Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Ndugu, Kama utakuwa mfuatiliaji wa mpira wa miguu nchini basi si ajabu kwamba katika kichwa chako utakuwa unamkumbuka vema ombwe la uongozi lililofinyanga utendaji wa shirikisho la soka nchini...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Tuwe hapa pamoja kupeana updates. Vile vile na Azam yupo Shinyanga dhidi ya Mwadui. ------------------------------------------------------------- FT:COASTAL UNION FC 1-2 YANGA FC MWADUI FC 5-7...
2 Reactions
144 Replies
19K Views
Kumetokea malalamiko kutoka kwa wapinzani wa yanga kwamba ina bebwa na marefa na TFF, haya malalamiko sio sahihi kwani usajili wa yanga kwa aina ya wachezaji iliopata ni wazuri wanafanya timu...
2 Reactions
5 Replies
10K Views
Pia kwako waziri wa habari , utamaduni,vijana na michezo. MHE F Makangala , mnasema mmepata barua toka FIFA ikiulizia serikali kuingilia shughuli za TFF na inatishia...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
MACHI 4, 2007 wakati Grupo Desportivo Sagrada Esperança ikichapwa mabao 2-1 na wenyeji Petro Huambo katika Ligi Kuu ya Angola, maarufu kama Girabola, Yanga nayo ilikuwa ikiwasulubu mabingwa wa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nimekuwa nakifuatilia sana kipindi cha michezo kinachorushwa Na Redio ya Times FM Na kutangazwa Mtangazaji Ndimbo. Mtangazaji huyu aliwahi kuwa Afisa Habari wa Klabu ya Simba Na baadae...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Katika kuangalia kwangu mechi mbili za Yanga kwenye michuano ya mapinduzi cup naona dhahiri shairi kuna upendeleo kwenye timu ya Yanga. Hili ni tatizo na nasema kabisa haitaweza kufanya vizuri...
2 Reactions
47 Replies
7K Views
Nimeziangalia hizi picha kuna jambo nimelitafakari sana..........
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Baada ya kutolewa na Al Ahly kwenye michuano ya klabu bingwa Afrika timu ya Yanga sasa kupambana na Esperanca ya Angola. Utaratibu wa CAF ulikuwa kama ifuatavyo; Timu nane (8)zilizofuzu kutoka...
4 Reactions
48 Replies
13K Views
Baada ya kuangalia mechi za Young Africans vs. Al Ahly ya Misri na Azam vs. Esperance ya Tunisia, nimegundua mambo kadhaa. Kwanza, imedhihirisha kiwango kidogo cha soka ya ligi yetu. Ukiangalia...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Habari wanajamvi? Katika mechi ya leo,kwa wale waliobahatika kuangali watakubaliana na mimi ya kua Yanga wamecheza mchezo mzuri na wa kiwangi cha juu mpaka kuwafanya waarabu washangae na kuanza...
11 Reactions
38 Replies
4K Views
Kwenye game ya jana wakiwa nyumbani kwao dhidi ya Torino aliingia uwanjani dk ya 86 , timu yake ya Roma ikiwa nyuma kwa 2 - 1. akafunga goli la kusawazisha dk hiyohiyo ya 86 na akapachika la...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Wadau natumai hamjambo na wazima wa afya, langu jioni hii ni dogo tu lakini ni kubwa sana kimtazamo, ni hivi karibuni pamejitokeza hali flani ya kishabiki ambayo si nzuri kwakweli katika mikakati...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
goli la donald ngoma alilowafunga Al Ahly ni kiboko na kwa kasi ya ajabu,pili goli la Toto African uwanja wa taifa . endelea kuorodhesha
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Posted by: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE Posted date: 4/16/2016 08:59:00 AM / comment : 0 Kiungo wa Azam FC, Farid Mussa (kushoto) akiwa na mmoja wa viongozi wa timu, Abdulkarim Amin ''Popat'...
2 Reactions
20 Replies
6K Views
Francesco Totti - Wikipedia, the free encyclopedia
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Nimecheki video facebook jinsi wazungu washabiki wa Southampton wakiimba wimbo kum-praise mwana East Africa mwenzetu Victor Wanyama. Inafurahisha kwakweli.
1 Reactions
6 Replies
2K Views
"ASANTENI KWA KUJA..... ILA CHA MOTO TUMEKIONA....." MAMBO 10 NILIYOYAGUNDUA BAADA YA MECHI YA YANGA UGENINI: 1. HANS VAN DEL PLUJIM kiukweli hapo zamani sikuwahi kumkubali huyu mzee hata kidogo...
9 Reactions
17 Replies
3K Views
10. Caroline Wozniacki 9. Anastasia Luppova 8. Michelle Wie 7. Becky Hammon 6. Anna Rawson 5. Ana Ivanovic 4. Alicia Sacramone 3. Alex Morgan 2. Alana Blanchard 1. Brittney Palmer...
0 Reactions
2 Replies
983 Views
Shirikisho la Soka la Nigeria linakabiliwa na mzozo wa uongozi. Mwanamume aliyefariki ameteuliwa kusimamia mechi ya soka nchini Nigeria ambayo itachezwa Jumapili, mwandishi wa BBC anayefuatilia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom