Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Nangalia mechi ya Kufuzu Kati ya Zimbabwe na Swaziland Nashangaa kutowaona Kamusoko na Ngoma walau hata nje ya benchi Kumbe magarasa kwao
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Klab ya simba imepokea mzigo wa dola laki tatu kutoka etoil sportive du sahel rasmi sasa kazi kwao uwanja bunju za samata 20% znasubiriwa uwanja huwooo yanga mtabaki na bwawa lenu la samaki...
5 Reactions
22 Replies
4K Views
Timu ya Taifa ya Chad imejitoa kwenye mashindano yanayoendelea ya kufuzu michuano ya kombe la mataifa ya Afrika, 'Afcon 2017' wakitoa sababu ya ukata wa fedha kuelekea mechi yao ya pili dhidi ya...
0 Reactions
94 Replies
15K Views
Nimewamiss sana nyie jamaa mlikua mnanikosha sana, enzi zile Hold it down Look at me now Party dont stop Wakati wako Fresh all day If you believe me Rudini tena basi, msiwape nafasi saut sol...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
NAANDIKA KWA UCHUNGU KIDOGO Ni kweli kwamba moja ya ahadi ya Mwenyekiti Aveva ilikua ni kuongeza wanachama hadi kufikia 50,000 na kwamba zoezi lilianza kwa kasi na kusimama kwa kasi kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Vurugu Kubwa Mechi ya Kenya Vs Guinea Busau Mabomu Yanarindima Mechi Ya Kufuzu Kati Ya Kenya na Guinea Bisau Baada ya Guine Kuoata Bao La Utata Mpira Umesimama Mechi kati ya Kenya na Guinea...
1 Reactions
29 Replies
3K Views
Wakuu nimemsikia Aden Rage akisema CAF watalipa gharama zote kwa TFF, najiuliza gharama hizi zitalipwa kwa pesa ipi? Hii ya fine ilopigwa Chad $20,000? Mbona Ni pesa ndogo? Au CAF huwa Ina mfuko...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Waliokata tiketi Tanzania na Chad kurudishiwa pesa Afisa Habari wa TTF Baraka Kizuguto TFF inawaomba washabiki wa mpira wa miguu waliokua wamekata tiketi za mchezo huo, kufika kesho Jumanne...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
DHAIRA AFARIKI DUNIA, NI BAADA YA KUSUMBULIWA KWA KANSA YA UTUMBO Kipa wa zamani wa Simba na Uganda ‘The Cranes’, Abel Dhaira amefariki dunia leo nchini Iceland alipokuwa akipatiwa matibabu...
0 Reactions
8 Replies
8K Views
Hili ni wazo langu kwa Taifa stars, mabingwa wote huwa mabingwa kwa kuwafunga mabingwa, msitegemee timu za ki-chadi chadi, sasa imejitoa na group limebaki na Nigeria na Egypt na Tz, point...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Watu wengi wanajaribu kujiuliza ni kwa nini Mou alifukuzwa kibaruani? Makocha wakubwa na wachambuzi wakubwa wa soka wanatanabaisha kuwa Mou alikosa 'ufalme ndani ya dressing room'. Mnakumbuka...
1 Reactions
19 Replies
4K Views
wapenzi wa soka la nje,nchi gani kati ya hizi unadhani ina ligi yenye ushidani zaidi? italia uingereza ujerumani ufaransa uhispania uholanzi
0 Reactions
75 Replies
13K Views
Wakubwa wapenzi wa ndondi, jana matokeo yalikuaje uwanja wa Taifa, hasa gemu Kati ya Maugo Vs Dulla Mbabe. Nasibu Ramadhani Vs Francis Miyeyusho, Cosmas Cheka Vs Mudi Matumla.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) leo limetangaza viingilio vya mchezo wa kuwania kufuzu kwa Fainali za Mataifa Afrika (AFCON) kundi G siku ya Jumatatu kati ya Tanzania dhidi ya Chad...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Full Time GER 2 - 3 ENG
0 Reactions
1 Replies
762 Views
Nje ya uwanja chanzo chetu cha kuaminika kimebaini kuwa viongozi wa timu ya Geita Gold Sports, walitoa kiasi cha shilingi milioni 6 za kitanzania kwa viongozi na benchi la ufundi la timu ya JKT...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
wadau kati ya mitandao ya habari za michezo Tanzania wew upi unakuvutia sana? www.salehejembe.blogspot.com www.binzubery.com www.shaffihdauda.com www.soka360.co.tz www.kandanda.co.tz laKwa mimi...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Mwanamuziki mkongwe wa Congo DRC , Koffi Olomide akiri kutofahamu ma-star maarufu wa tasnia ya muziki iwe mwanamuziki au msanii wa kizazi kipya Mkenya. Koffi alizidi kuongea kwa staha a.k.a ''...
1 Reactions
27 Replies
5K Views
Meneja wa Uwanja wa Sokoine wa jijini hapa, Modetus Mwaluka ameitaka Mbeya City itafute uwanja wake wa kufanyia mazoezi badala ya kuugeuza uwanja huo kuwa wa mazoezi. Mwaluka alitoa agizo hilo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu habari kama title inavojieleza kwa mtazamo wako nani ni best box to box midfielder of our time? Kwamimi nilikuwa napenda sana kuwaona pavel nedved roy keane zinedine zidane
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom