Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

MASHINDANO: Klabu Bingwa Afrika, Raundi ya 3, Mchezo wa Kwanza TAREHE: 9 Aprili, Saa 10 Jioni MAHALI: Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam Kikosi cha Ahly Kilichokuja Dar ni: Makipa: Sherif Ekramy...
4 Reactions
273 Replies
28K Views
Huwa navutiwa na mambo furani kutizama soka la wanawake. Baadhi ya mambo hayo ni; 4. Jinsi wavyopiga penalt bila ufundi ile ni potelea pote. 1. Wanavyokabana uwanjani. 2. Wanavyoshangilia. 3...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jana nimebahatika kuuona mchezo wa Yanga na Waarabu kupitia luninga. Msema ukweli ni mpenzi wa Mungu. Kwa kweli Yanga wanatakiwa wakaze buti vinginevyo wataambulia patupu. Jana wale Waarabu...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wana bodi Sasa hivi inaeleweka kuwa bingwa wa VPL ndiyo mwakilishi wa nchi kwenye club bingwa ya Afrika wakati bingwa wa kombe la FA ndiyo mwakailishi kwenye kombe la CAF. Je ikitokea bingwa wa...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Joshua (kushoto) na Martin Bondia wa Uingereza wa uzito wa juu Antony Joshua anatarajiwa kupambana na Bondia wa Marekani Charles Martin kugombea uzito wa juu wa IBF mjini London. Pambano hilo la...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
WAKATI Sports Club Villa ikibugia mabao 7-0 ugenini kwa FUS Rabat katika Kombe la Shirikisho, mabingwa wa klabu za Afrika TP Mazembe wamejikuta wakilala kwa mabao 2-0 mbele ya Wydad Casablanca ya...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
NILIYOYAONA WHITE HART LANE Tottenham 3-0 Manchester United 1. Timu inayotaka ubingwa ndiyo hucheza hivi, Spurs leo wameonyesha kwanini wanatajwa kwenye mbio za Ubingwa, kuanzia kwenye kukaba...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
WAWAKILISHI wa Tanzania katika Kombe la Shirikisho, Azam FC, leo wamewatoa kimasomaso Watanzania baada ya kuichapa Esperance ya Tunisia mabao 2-1 kwenye uwanja wa Azam Complex jijini Dar es...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ni dk 20 sasa bado bila bila. Azam kakamatwa sana na asipo angalia atapigiwa home leo!!
0 Reactions
24 Replies
5K Views
SERA ya Ujamaa na Kujitegemea iliyoasisiwa na hayati Mwalimu Julius Nyerere mwaka 1967 ililenga kuthamini utu, kuleta umoja na mshikamano Tanzania. Leo hii ukizungumzia sera hii ya Ujamaa watu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
MABINGWA wa Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, leo wanajitupa uwanjani kumenyana na Esperance ya Tunisia katika mchezo wa kwanza wa raundi ya pili ya Kombe la Shirikisho barani Afrika, ikiwa...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Najiuliza sana hili linalotokea ligi ya Tanzania kwamba ati timu inapewa wiki nzima kujiandaa kwa mechi hivi ni kwa nini hasa au miundo mbinu au uchawi au lishe duni?
0 Reactions
28 Replies
2K Views
Posted by: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE Posted date: 4/09/2016 10:53:00 PM / comment : 0 SC Villa ya Uganda imefungwa mabao 7-0 na FUS Rabat ya Morocco katika mchezo wa kwanza hatua ya 16 Bora...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Simba ikiingia katika mashindano ya kimataifa kama club bingwa Africa timu lazima ipambane na moja ya club zifuatazo katika hatua za awali kabisa: Enyimba-Nigeria, Zamalek-Misri, El-Ahly-Misri...
8 Reactions
30 Replies
8K Views
Kwa leo mimi nitakuwa Barcelona chini ya jemedari Lionel Messi Mchezaji hatari zaidi kumshuhudia. Je wewe upo upande upi?
5 Reactions
116 Replies
8K Views
MABINGWA wa soka Tanzania, Yanga, leo wamenusurika kufungwa nyumbani katika mchezo wa kwanza wa raundi ya pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya National Al Ahly baada ya kutoka sare ya bao 1-1...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Nape Nnauye-Waziri wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo Waziri wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo Mh. Nape Nnauye amesema ataipitia ripoti ya hukumu iliyotolewa kwa waliokutwa na hatia...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imeandikia barua klabu ya Yanga kuiagiza iwe imekwishafanya uchaguzi wake hadi kufika Aprili 15, mwaka huu. Yanga imekwishapokea barua hiyo kutoka...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mashabiki maarufu wa Al Ahly ya Misri, Ultras Ahlawy wako jijini Dar es Salaam na wamekuwa wakifanya vurugu ile mbaya katika eneo la katikati ya jiji la Dar es Salaam. Mashabiki hao ambao wengi...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Tumeisha zowea kuona mbinu za watawala wa vilabu vya Simba na Yanga kwenye mechi za kimataifa za mashindano kupanga kuanza saa tisa mchana hapa nyumbani. Hii imeiambukiza timu ya Azam, kama ni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom