Mwanamuziki Nasibu Abdul maarufu Diamond Platnumz amekuwa ni msanii pekee kutoka ukanda wa Afrika Mashariki kutajwa katika orodha ya wasanii watakaowania tuzo za BET 2016.
Tuzo za BET mwaka huu...
Mkoa wa Kagera umefanikiwa kuwa na uwanja mzuri wa mpira wa miguu,lakini unakabiliwa na matatizo ya viwanja vya michezo mingine.Hii inapelekea kufanya vibaya kwenye michezo na wanafunzi kukosa...
Leo ndio leo Mtoto hatumwi sokoni katika jiji la BASEL
mida ya saa 3:45 Usiku
Liverpool vs Sevilla
Europa League Final
Niko nawe kukuletea Update
KIUFUP:
Liverpool ni ya 8 katika EPL na...
Kama kawaida kesho magazeti ya kufungia maandazi,yatakoleza rangi za mashuka ya theatre,yanga imekufa kiume badala ya kujikita kwenye tathimini ya mchezo,kwani wandishi na wahariri wanalipwa bei...
Naipenda YANGA
'SINGO' TAMU YA MAREHEMU MWALUVANDA KATIKA
ALBUM BORA YA PLUIJM.
Sishangazwi na mafanikio ya Yanga wanayopata kwa
kutawala soka la ndani, Sijaona ajabu kwa kikosi hiki
kubeba...
Mimi ni mpenzi wa mpira wa miguu nikiungana na mamilioni ya watu wengine duniani. Mchezo huu kama mnavyojua unavutia wengi sana na kwa sasa ni industry inyoajiri na kulipa vizuri sana. Wengi sasa...
Wamebakia kufunua makabrasha kushindania yaliyopita.
Wa kimataifa aka Young African wanazidi kufyanza mambo.
Mimi kwamtoro Mwanachama na mpenzi wa coast union ya Tanga
Alikaa golini mechi na Al Ahly klabu bingwa Afrika akishuhudia goli la jioni na lililobaki kama alama ya uchungu kwake , wanayanga na watanzania kwa ujumla . Goli lililoiondoa Yanga katika...
Wakati nikitegemea kabisa kuwa leo katika Mkutano wako na Waandishi wa Habari utaonyesha ni jinsi gani ulivyokomaa katika medani ya Kandanda / Soka / Mpira wa Miguu kwa kutoa sababu za kiukweli na...
Migogoro inayoendelea katika klabu ya simba inakatisha tamaa, hali hii imesababisha wachezaji wa timu hiyo kukosa morali wa kuitumikia klabu hiyo, moja vunjeni bodi ya usajiri, pili wakati sahihi...
Hiki kipindi kinakera kiko kishabiki sana.
Mimi mtu wa simba siwezi kukisikiliza pia Radio ya Times Fm nayo vile vile. Wachambuzi wetu wa soka wako kishabiki sana hawatupi upembuzi wa kimsingi...
Dah Tumejipanga na lazima tuifunge AFC Bournemouth Goli zaidi ya Ishirini na tutaishusha Man City nafasi ya Nne tunahitaji kucheza Champion League 2016-2017 maana UEFA ndogo sio level Yetu...ni ya...
Kocha mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania, Boniface Mkwasa ametaja kikosi chenye majina ya wachezaji 26 kitakachoingia kambini kujiandaa na mechi dhidi ya Kenya pamoja na ile ya kufuzu kwa ajili ya...
MABINGWA wa soka Tanzania, Yanga, leo wanajitupa kwenye Uwanja wa Estádio Sagrada Esperança mjini Dundo mbele ya watazamaji 8,000 kupambana na wenyeji GD Sagrada, katika mechi ambayo inaweza...
MABINGWA wa soka Tanzania Bara, Yanga, leo wamewapa raha Watanzania baada ya kushinda kwa mabao 2-0 dhidi ya Sagrada Esparanca ya Angola katika mchezo wa kwanza wa raundi ya tatu ya Kombe la...
Chelsea Football Club is delighted to announce John Terry has signed a new one-year contract. The decision has been taken following the appointment of Antonio Conte as the club’s new manager last...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.