Timu ya soka ya Taifa ya Vijana wenye umri wa chini ya miaka 17 ‘Serengeti Boys’ leo Mei 17, 2016 imechanua vema baada ya kuilaza India mabao 3-1 katika mchezo wake wa pili wa michuano maalumu ya...
MAKOCHA wawili kutoka klabu ya
Deportivo Tenerife ya Hispania
wamewasili jioni ya leo kwa ajili ya
kuja kufanya mazungumzo ya kusaini
Mkataba wa kufundisha Azam FC.
Makocha hao Jonas Garcia Luis...
Only three of this season's 20 Premier League clubs now have English bosses.
"We train our guys pretty well, we educate them very well, but they just need a chance," Allardyce told BBC Radio 5...
Baada ya mshambuliaji wa PSG, Zlatan Ibrahimovic kuweka wazi kuwa ataondoka klabuni hapo baada ya msimu huu kukamilika na kuhusishwa a baadhi ya vilabu ikiwepo Manchester United, Arsenal na...
Ni baada ya kumaliza vibaya PREMIER LEAGUE kwa kutandikwa mabao 5 - 1 na vibonde Newcastle United , huku mahasimu wao wakiichapa Aston Villa kwa mabao 4 - 0.
Spurs ilikuwa inahitaji point moja...
Na Beatrice Lyimo - MAELEZO
Dar es Salaam
17/05/2016
Mstahiki Meya wa jiji la Dar es salaam Issaya Mwita ameiomba shirikisho la Michezo wa mpira wa miguu nchini (TFF) kuendelea kusimamia ligi kwa...
Samatta amecheza mechi ya 14 tangu ajiunge na Genk akitoka kushinda taji la Ligi ya Mabingwa Afrika na TP Mazembe pamoja na kutwaa tuzo ya Mwanasoka Bora Anayecheza Afrika.
Katike mechi hizo...
Mashabiki waliondolewa uwanjani baadae ya maelfu kuingia mtaani kwa hofu ya kiusalama. Mchezo ulisubirishwa kwanza, lakini kitu ambacho hakikuthibitishwa kiliwafanya maafisa wa usalama kuhairisha...
Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya vijana wenye umri chini ya miaka 17 maarufu kama Serengeti Boys, Bakari Shime amesema hana wasiwasi kuwavaa India-wenyeji wa michuano maalumu ya soka ya kimataifa...
Wakati Coastal Union ya Tanga ikiwa imeaga rasmi Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania 2015/16, swali linabaki kwa wadau wa soka nchini kwamba ni timu gani itaungana na Wagosi wa Kaya kushuka daraja...
Kama ilivyokuwa kwenye kuonyesha bunge live, vijana wengi na nguvu kazi nyingi wanakesha kwenye Bar, club na sehemu zingine za starehe kuangalia mechi mbali mbali za mpira. Mara EPL, Bundersliga...
Nachukua nafasi hii kutoa mawazo yangu Kwa wahusika wa Klabu ya Yanga Juu ya matukio makubwa ya Klabu hiyo kubwa hapa nchini.Klabu ya Yanga ndio Mabingwa wa soka.Klabu ya Yanga inamiliki Uwanja wa...
Yamkini hali si shwari kwa wafanyakazi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) makao makuu yaliyopo Karume, kufuatia kudai mishahara yao ya miezi miwili na nusu.
Tangu kuingia madarakani kwa Jamal...
Nachukua nafasi kuipongeza Klabu ya Yanga Kwa kutwaa ubingwa Kwa mwaka 2015/2016.Pia naliomba Bunge letu chini ya Spika mahili Mh.Job Ndugai kama ilivyo kawaida awaalike Viongozi Na wachezaji wa...
Wadau Wanakanda ya Ziwa wenzangu leo tujikumbushe timu yetu ya Pamba wana TP Lindanda Wana Kawekamo walivyonyakua Kombe la Jamhuri mwaka 1990 kwa kuwabwaga Small Simba kule Amani Zanzibar kwa...
Waliochuchumaa Hamza Mponda, Juma Amir Maftah, Rashid Abdallah, George Masatu, Hamis Nyembo, Abdallah Bori na Khalfan Ngassa.
Waliosimama Madata Lubigisa, Ibrahimu Magongo, Fumo Felician, David...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.