Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Coastal Union imepoteza mechi ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho dhidi ya Yanga baada ya washabiki wake kuwa chanzo cha Mwamuzi kuvunja mchezo huo uliofanyika Aprili 24, 2016 kwenye Uwanja wa...
1 Reactions
26 Replies
6K Views
Je wajua? Klabu ya Simba imepoteza jumla ya mechi tatu (3) msimu huu katika Uwanja wa Taifa, Ligi Kuu, na timu zote zilizoifunga zinatumia jezi za rangi ya njano na kijani. Unadhani kwanini!!!!!!!!!
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Hayo ameyabainisha baada ya kuhojiwa na waandishi wa habari kama anaweza kumpa nafasi mkongwe huyo mwenye miaka 39 ambaye anazidi kung'ara pamoja na umri kumtupa mkono , kama barca ilivyofanya kwa...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Natamani Leicester wachukue ubingwa naamini pia mchezaji wao Mahrez amestahili kupewa tuzo ya mchezaji bora wa mwaka lakini niliposikia atakuwa 'mwafrika wa kwanza kushinda tuzo hiyo' nikajikuta...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Nawakubali Atletico Madrid lakini Alianz Arena ndio patamu, mtakapoenda Ujerumani mfunge mkanda vzr maana hamtatoka mkiwa hai.
5 Reactions
65 Replies
6K Views
Leo nimeshindwa kuvumilia waliotazama pambano la leo la Yanga na Coastal mtakuwa mashahidi Goli la kwanza la Yanga offside ya wazi halafu mchezaji wa Yanga mmoja akaenda 'kulipiza' faulo mbaya...
23 Reactions
156 Replies
14K Views
Nikiwa ni mdau wa soka la Tanzania nimesikitishwa sana na vitendo vya washabiki wa timu haswa ya coast union ya tanga vilivyo jitokeza katika mechi ya coast na yanga, kitendo cha kuwashambulia...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hivi ni leo simba inacheza na libolo?
0 Reactions
32 Replies
7K Views
Wadau wenzangu wa soccer hivi mkiwa mnaangalia mpira kwenye Televisheni zenu iwe ni EPL,La Liga,Champions League ama ligi yoyote ya majuu ni lugha gani unayovutiwa nao ikitumiwa na commentator...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Kwa mujibu wa tovuti ya TFF, Alfred Lucas ameteuliwa kuwa Afisa Habari mpya wa TFF kuanzia leo April 27, 2016. Alfred anachukua nafasi ya Baraka Kizuguto aliyehamishiwa katika Kurugenzi ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Heshima kwenu wadau. Kwa muda mrefu sasa tumeshuhudia club ya Simba ikichechemea katika ligi kuu soka Tanzania bara. Nimejaribu kurejea nyuma nikagundua kitu. Yaani timu ya Libolo ya Angola...
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Mechi kati Yanga na Coastal Union ni moja ya mechi zilizo jaa utata mwingi sana, sasa hapa ndipo ninapo wadharau watu wanaopenda michezo Tanzania kwani mara makosa yanapo involve Yanga na Simba...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
VINARA wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga, pamoja na mabingwa wa Afrika Mashariki na Kati, Azam, leo wanajitupa viwanjani kucheza mechi zao za viporo vya ligi hiyo baada ya kuwa kwenye mashindano ya...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Winga mshambuliaji wa kimataifa wa Algeria anayeichezea klabu ya Leicester City ya Uingereza Riyad Mahrez ametangazwa kuwa mshindi wa tuzo ya PFA 2015/2016 (Professional Footballers Association)...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Watanzania tubadilike .Viongozi wa Yanga baada ya kutua uwanja wa ndege Leo wamekuja Na rundo la utetezi eti wachezaji wao walipuliziwa Dawa za usingizi.Nilitegemea kuwa kama hilo lilifanyika...
5 Reactions
45 Replies
5K Views
Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager, inatarajiwa kucheza mchezo wa kirafiki wa kimataifa na timu ya Taifa Kenya (Harambee Stars) Mei 29, 2016...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeitangaza klabu ya Mbao FC ya jijini Mwanza kupanda Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) msimu ujao kutoka katika kundi C ya Ligi Daraja la Kwanza chini...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hivi huyu jamaa ni nani haswaa...lol maana anafurahisha sana pia ni mbunifu..
1 Reactions
1 Replies
4K Views
Katika kipindi cha msimu wa mechi za klabu bingwa barani Ulaya kumetokea na Jambo ambalo lilikuwa likizungumzwa sana . Hasa katika mechi mbali mbali za klabu ya Barcelona ya Uhispania, yenye...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Back
Top Bottom