Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Msemaji wa klabu ya soka ya Simba,Haji Manara,amesema kuwa Simba haikuwahi kuwa na mazungumzo na Emmanuel Okwi wala mchezaji mwingine yeyote. Akihojiwa leo asubuhi na kituo cha redio cha Magic...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Klabu ya Yanga imethibitisha kuwa Hans Van der Pluijm amekubali kuwa Mkurugenzi wa Ufundi wa klabu hiyo huku nafasi ya Kocha Mkuu ikichukuliwa na George Lwandamina kutoka Zesco ya Zambia...
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Imepita miaka karibia Mitatu tangu mkoa wa Arusha kukosa timu ya Mpira wa Miguu ligi kuu,Tangu JKT OLJORO ishuke daraja Jiji limekua halina tena timu ligi kuu Kipindi cha Nyuma Soka la mkoa wa...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Mshambuliaji mahiri Raia wa Uganda, Emanuel Gabriel Okwi muda mfupi uliopita amesaini mkataba wa kuichezea Klabu yake ya zamani, Simba Sports Club. Amesaini mkataba wa mwaka mmoja wa kuichezea...
5 Reactions
74 Replies
34K Views
angalia Lwandamina amekaa na zesco karibu miaka miwili zesco kwenye renk ya caf ya 49 puljini yupo na yanga miaka miwili na nusu yanga ya 349 wapi kazi babuu babu babuuu babu
1 Reactions
6 Replies
916 Views
Mchezaji wa kiungo wa kutegemewa wa Arsenal Fc ya London ambaye kwa sasa anaandamwa na majeraha ya achilles anategemewa kwenda mjini barcelona - Cataluna kwenda muona daktari bingwa ili aweze...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
West Brom players Cyrille Regis (left) and Len Cantello (right) at kick-off. In 1979, an innocently novel football match was played in England that would now never be allowed. West Bromwich...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Uwanja tayari umefurika hapa. Washabiki ni wengi kutoka kila pembe ya Dunia wamekuja kujumuika ili kushuhudia moja kati ya mitanange mitamu wikiendi hii. Kila upande ninao uangalia uwanjani hapa...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Moja kati ya michezo ya soka unao subiriwa na watu wengi ni mchezo kati ya Man United dhidi ya Arsenal utakaochezwa leo katika uwanja wa Old Trafford, huu ni mchezo unaomkutanisha Jose Mourinho...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
hapa namuona yule mbabe akiendelea kumdunda mwenzie.... wewe unauelekeo gani kuelekea game hii nzito
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Mtaji wa Kanji utaongezeka kupitia hizi games
2 Reactions
4 Replies
865 Views
Hawa clouds kipindi cha sports wanatumika kuichafua simba na kuidhoofisha eti tunachinja paka.......ndo tushinde. walete udhibitisho!!!! Watu wengine bhnana
3 Reactions
36 Replies
4K Views
Nimemuona Mwenyekiti wa usajili wa simba Mzee wetu Pop akilalamika juu ya wachezaji kucheza chini ya kiwango kiukweli ukiangalia kiufundi wa mpira wachezaji wamejitahidi mpaka kufikia lakina...
1 Reactions
22 Replies
5K Views
Beki wa kutumainiwa wa club ya simba mohamed hussein "Zimbabwe jr ataendelea kusalia katika kikosi icho kwa miaka miwili zaidi: Source meneja wake... mzozo.!!
0 Reactions
5 Replies
8K Views
Kocha Mkuu wa Chelsea FC, Antonio Conte atangazwa kuwa Kocha Bora kwa Mwezi Oktaba na Kiungo Mshambuliaji Eden Hazard atangazwa kuwa Mchezaji bora wa mwezi Oktoba. Mafanikio hayo yametokana na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanasayansi wabobezi katika chuo kimoja huko mashariki ya mbali ambacho kinaheshima kubwa sana duniani.. wameibuka na utafiti uliowashangaza wengi.. kua timu ya Simba S.C ya msimu huu ni tiba ya...
9 Reactions
34 Replies
4K Views
Nadiriki kuwaambia Yanga kuwa imethibitika pasipo shaka kuwa Klabu ya Yanga haina uwezo kabisa ya kufanya vizuri kwenye Mashindano ya Kimataifa.Klabu ya Yangu imeshiriki miaka 2 mfululizo bila...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
MO please ichukue timu kimya kimya kuna viongozi wanatuhujumu kabisa. Kuna viongozi wanatuhujumu. Kuna baadhi ya viiongozi wanauza mechi sio kawaida kufungwa na African Lyon na Prison na tushinde...
2 Reactions
46 Replies
5K Views
Mchezaji bora wa soka duniani, Lionel Messi amewaongoza Argenina kuwasambaratisha Colombia kwa mabao 3-0 katika michuano ya kufuzu Kombe la Dunia mwaka 2018 kwa nchi za Amerika ya Kusini. Katika...
6 Reactions
16 Replies
2K Views
Back
Top Bottom