Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

YANGA NA UTAWALA WA MIAKA 5 WATALA TOFAUTI __________Na moody kabwe Moodykabwe@gmail.com ---0715268499 ---0683201492 18/6/2010 Club ya Yanga ilifanya Uchaguzi wake wa kikatiba Baada ya aliekuwa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Ukiiona Yanga ipo nafasi ya tatu kwenye ligi na Simba anaongoza ligi ujue ligi ipo katikati,ila ukiiona Simba ipo nafasi ya tatu na Yanga anaongoza ligi ujue ligi inakaribia kuisha
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Ndugu wanajamvi leo nimebet na nimefanikiwa kushinda Tsh milioni saba laki nane na elfu sitini na tano timu za mapema ambazo hata sizijui ,Ushauri ndugu zangu tubet mpaka tuwafilisi hawa...
4 Reactions
109 Replies
14K Views
. Na Adam Mbwana, Wakiamua wao hakuna anayeweza kupinga maana wao ndio wenye ardhi yao, wao ndio wenye ligi yao na wao ndio wenye vyombo vyao vya habari ambavyo vinaongoza kwa kuwapa watu...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimekua nikiangalia wachezaji wanapojipanga kuingia uwanjani kabla ya mpira kuanza (namaanisha mpira wa mguu), kamteni wa timu ndiyo utangulia akifuatiwa na mlinda lango (namaanisha goal keeper)...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hebu tujadili hili la costal jamani kushuka daraja
0 Reactions
4 Replies
933 Views
Leo,Spurs wanateremka dimbani wakisaka ushindi tu dhidi ya Chelsea. Endapo Spurs atapata ushindi,Leicester itawapasa kusubiri hadi kumalizika kwa mechi mbili za mwisho za EPL. Hapo Spurs...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Binafsi nimetokea kushtuka Sana na mashabiki wa mikia fc, baada ya kuishiwa na kelele za yanga kubwebwa wamekuja na topic mpya yanga ananunua mechi, jamani ndo maana Rage aliwapa Hilo jina...
5 Reactions
30 Replies
3K Views
Kila tupojitahidi kuweka mikakati ya ushindi, lakini marefa wamekuwa wakiwabeba kwa mbeleko timu pinzani. Nahisi kuna njama ya kutuhujumu. Na inawezekana hata kutumia baadhi ya wachezaji wasio...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Siku hizi kwenye kumbi za kuonyeshea mipira hazina mvuto tena, mikia imesusa kuangalia mpira. Ila ajabu wao ndio wa kwanza kulalamika kuwa Yanga inabebwa. Sijui kwann akili zao haziwaambii na...
0 Reactions
1 Replies
850 Views
Leo ni muendelezo wa mchezo wa Ligi kuu Tanzania Bara kati ya Wekundu wa Msimbazi Simba na Azam FC utakaopigwa katika dimba la uwanja wa Taifa. Live update zote utazipata hapa hapa jf kupitia uzi...
3 Reactions
132 Replies
12K Views
wakuu mtakubaliana nami kuwa kwa sasa klabu inayotisha tanzania,east afrika,west africa na afrika ni yanga, timu inatisha bana kama unabisha waulize mikia walipewa kifurushi cha mwezi wakachoonga...
1 Reactions
20 Replies
4K Views
MATOKEO ya suluhu katika mechi ya Simba na Azam FC leo hii kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam yameipa fursa kubwa zaidi Yanga kutetea ubingwa wake wa Tanzania Bara kwani sasa inahitaji...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Nawapongeza sana Simba kwa kuwa wa bunifu. Wamejiongeza zaidi. Baada ya kuona Timu yao imekosa muelekeo wakabuni vikundi vya kupiga viongozi wakakipeleka kwa mkopo hata kule Coast Union...
6 Reactions
43 Replies
7K Views
Hii nchi ina vipaji hakuna mfano!
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Wapenzi wa michezo naomba mnijuze, kuna hii klabu inaitwa Yanga katika mechi zake 8 za mwisho za ligi kuu bara 2016, nne kati ya hizo wachezaji wa timu pinzani wanapewa kadi nyekundu na hatimaye...
2 Reactions
39 Replies
6K Views
Kwa NYETI nilizozidaka hivi punde na tena zenye chembe chembe za uhakika wake kwa 99.9999% ni kwamba pisibibi wameshamaliza kazi yao na ndani ya hizo saa 240 nchi ya Tanzania itasimama kwa TAARIFA...
3 Reactions
26 Replies
3K Views
Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) leo imetangaza Juni 05, 2016 kuwa siku ya Uchaguzi Mkuu wa viongozi ndani ya klabu ya Young Africans SC ya jijini Dar es salaam...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
MPIRA WA TANZANIA NA CHUKI DHIDI YA YANGA Young Africans Sports Club, maarufu kama Yanga, ndio timu pekee Tanzania na Ukanda mzima wa Afrika Mashariki iliyobaki kwenye michuano ya vilabu Afrika...
3 Reactions
20 Replies
3K Views
Back
Top Bottom