Nchi hii tulibahatika kupata rais mpenda michezo kwa miaka kadhaa, tunaomba awamu hii ihakikishe yafuatayo;
1. #TeamTanzania# tunachukua Medali za Dhahabu katika Mashindano ya Olimpiki, Rio2016...
pamoja sio mpenzi sana wa mpira,lakini nimegundua kipaji cha ufugaji magoli kwa wachezaji wa tanzania kimeyeyuka,ukiangalia wachezaji wanaoongoza kwa ufungaji wa magoli katika timu zetu asilimia...
HABARI KAMILI....
Simba aliyeingia kwenye zizi la Ng'ombe la msukuma siku ya jumapili 17/04/2016 jioni ktk uwanja wa Taifa ameuawa na mTOTO wa msukuma....
Kenya kwa mara nyingine imedhibitisha kwamba wana vipaji baada ya kunyakua kombe kuu kwenye series za rugby (saba upande)huko Singapore dhidi ya Fiji kwa try 30 kwa 7.
Kenya ndio timu ya pili...
si maneno yangu,bali nimemnukuu mojawapo wa makocha wa vpl,kama ilivyokuwa kenya kwa afc leopards na gormahia na huku lazima iwe hivyo ndio tupate mafanikio kisoka.kuna ukweli wowote?
Hii imezidi kushamiri kuwa ili Yanga ishinde kwa sasa imekuwa ni mpaka mchezaji wa Team pinzani atolewe kwa kadi nyekundu. jambo hili wachambuzi wengi wamekuwa wakilizungumzia kuwa ni aina ya...
Wadau naombeni kujua alipo huyu mchezaji wa mbeya city msimu uliopita. Nackia kitaaluma ni mwalimu je anachezea klabu gani kwasasa au ndo amerudi kwenye taaluma yake?
Binafsi nilitegemea timu...
LEO Kwenye uwanja wa Taifa kutakuwa na pambano kali la kufa mtu kati ya timu ya Wananchi Dar Young Africans dhidi ya timu kutoka kule mkoani Morogoro Mtibwa Suger.
Yanga wanaingia katika pambano...
Manchester city ni timu ambayo imejipatia umaarufu mkubwa hasa baada ya uwekezaji mkubwa uliofanywa na matajiri kutokea mashariki ya mbali
Baada ya kujipatia umaarufu mkubwa ndani ya Barclay's...
BEKI wa kati wa Azam FC, Serge Wawa Pascal na mshambuliaji Kipre Herman Tchetche, wote raia wa Ivory Coast hawatasafiri na timu kwenda Tunisia kesho.
Wawili hao wote watakosekana kwenye mchezo wa...
Kama ilivyo kawaida Leo tutashuhudia mchezo mkali baina ya Yanga Na Mtibwa.Watazamaji Na wapenzi wa soka watarajie upendeleo wa wazi wa Waamuzi wetu Kwa timu ya Yanga ili ipate ushindi.Kama...
Droo ya nusu fainali ya michuano ya klabu bingwa ulaya imetoka
Manchester City imepangwa kukutana na Real Madrid, na Bayern Munich itakutana na Atletico Madrid ili kuingia fainali
Mechi za kwanza...
MABINGWA wa soka Tanzania Bara, Yanga, leo wanaikaribisha Mtibwa Sugar ya Turiani kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kumalizia kiporo chao cha raundi ya 19 ya Ligi Kuu, matokeo ambayo...
Mashabiki wa mchezo wa kikapu Marekani,watalazimika kulipa kiingilio cha dola 27,500 (zaidi ya Sh.milioni 60) kushuhudia mechi ya mwisho ya fainali ya gwiji,Kobe Bryant akiichezea timu yake ya LA...
Michezo imehama muda sana kutoka kwenye hali ya kuwa kitu cha kujifurahisha nacho na kuburudisha, na sasa imekuwa biashara inayohitaji uwekezaji sahihi.
Bidhaa ni soka la kuvutia la timu yako...
Baraza la Michezo Tanzania limeitaka timu ya Yanga kufanya uchaguzi
Kaimu katibu Mkuu wa BMT Mohamed Kiganja amesema, walishatoa maelekezo kwamba ndani ya siku saba wafanye utaratibu au wafanye...
KAPOMBE AREJEA KUENDELEA NA MATIBABU NYUMBANI
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
BEKI kisiki wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Shomari Kapombe, amerejea nchini jana jioni baada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.