Wakati Simba ilipozindua jezi mpya ya msimu huu wa 2024-25 na jezi hizo kuja na nembo mpya ya Sanda iliyozua gumzo kubwa, mimi ni mmoja wa watu waliopaza sauti nikitoa hoja na wasiwasi wangu...
Mshambuliaji wa Uruguay Luis Suarez ametangaza kustaafu soka la kimataifa.
Akizungumza huku akitokwa na macho katika wakati wa mkutano na wandishi wa habari mjini Montevideo, Uruguay, Suarez...
Azam FC imetangaza leo, Septemba 3, 2024, kwamba imefikia makubaliano ya pande mbili na kocha mkuu Youssouph Dabo ya kusitisha mahusiano yao ya kikazi. Dabo, ambaye amehudumu katika klabu kwa...
Hatimae ile siku tuliyokuwa tukiisubiria imefika, ni bonge la mechi kati ya Azam na Yanga katika fainali ya kombe la shirikisho la CRDB
Mechi hii itachezwa majira ya saa 2:15 usiku pale kwenye...
Benki ya CRDB imezindua rasmi msimu mpya wa mashindano ya mpira wa miguu na mpira wa pete yanayowahusisha wafanyakazi wake yanayotambulika kama “CRDB Bank Supa Cup 2024”, yaliyoanza kutimua vumbi...
Hapo awali mabingwa wa Tz bara Yanga sc walipanga kwenda kufanya maandalizi ya msimu mpya nchini Uturuki.
Ikumbukwe kuwa usajili wa Azizi ki umeigharimu GSM kitita cha USD 200,000 na mshahara wa...
Kuna siri moja Roberto Oliveira ‘Robertinho’ amewaachia Simba.
Kwenye ripoti yake aliyoacha amemwambia Mohammed Dewji ‘Mo’ amng’oe Aziz Ki pale Yanga.
Amekiri kumwambia mchezaji huyo ambaye...
Japo unafanya kazi nzuri, lakini ulikosea sana kuweka kikosi kizima cha first eleven ulipocheza na Azam katika mchezo wa ligi kuu huku ukikabiliwa na mechi muhimu dhidi ya Mamelodi.
Najiuliza...
Kiungo wa Yanga Khalid Aucho akifanya mahojiano na Muandishi wa habari kutoka Uganda hapo jana alipoulizwa kuhusu kuondoka Yanga alijibu kuwa bado yupo Yanga mpaka Siku Injinia na Gsm waseme Aucho...
Kwa makocha wa Africa kwa vilabu namkubali sana huyu mfaransa Julien Chevalier. Amekua Asec kwa mafanikio makubwa kwa misimu mitano mfululizo licha ya msimu uliopita kumaliza wa 5.
amekuwa...
Mheshimiwa waziri nimekusikia na kukuona kwenye mitandao ukiwa site huko manyara ukizungumza kuanzisha kituo cha michezo hasa riadha, na kuwaza kushinda mashindano mbalimbali;
Sasa ili ufanikiwe...
Mashindano ya CAF yote ni mashindano ya kikanuni,
Timu nyingi zilizofanikiwa hucheza kikanuni.
Miguel Gamond mechi yake ya kwanza alicheza kimazoea kule Algeria Yanga ikapokea kichapo cha mbwa...
Baada ya saga lake la usajili kutikisa hatmaye mshambuliaji wa the Super Eagles, Victor Osimhen amekubali kujiunga na klabu ya Galatasaray kwa mkopo kwa msimu ujao.
Mashabiki wa Galatasaray...
Nimekuwa nikifuatilia maendeleo ya ligi yetu ili uwezo binafsi wa wachezaji, siachi kuangalia ligi iwe Pamba vs JKT au Fountain gate vs Namungo.
Wachezaji watatu wwmenikuna sana msimu uliopita na...
Cristiano Ronaldo sio tu gwiji wa soka bali pia ni mfanyabiashara aliye na aina mbalimbali za biashara zinazoendeleza ushawishi wake zaidi ya uwanjani. Chapa yake ya CR7 inajumuisha nguo, viatu...
Kiungo wa klabu ya Simba, Jean Ahoua, ametajwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi Agosti katika Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2024/25 baada ya kuisaidia timu yake kushinda michezo miwili, akifunga bao moja na...
Kuna changamoto kubwa sana kwenye sehemu ya fitness ya wachezaji wa Simba na hii inaweza ikawa inasababishwa na mwalimu ndo maana Kuna wakati unaona wachezaji wanatafuta walimu binafsi wa...
The Egyptian King 👑 🔥
Mohamed Salah amehusika kwenye magoli (17) dhidi ya Manchester United, kuliko mchezaji yoyote katika historia 💥
➜ 11 - Magoli aliyowafunga.
➜ 06 - Assists alizotoa.
Full...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.