Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Simba yamfungia Hassan Kessy kutocheza mechi 5 kwa kumchezea rafu Christopher Edward wa Toto na kutolewa kwa kadi nyekundu, Haji Manara athibitisha. =================== Klabu ya soka ya Simba...
2 Reactions
73 Replies
7K Views
Hatimae yametimia Yanga yatupwa nje mashindano ya Klabu bingwa Afrika.Kuna jamaa kasema eti Yanga kafa kiume napenda kumwambia Jerry Muro kuwa Yanga Kufa ni Kufa hakuna kiume wala kike
9 Reactions
41 Replies
5K Views
Kwa wanaoamini uchawi wanaweza kusema uongozi wa timu kubwa Valencia inayoshiriki ligi kuu ya Spain ulipigwa juju kiasi cha kupofushwa akili na kumpa kazi mtu asiye na uwezo wowote wa kufundisha...
0 Reactions
4 Replies
851 Views
Ni kweli kwamba Mlicheza vizuri sana. Lakini mpira uko hivyo. Cha msingi kazeni kwa ajili ya mwakani
0 Reactions
2 Replies
857 Views
Habari wana JF, Tayari tunafahamu kuwa timu nane hapa chini zimefanikiwa kuingia robo fainali ya michuano ya Klabu Bingwa Barani Africa, je kwa mtizamo wako ni timu ipi inaweza kuwa bingwa mwaka...
0 Reactions
1 Replies
697 Views
Hivi kuna mtu amewahi kutazama CAF wakifanya draw kwa timu za Africa zinazoshiriki ligi ya mabingwa wa Africa na kuombe la CAF? Nimejiuliza hili baada ya kugundua karibu mechi zote za Tanzania na...
7 Reactions
30 Replies
4K Views
ZILIZOFUZU NANE BORA LIGI YA MABINGWA; Enyimba (Nigeria), Al Ahly (Misri), AS Vita (DRC), Asec Mimosas (Ivory Coast), Wydad Casablanca (Morocco), ES Setif (Algeria), Zamalek (Misri) na Zesco...
0 Reactions
15 Replies
6K Views
Suruali ya kocha wa Real Madrid, Zinadine Zidane ikiwa imechanika usiku wa jana wakati akishangilia ushindi wa 3-0 dhidi ya Wolfsburg ya Ujerumani, mabao yote yakifungwa na Cristiano Ronaldo...
2 Reactions
8 Replies
3K Views
Channel namba 400 Fox Sport. Mpaka sasa Genk wanaongoza 1-0. Mpaka sasa Mbwana bado hajatupia licha ya kupata nafasi mbili za wazi
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Bwana Ally ameendelea na utaratibu wake kufunga na leo kafunga goli la kwanza Genk ikiichapa ZW 2-1
9 Reactions
42 Replies
8K Views
Nakumbuka mechi ya Simba 4 Yanga 1 mwaka 1994. Kipindi hiki nikiwa na miaka 9 hv ilipigwa game uwanja wa shamba la bibi. Masatu aliweka kamba ya kwanza kwa upande wa Simba na Kimanda akasawazsha...
1 Reactions
47 Replies
7K Views
  • Closed
MABINGWA wa soka Tanzania Bara, Yanga, wako vitani dhidi ya Al Ahly ya Misri katika mchezo wa marudiano wa raundi ya pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika ambapo wanatafuta ushindi ama sare ya zaidi ya...
0 Reactions
20 Replies
7K Views
Azam imetolewa kwenye Kombe la Shirikisho. Azam, ambayo ilishinda mechi yake ya kwanza ya raundi ya pili kwa mabao 2-1 kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazijijini Dar es Salaam Aprili 10, ilikuwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
HASSAN Kessy amesema hataitumikia tena Simba kufuatia mchezaji mwenzake, Muivory Coast, Vincent Angban kumchapa ngumi baada ya kipigo kwenye mechi ya Ligi Kuu Bara katika Uwanja wa Taifa, Dar...
1 Reactions
48 Replies
6K Views
Hawa watu wanaojiita wa kimataifa kwanini mpka leo hawafanyi uchaguzi? TFF mko wapi mnawalea hawa watu? wadau nao wako kimya,vyombo vya habari kimya..ifanyeni bc ndo taifa staz tujue 1
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu zangu inaweza kuwa hili limeisha letwa hapa jamvini ila si vibaya kujikumbusha. Nimejaribu kuvuta kumbukumbu ya soka kuna vizazi vitabaki penye historia nitaanza na brazil ya mwaka 70 hii...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Unamkumbuka Wilhelm Gidabuday yule aliyepambana na ufisadi kwenye kamati ya olimpiki na riadha kwa ujumla? Sasa huyo jamaa nimegundua ni mtu makini. Mwanae yuko USA na ana kipaji kama cha baba...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Simba imekuwa na makipa wengi sana, lakini sijui yupi ni mkali zaidi kwa uhodari wa kudaka? Kina Mambosasa tumezisikia sana sifa zao, Idd Pazi, Mwameja, Kaseja, etc. Nia na dhamira yangu ni...
2 Reactions
35 Replies
15K Views
Katika hali ya kushangaza Rais wa TFF , Jamal Malinzi ameweka bandiko la msimamo mpya wa ligi iki na nembo ya NAIPENDA YANGA . Nembo hii iko katika hali ya watermark.
3 Reactions
25 Replies
6K Views
Haha kunaubishani goal la mpira wa miguu lina urefu wa miguu Mangap ? Au mita ngap?
0 Reactions
4 Replies
13K Views
Back
Top Bottom