Uefa offices raided by police after Gianni Infantino named in Panama Papers
FIFA president Gianni Infantino is dismayed at being dragged into another crisis... here's all you need to know about...
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Nchini (TAKUKURU), imesema inazo taarifa zote juu ya tuhuma za rushwa ndani ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) na tayari imeanza uchunguzi.
Akizungumza...
Dk Sulaiman Al-Fahim
Mfanyabiashara maarufu wa kiarabu Dk Sulaiman Al-Fahim ametangazwa kuwa mwenyekiti mtendaji wa klabu ya African Lyon ambayo itashiriki ligi kuu ya Tanzania Bara msimu ujao...
KLABU ya Simba imeitaka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kufanya uchunguzi sakata ka upangaji matokeo Ligi Daraja la Kwanza.
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), mwanzoni mwa...
Kwenye idara zote Yanga ina wachezaji wa viwango vya juu kabisa wa hadhi ya kiafrika. Haina tofauti na timu zote kubwa za Afrika ya weusi unazozifahamu kwa sababu wa viwango vya juu ya hapo tayari...
Dar es Salaam. Kashfa ya kupanga matokeo na hatimaye kushushwa daraja kwa timu nne imechukua sura nyingine baada ya watendaji waandamizi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kudaiwa kuomba fedha...
Safari za Cristiano Ronaldo kwenda Morocco zilimletea skendo kubwa kipindi kilichopita licha ya yeye mwenyewe kupotezea huo uvumi.
Hivi sasa kuhusu Ronaldo imeripotiwa kwamba ameenda tena Morocco...
Sina shaka kabisa viwango vibovu vya man chester city Chelsea fc man chester untd ndio tiketi ya arsenal kuchukua ubingwa wa EPL this season
Sina shaka kabisa kama timu hizi zingekua katika ubora...
SAHAU rekodi za nyuma za Yanga dhidi ya timu za Misri, hususan National Al Ahly.
Hii ni soka, na lolote linaweza kutokea Jumamosi Aprili 9, 2016 wakati Yanga itakapoikaribisha Al Ahly kwenye...
Timu za Geita Gold, JKT Oljoro, Polisi Tabora na JKT Kanembwa zimeshushwa daraja baada ya kukutwa na hatia ya upangaji wa matokeo katika mechi zao za Ligi Daraja la Kwanza.
HUKUMU YA SAKATA LA...
STRAIKA wa Yanga, Paul Nonga amekuwa
akikumbana na ushindani mkubwa ndani ya
kikosi hicho kutoka kwa mastraika wa kigeni,
Amissi Tambwe na Donald Ngoma lakini
uongozi wake wa zamani wa Mwadui FC...
Kigoma airport to attain international status
ippmedia.com/ippmedia/news/kigoma-airport-attain-international-status
Minister for Works, Transportation and Communication, Prof Makame Mbarawa said...
Leo kuna michezo kadhaa imechezwa ya ligi kuu Tanzania bara.Kuna mapungufu niliyoyaona ambayo kwa sasa imekuwa kawaida sana katika soka letu hapa Tanzania.Mchezo uliochezwa pale mwanza kati ya...
Habari muda huyu wanajamvi,
Naomba kujua ni nini mtazamo wako juu ya ligi za wenzetu maana umekuwa gumzo sana kwamba ligi nzuri na bora ni Fulani kisa wanafunga magoli mengine
Au nyingine...
Nimezisoma millardayo.com, sikuzielewa ,naomba ufafanuzi maana sikuona mahali ambapo zime-cite katiba ya tff, Mara timu zmeshushwa daraja ,Mara watu wamefungiwa maisha,na ajabu kubwa ni kocha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.