Azam Kwa usajili walifanya kuwaleta wa Colombia tulidhani watatoa changamoto Kwa Yanga kumbe ndo Iko uji hivi.
Azam fc wamekata tamaa
Wanacheza kama wachovu Kweli kweli.
Azam hawezi kupiga pasi...
Waafrika tunapenda sana kujipendekeza, hata tusipotakiwa, Argentina ndio nchi pekee America ya Kusini iliowafuta kwa kuwaua watu weusi ili wasiharibu damu yao.
Ndio maana hata timu yao ya Taifa...
Jaman kuna miujiza hii dunia haisemeki mnakumbukaga jaman zile jezi feki wakatuambia za mabil na ma tv yakaonyeshwa
Akatoke mh mmoja sijui kama yuko madarakan akasema hizi jezi tra wazizuie...
Cristiano Ronaldo amekuwa mchezaji wa kwanza wa kiume katika historia kufunga magoli 900 kwenye mechi rasmi. Amefikia rekodi hii ya kihistoria katika mechi ya UEFA Nations League kati ya Ureno na...
Mchezaji wa zamani wa Newcastle United na timu ya taifa ya England, Alan Shearer amesema kocha wa Manchester United, Erik ten Hag ana michezo miwili pekee ya kuokoa kibarua chake.
Man United...
Duke Abuya Vs Prince Dube.
Game On...
33'
Mpira unaendelea kwa kasi sana.
Duke Abuya kiungo anaubonda sana leo
35'
Kenya wanajitahidi kufika kwenye lango la Zimbabwe wanakaa imara pale.
36'...
Watanzania wengi wamekariri
Wanauchukulia team ya Taifa Ethiopia kizamani
Ethiopia walianzia kwenye project za vijana na Sasa inaanza kuwalipa kwenye senior team.
Ethiopia ni hivi majuzi kampiga...
Mpira ni Science na profession kama zilizo udaktari, ualimu, uhasibu uinjinia na nyngne nyingi kwahyo kuamini kwenye ngonjera na siasa za hapa na pale hakuta lisaidia Taifa kimpira. Jambo la...
Maisha yana fumbo kubwa. Yule ambaye hauna undugu naye wowote wa karibu ndiye anaweza kuwa msitiri wako wa kwanza wakati yule ambaye ni ndugu yako wa damu anaweza kugeuka kuwa adui yako asiyetaka...
Last year tumechezaAFCON na kikosi hiki hiki .
Watanzania acheni siasa kocha asepe tutafute kocha mpya, kocha hana uwezo shida yetu ni kuprogress AFCON sio kuingia AFCON acheni siasa
I will be...
Awali mlianzisha propaganda kwamba kumbakiza Aziz ki ni ngumu maana timu nyingi kubwa afrika zinamuwania.Lengo muonekano mmempambania sana mpaka mmewin vita ya kuzishinda timu kubwa za Afrika...
Habari wanajamvi ,wale wapenzi na watumiaji wa ving'amuzi vya canal plus tukutane hapa na kupeana updates hasa kuhusu matangazo na ratiba yao ya mpira na vipindi vingine.
Leo taifa stars inacheza...
Kwa miaka mingi Tanzania imekuwa nyuma kimpira ikishika nafasi ya zaidi 120 duniani, hakuna maendeleo mazuri timu ya taifa na wahusika wapo tu ni kama tumeridhika na hiyo nafasi tuliyonayo. TFF...
Kuna ulazima wa serikali kuingilia kati hata kushauriana na TFF hasa suala hili la mpira.
Ilikuokoa timu ya taifa, mimi kwa mtazamo wangu tungeanza na kupunguza wachezaji wa kigeni angalau hata...
Katika timu sijawai kuelewa selection ya kikosi basi ni hiii.timu imejaa wachezaji wa bench tu
Timu mbele selection ya kikosi zero, Kibabage na Msindo ni mawinga.? Ligi yote tumekosa mawinga wa...
Habari ndugu zangu,
Kundi letu lipo wazi mno.. ( Tanzania, DRC, Guinea na Ethiopia)
Ngoja niwakumbushe jambo, kuelekea Afcon ya 2019, Tulianza na kocha mzawa Salum Mayanga.
Tukadroo 1-1 mchezo...
Japo China hana mpira mkubwa sana lakini hii iko ndani ya Kila mchina kuwa hapendi kupigwa au kupitwa na mjapani Hawa ni washindani wa kudumu
Hapa naangalia namna Japan anampiga china najua viunga...
Kwa mara ya kwanza tangu mwaka 2003, nguli wa Soka Duniani, Lionel Messi na Cristiano Ronaldo hawamo kwenye orodha ya wachezaji walioteuliwa kuwania tuzo ya Ballon d'Or.
Messi alishinda tuzo huyo...
Mtumishi wa Mungu Anthony Lusekero (Mzee wa Upako) amefunguka jana Septemba 4, 2024 kupitia Global TV na kueleza kuwa mpaka sasa hakuna Msemaji aliyefikia kiwango cha Haji Manara.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.