Najiuliza tu hawa wachezaji wote wangekua wanachezea timu moja, sipati picha watangazaji ambavyo wangekua wanajing'ata ng'ata[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Leo imechezwa michezo kadhaa ya Ligi kuu ya Vodacom Tanzania ila macho na masikio ya wengi yalikua kule Mbeya kwenye uwanja wa Sokoine mtanange Kati ya Wenyeji Tanzania Prison na Wageni wao Timu...
Usiku wa leo umechezwa mchezo wa kuwania kufuzu kwa kombe la dunia kati ya wababe wawili wa Amerika Ya Kusini(South America derby),Brazil vs Argentina
Brazil wakiwa nyumbani wamefanikiwa...
Mwalimu wa Simba amekosea sana kuwataka wachezaji wake wacheze kufa na kupona ili kushinda kila mechi hata zile zilizochezwa ugenini kwenye viwanja vibovu sana. Baadhi ya viwanja vya mikoani ni...
Kiungo wa kati wa Manchester City amesalimu amri na kumuomba msamaha wasimamizi wa klabu hiyo baada ya kutochezeshwa kwa muda na meneja wa klabu hiyo Pep Guardiola.
Kupitia taarifa kwenye ukurasa...
Ndg zangu, watani zangu wale wazee wa Msimbazi a.k.a Mikia,.. Nilizoea kuziona na kuzisoma post zenu kila niamkapo nakutana na post kibaaaao.. Mara TANAPA wametangaza mnyama mkali Simba ametoroka...
Kuna jamaa wanadai eti.. narudi tena eti.. hii kasi aliyonayo Simba S.C [4G] ni nguvu ya soda tu.. Mzunguko wa pili wachezaji watakua wamechoka, pia majeruhi yatawaandama.. Hivyo lazma waanze...
Wasaalam wanajamvi!
Leo ninapenda kuwaletea 'Unabii' mwanana kabisa kuhusu vijana hawa wanaochezea klabu ya Simba SC.
Kama ilivyo desturi ya soka la Tanzania na pia hali halisi ya Vilabu hivi...
Hebu sasa ya Trump tuwaachie BBC na CNN turudi dimbani leo yule mnyama asiyefugwa kupambana na askari wa magereza kaeni mkao kwa update.
==========
Klabu za Tanzania Prisons na Simba leo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.