Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kocha wa Simba, Jackson Mayanja sasa ameingia kwenye ugomvi mkubwa na Mganda mwenzake, mshambuliaji Hamisi Kiiza. Mayanja amemfukuza Kiiza kambini Ndege Beach, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam...
1 Reactions
15 Replies
4K Views
2005: BARCELONA 2-1 CHELSEA The bad blood between these two sides originally stemmed from their first Champions League encounter, when Didier Drogba was harshly sent off for a late but in-no-way...
0 Reactions
59 Replies
8K Views
Haruna Niyonzima aipa ushindi Yanga kwa goli la dakika za lala salama.. Goli la kwanza lilifungwa na Saimoni Msuva dk ya 3 tu ya mchezo. Ft, Yanga 2 Mwadui 1 N/B: 1. Simba 57 2. Yanga 56...
2 Reactions
37 Replies
5K Views
https://goo.gl/photos/VfMtUeqFrwbCJ54r5
0 Reactions
0 Replies
654 Views
Interesting City-PSG agg 3-2 Bayern-Ben agg 3-2 Real-Wolfs agg 3-2 Atletico-Barca agg 3-2
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Wanajiita wa kimataifa, wanajiandaa na mechi za kimataifa hawajui kumbe trick hio inawagharim wao wenyewe. 1. Kukaa mada mrefu bila kucheza kuna hatari wachezaji kuongezeka kilo ndo kinachotokea...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Klabu ya Manchester City imepewa miamba wa Ufaransa Paris Saint Germain kwenye robofanali ya Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya baada ya droo kufanywa mjini Nyon, Uswizi. PSG ndio waliowatoa Chelsea...
6 Reactions
173 Replies
14K Views
mm niwambie tu yanga hakuna uchaguzi wala hawawazi uchaguzi yanga inawaza mechi ya Al Ahali tu narudia kusema Yanga haina uchaguzi huo wanaotaka wao ila tutakuwa na uchaguzi tunaoutaka sisi
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Young Africans SC vs Mwadui FC 1. Deo Munishi ( Dida ) 2. Juma Abdul 3. Oscar Joshua 4. Nadir Haroub ( Canavaro ) 5. Pato Ngonyani 6. Thaban Kamusoko 7. Simon Msuva 8. Haruna Niyonzima 9. Amisi...
0 Reactions
47 Replies
15K Views
Hivi kwanini Azam TV hawarushi UEFA jamani? Nawaomba jaman azam unganisheni mipango muwe mnatupatia uhondo wa UEFA.
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Ngoma ipo live. Team ni 4: Yanga FC Azam FC Mwadui FC Coastal Union FC.. ------------------------------ Mwadui VS Azam - Shinyanga. Coastal Union vs Yanga -Mkwakwani.
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Wachezaji wa timu matata ya Ndanda FC waazimia kugoma,kushinikiza walipwe malimbikizo ya mishahara yao. Timu yetu imekumbwa na ukata hali inayotishia umahili wetu,alisema mmoja wa wana ndanda. #MT
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Poleni sana ma-fans wa madrid kwa goli 2 mlizopata last week kutoka kwa mkoloni,so mchezo ndivyo ulivyo, hakuna kitu kisichokua na mwisho, nina mengi ya kuwashauri lakini sina muda kwa...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Leo ni mechi ya Simba SC na Coastal union inayochezwa uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. === Nukuu Muhimu Timu ya Coastal union kutoka walianza kuandika bao la kuongoza mnamo dakika ya 19 kupitia...
3 Reactions
82 Replies
44K Views
Semi Final FA CUP Mwaadui Fc vs Azam Fc shinyanga Costail unioni vs Yanga Africa Tanga kwa waarabu wa Tanga mkwakwani mechi tarehe 24 mmepokea vipi hii droo kwa mara ya kwanza imepangwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mpira wa miguu Tanzania unatakiwa kubadilisha mifumo wa kiutendaji na uendeshaji.. Ili kuleta maendeleo ya soka na wanaojihusisha na soka kwa ujumla... na kuleta maendeleo kwa taifa... Kuna haja...
3 Reactions
27 Replies
4K Views
Hawa mashabiki wa simba siwaelewi kabisa Katika mechi ya yanga vs Al Ahali walikuwa wengi sana ila katika mechi yao ya Costal warabu wa Tanga vs Simba uwanja mweupe kabisa Nashindwa kuwaelewa...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Afisa habari wa Mabingwa wa kandanda Tanzania Yanga Mh.Jerry Muro Leo yamempata makubwa kwani inaonekana akili zimemruka kutokana Na matokeo ya sare Na Al Ahal ya Misri.Mh.Murro amewatupia...
7 Reactions
56 Replies
7K Views
Kuna vitu vingi Yanga walifanya na kufanyiwa jana na hovyo sitastuka wakienda Cairo kwa marudiano........mojawapo ni hii mbeleko ya wazi ukingoni mwa mechi kwani ilikua ni tuta na umeme juu
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Nimeambiwa na mtu wangu wa karibu msemaji wa klabu kubwa Nchini kapata ajali ya kuanguka toka kwenye bajaji. Kama ni kweli pole sana kwa yeye binafsi na wapenzi wa simba...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom