaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi.
Sioni wanayanga wakiwa na makeleeeelee mitaani na hata mitandaoni. Wangekuwa mikia FC tungekoma mitaani na hata mitandaoni.
Matokeo ya katikati ya Juma hili kwa Ligi Kuu yalikuwa na sura mbili. Ya huzuni na ya Furaha. Kuna waliocheka na kuna walionuna pia.
Mwisho wa Juma hili tunaendelea kupata Uhondo mwingine kwa...
Habari wakuu, ligi kuu bara inaendelea kwa mechi kadhaa viwanjani. Kutoka uwanja wa Sokoine ubao mpaka sasa unasomeka Mbeya anaongoza kwa goli moja bila majibu likifungwa na Hassan Mwasapili...
Bondia Manny Pacquiao ametwaa ubingwa wa mkanda wa WBO wenye uzito wa welterweight baada ya kumpiga bondia Jessie Vargas Jijini Las Vegas.
Pacquiao alipohojiwa baada ya mpambano kuhusu Bondia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.