Nimefanya uchunguzi miongoni mwa timu zilizopo kwenye ligi kuu ( PREMIER LEAGUE ) kwa sasa Nchini England , utabiri wangu hauiepushi chelsea na janga la kushuka daraja.
Ikiwa imesalia mechi...
Mkongwe huyu mwenye miaka 37 amejumuishwa rasmi kwenye kikosi cha wachezaji 23 wa nchi hiyo kwenye michuano hiyo .
Aliwahi kuchezea Chelsea na baadaye akaenda China lakini hivi sasa ni mchezaji...
Asubuhi nimepita pale makao makuu msimbazi washabiki wamejaa wanataka uongozi uachie ngazi haraka, hili ndio soka letu la nchi hii ukiona kuna furaha jangwani basi msimbazi lazima kuna msiba,na...
Mshambuliaji mkongwe na nahodha wa kikosi cha Simba SC Musa Hassan ‘Mgosi’ ameshindwa kujizuia kuonesha kusikitishwa na matokeo mabaya ya klabu yake katika siku za hivi karibuni na kufikia kusema...
Serikali imeahidi kujenga kituo cha michezo katika Mkoa wa Manyara kutokana na eneo hilo kuwa na vipaji vingi vya mchezo wa riadha.
Ahadi hiyo imetolewa bungeni na Waziri wa Habari, Utamaduni...
Kama kichwa kinavyoeleza....natafuta hiyo kitu kwa ajili ya kuwapa ng`ombe uli wawe wanafanya metabolism kwa haraka....mwenye info zaidi ani pm.....thanks
FARID MUSSA AFAULU MAJARIBIO HISPANIA, DEPORTIVO TENERIFE WAJA MEZANI AZAM FC
Na Mahmoud Zubeiry, Dar es Salaam
WINGA wa kimataifa wa Tanzania, Farid Mussa Malik (pichani kulia) wa klabu ya...
Hatimaye timu ya Wananchi Dar es Salaam Young African ( Yanga ) imetwaa ubingwa wa Ligi kuu Tanzania Bara huku ikiwa na Mechi 3 Mkononi Baada ya kufikisha point 68 katika Michezo 27. Point ambazo...
YANGA WHATSAPP SUPPORTERS MAKAO MAKUU Tunajipongeza safari Tulioanza na timu yetu Toka mwanzo ____________________________Na
Hatimaye timu ya Wananchi Dar es Salaam Young African ( Yanga )...
wakimataifa ni wakimataifa tu na mchangani wa mchangani tu, leo sasa yanga kampa kampa kampa tena kampa sagrada esperanca bao 2, kama alivyompa simba mikiaaa
Dk 90, Kimanzi anapiga shuti lakini mpira unapita juu kidogo ya lango
Dk 89, Yanga wanatumia akili zaidi, wanacheza taratibu huku wakizuia mpira kwenda kwenye lango lao
SUB DK 88, Evarist Benard...
Dakika ya 4 Yanga wamefungwa 1,
Dk ya 8 Yanga wanapata kona lakini hawajaitumia vizuri. Yanga wanendelea kuliandama lango la wapinzani wao lakini wanakosa umakini kwenye third part.
Dk 13...
WAKATI YANGA WANATESA NA COMBINATION HATARI YA MTN (MSUVA,TAMBWE,NGOMA)NA HADI KUFIKIA KUIFANANISHA NA ILE YA MSN BARCELONA KUNA TIMU NAYO HAIKUBAKI NYUMA INA COMBINATION YAKE INAITWA (MIMBA)
M...
FULL TIME : Yanga 2 - 0 Esperanca
GOOOOOOOO Dk 90+1 Matheo Anthony anageuka na kupiga shuti kali la kushitukiza. mpira unamgusa Antonio Kasule na mpira kujaa wavuni
DAKIKA 3 ZA NYONGEZADk 89...
Winger wa Azam na timu ya taifa ya Tanzania Farid Musa amefaulu majaribio yake kwenye klabu ya Deportivo Tenerife ya Hispania ambako tayari pia amefaulu vipimo vya afya na kinachosubiriwa ni...
Nilikuwa namuangalia kupitia TBC 1 katika kipindi cha Mboni Show akihojiwa na muandaaji wa kipindi hiko Mboni, na ktk mengi aliyoongea na takwimu alizokuwa anazojifanya anazijua akaja akasema eti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.