Hakika TFF sidhani kama wana dhamira ya kuinua soka la Tanzania.TFF in kikundi cha watu wababaishaji waliojipanga kushusha soka la Tanzania kuanzia Timu ya Taifa mpaka Vilabu vyetu huku wakipiga...
Samir Nasri: Guardiola huwataka wachezaji kutofanya mapenzi baada ya saa 6 usiku - BBC Swahili
Unadhani Makocha wetu wa Kibongo wakianza kutumia huu mfumo soka letu litaendelea?
Habari wanamichezo wenzangu
Naangalia ufunguzi wa ligi ya mpira wa miguu kwa vijana chini ya miaka 20, mechi ni kati ya Yanga na Kagera
Kwa mshangao naona wachezahi wa timu zote umri umezidi...
KOCHA mpya wa Yanga, George Lwandamina amependekeza wachezaji wawili wasajiliwe dirisha hili dogo, ambao ni kiungo wa ulinzi Mzambia Meshack Chaila na mshambuliaji Mkenya Jesse Were.
Chaila na...
Kuna Michezo kadhaa ya Kimataifa Kirafiki inachezwa kwa sasa
England vs Spain
dk 40 England 1 Spain 0
mfungaji Adam lalana(penalt)
Italy vs Germany
half time 0-0
France vs Code i voire
half...
Watu wanajipigia USA na hasira zao zingine za trump,sio kipigo hicho hv bado Klinsmann ndio kocha wao...duuhh 4-0 USA hamna kitu tena,kina Altidore soon wataambiwa warudi kwao Ghana na Trump
Ligi kuu Tanzania Bara inaendelea leo kwa klabu ya Yanga kuwakaribisha maafande wa Ruvu JKT uwanja wa Uhuru. Mechi hii itaashiria kufungwa rasmi mzunguko wa kwanza, mechi hii ni muhimu kwa klabu...
Timu 3 za kwanza katika msimamo wa ligi.
1. Simba S.C - Pointi 17
2. Stand United - Pointi 16
3. Mtibwa Sugar - Pointi13
Timu iliyoshinda Mechi nyingi.
1. Simba S.C - Mechi 5
2. Stand United -...
Huyu jamaa wa kuitwa Shiza Kichuya ni hatari sana.. Shughuli yake ni pevu sana pindi anapokutana na mabeki wa timu pinzani.
Nasikia mabeki wa timu pinzani wakipangiwa kazi ya kumdhibiti Kichuya...
Watu masikini wanamuona MO ndo kila kitu Simba
sababu ya akili fupi
Lakini huyu Patrick Kahemera ni kichwa now na muhimu kuliko hata huyo Mo
na iwapo atasikilizwa basi Simba itafika mbaali saana
Mwanariadha mwenye ulemavu Oscar Pistorius amehamishiwa katika gereza lenye mazingira rafiki kwaajili ya Walemavu ambako atatumikia na kumalizia kifungo chake cha Miaka 6.
Mwanaridha huyo...
Mechi ya Zimbabwe vs Tanzania itakua saa ngapi? Na itarushwa mubashara na vituo gani vya runinga?
========
Timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, jana ilikuwa na mechi ya Kirafiki na...
Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (TAKUKURU) inajipanga kuchunguza vitendo vya rushwa katika mechi za mpira wa miguu vinavyodaiwa kuendeshwa kupitia mitandao ya kijamii hususan ‘WhatsApp’...
Kipindi cha Nyuma kulikua na Mashindano ya Kombe la Muungano Mufindi yakiwa yanafanyika Mji wa Mufindi na kushirikisha timu nyingi kutoka Nyanda za Juu Kusini
Ila baadaye yakaanza kushirikisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.