Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

YANGA inacheza na Al Ahly leo hii kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, lakini itaingia uwanjani ikitambua kwamba timu hiyo ya Misri ndiyo inayoshikilia utajiri wake wa takriban Shs. 840...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
  • Closed
Kama heading inavyojieleza, nikiri mimi ni Simba damu lakini ningependa kuwaona hawa wakimataifa kesho. Anayejua anijuze tafadhali
0 Reactions
15 Replies
4K Views
1.Athumani Mambosasa-If in doubt ask any Egypt's Mehalla el- Kubra 1970's fan. 2. Sunday Manara-First ever Tanzanian footballer to play professional in Europe. 3.Abdallah Kibadeni-Simply...
0 Reactions
165 Replies
51K Views
Hizi ni timu ambazo sitaweza kuuzisahau kamwe katika maisha Yanga kutoka na style yake ya uchezaji na aina ya wachezaji waliokua wakiziwakilisha.Naizungumzia tukuyu star ilipanda daraja mwaka 1986...
0 Reactions
33 Replies
10K Views
Wapenda soka ninaomba mnijuze waliko wachezaji wetu wa zamani wa soka: Jumanne masimet Mohamed bakari Tall Omari chogo Malota soma Martin kikwa
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimeshangazwa sana na adhabu walizotoa TFF kwa timu zilizopanga matokeo na baadhi ya wahusika. Si kwamba naunga mkono madudu yaliyofanywa na timu hizo au watu hao bali ni aina ya adhabu...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
WADHAMINI WA UEFA CHAMPIONS LEAGUE WAKARABATI VIWANJA VITATU JIJINI DAR Shirikishio la Soka Tanzania (TFF) limeishukuru kampuni ya bia ya Heineken ambao ni wadhamini wakuu wa michuano ya Ligi ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mshambuliaji wa kimataifa aliyevuma toka Nigeria na Arsenal yuko live muda huu E FM, interview ikiendeshwa na Kitenge na Maestro.
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Rumours ni kutoka Goal.com, lakini hii sio issue. Kilichonivuta kuweka hili bandiko ni tabia za huyu bwana kule anaweza kung'olewa meno, maana chinese wana, taekwondo, kung fu, karate, judo na...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kenya kwa sasa wamo nambari 115 nao Tanzania nambari 130. Harambee Stars wameshuka baada ya kushindwa mechi mbili za kufuzu kwa Kombe la Mataifa Bingwa Afrika na Guinea Bissau. Taifa hilo la...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
"I don't like the term 'star player' because when you see a star in the sky it is completely dark around it. I prefer a player to be like the sun, shining light on all the people around them. Star...
0 Reactions
0 Replies
651 Views
KIMWAGA (KATIKATI) Sraika wa Simba, Joseph Kimwaga ametamka kuwa kati ya vitu ambavyo anajutia kwenye maisha yake ya soka, basi ni kutua kuichezea timu hiyo. Mshambuliaji huyo alitua kuichezea...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Pele ni mchzaji mzuri wa zamani lakini hakuna historia ya yeye kua kocha kama akina Zizo na wengine
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Habari zenu! Hii ligi ya VPL inaonyesha inaendeshwa kimagumashi tu. Inakuaje Azam Fc ina viporo kama Yanga, jumamosi wamecheza Mwanza na Yanga walicheza TENA dar es salaam ila leo jumatano Azam...
0 Reactions
43 Replies
6K Views
Bandugu naomba kujuzwa mfumo wa Ligi Kuu ya Ubelgiji, maana walicheza mechi 30 tayari na kwa kuwa timu ziko 16 nilidhani imeisha, lakini timu ya akina Samatta Genk na nyingine 5 naona wanacheza...
0 Reactions
19 Replies
6K Views
GWIJI wa soka wa zamani wa timu ya Taifa ya Nigeria `Super Eagles’ na klabu ya Arsenal ya England, Nwankwo Kanu amesema kwa sasa soka la Tanzania linajulikana baada ya mchezaji, Mbwana Samatta...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Marehemu Rais Karume alikuwa mtu wa muungano kweli.Yeye alikuwa ni Yanga na ndiye aliyejenga lile jengo la makao makuu ya Yanga. Lakini pia yeye ndiye aliyejenga lile jengo la makao makuu ya...
0 Reactions
7 Replies
6K Views
TIMU za Geita Gold Sport na Polisi Tabora hazikubaliana na adhabu ya kushushwa daraja kwa tuhuma za kupanga matokeo ya mechi Daraja la Kwanza iliyotolewa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF)...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
FIFA imetoa viwango vya soka duniani Argentina imeshika nafasi ya kwanza England nafasi ya kumi, Uganda imeshika nafasi ya 72, huku Tanzania ikishika nafasi ya 131 ikiipiku Palestine ambayo ipo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom