Nimeshangaa sana kuona bajeti ya nape haina hata kipengele cha mchezo wa mpira wa miguu namna gani wataukuza kama serekali kwa kushirikiana na wadau
Nini maoni yako katika hili???
Huyu mmoja Anaitwa Mohammed Bebeto kwao ni Wete PEMBA na sasa hivi ni mchezaji na mfungaji kwenye hii time yake huko ulaya.
Na mwengine huyu wa Manchester United Anaitwa Rashid Mohammed ni Mtoto...
Wakati bajeti ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2016/17 iliyopitishwa bungeni mjini hapa juzi, imeshuka kwa Sh. bilioni 4.6 ikilinganishwa na bajeti ya mwaka huu ambayo ni Sh. bilioni 24.957...
HUENDA siku za mastraika Donald Ngoma na Amissi Tambwe zikaanza kuhesabika kwani Derby County FC ya England imeonyesha nia ya kuwasajili.
Derby County ya Ligi Daraja la Kwanza England, imetuma...
Leo mabingwa wa Tanzania yanga atakabidhiwa ubingwa na mh waziri mwigilu nchemba akisindikizwa na mkuu wa mkoa wa dar es salaam paul makonda
Wadhamin wakuu vodacom na azam tv wamejipanga...
Hivi umewahi kumjua msemaji wa timu yeyote ile ya Ulaya?
mnawajua wasemaji wa Man U?au Barcelona?
hivi mnafikiri hizi club kubwa kabisa duniani hazina idara za habari?
zinazo tena zina watu veyr...
FULL TIME : Simba SC 0 - 1 Mwadui FC
KADI NYEKUNDU Ajib analambwa kadi nyekundu baada ya kumrukia kwa makusudi Kabunda
DAKIKA 3 ZA NYONGEZA
Dk 90, Mgosi anaingia vizuri na kutoa krosi nzuri...
Kutoka Taifa Ndanda wanamenyana na Dar es Salaam Young Africans (Yanga) katika mechi ambayo Yanga watakabidhiwa Kombe la ligi kuu ya Tanzania Bara VPL.
VS
=====================
MPIRA...
Ibrahimovic has been heavily linked with a move to Los Angeles Galaxy Zlatan Ibrahimovic will leave Paris St-Germain at the end of the season.
The 34-year-old Sweden striker's contract with the...
Shirikisho la soka barani limebadilisha mfumo wa uendeshaji ya michuano ya klabu bingwa barani africa na kombe la shirikisho kutoka kuwa na makundi 2 hadi kwenye mfumo wa makundi 4 . hii...
Hii inatokea TANZANIA peke yake kwakua wametwaa ubingwa ndio wamelazimisha kucheza nyumbani wakati ilipaswa kucheza ugenini hii ndo TANZANIA YETU kila sehemu kumeoza.Mama watoto niongeze ugoro...
Haya yalikuwa mahojiano tata sana kati ya msemaji wa klabu ya Simba Haji Manara na mtangazaji wa EFM Maulid Kitenge.
Ni baada ya kumalizika na kwa mechi kati ya Simba na maji maji ambapo timu...
Kuna huu ujumbe mzito ulienda Zurich, Uswisi, kuiombea ZFF uanachama wa FIFA ukiongozwa na Naibu Waziri Kiongozi wa wakati huo Juma Shamhuna, Naibu Waziri wa Michezo Joel Bendera na wengineo...
Naanza kuwaza sasa hivi wazungu wananza kuangalia uwezo wa mtu na sio rangi, Je kwenye uteuzi huu Kinadada mnao dai 50/50 mmejifunza kitu kwa mwenzenu, uwezo mnao?
"Fédération Internationale de...
Daaa kutoka kipindi wanajiita taifa kubwa hadi sasa chura duuu mzee Mchachu anahaki ya kulia hakika...
Poleni sana lkn mm sijafurahishwa kabisa na kutokwa na machozi ya mzee kama yule aisee...
Print | Close this window
Athletics-Kenya's marathon queen Jeptoo fails second doping testFri Dec 19, 2014 9:48pm GMT
NAIROBI Dec 19 (Reuters) - Kenyan Rita Jeptoo, winner of the Boston and...
Chelsea have confirmed that John Terry and his agent met with chairman Bruce Buck and director Marina Granovskaia this week and an offer was forthcoming.
"With it coming so late in the season...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.