Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Jana mkuu wa wilaya ya Shinyanga mjini amevunja kile alichokiita ni uongozi wa club ya stand united, mkuu huyo wa wilaya alichukua uamuzi huo mara baada ya kuitisha kile yeye alichokiita mkutano...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Rais wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa), Gianni Infantino, ameipongeza timu ya soka Young Africans ya Dar es Salaam, kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara 2015/16. Young...
2 Reactions
13 Replies
4K Views
Mabingwa mara 26 wa Ligi Kuu ya soka ya Vodacom Tanzania Bara, klabu ya soka ya Yanga ambayo Jumatano iliyopita walifanikiwa kuingia hatua ya Makundi ya Ligi ya Kombe la Shirikisho la CAF ( 8...
1 Reactions
10 Replies
6K Views
Klabu ya Yanga kupitia kwa mkuu wa kitengo cha habari na mawasiliano Jerry Muro, wamesema wako tayari kuisaidia Simba kulipa deni la Musoti ili klabu hiyo ya Msimbazi isishushwe daraja. Muro...
4 Reactions
84 Replies
10K Views
Hayo yamesemwa na Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni Mhe. Boniface Jacob wakati kufungwa kwa mashindano ya Umoja wa Michezo Sekondari Tanzania (UMISETA) kwa Wilaya ya Kinondoni yaliyofanyika...
0 Reactions
0 Replies
902 Views
Samahani sana wakuu. Naomba usaidizi wa link za games nzuri kwenye pc. Kama need for speed na nyinginezo. Naomba kuwasilisha
0 Reactions
5 Replies
3K Views
FUUUUUUUL TIME. Toto 0~Stand united 1 Majimaji 2~Yanga 2 Simba1 ~Jkt ruvu 2 Azam 1~Mgambo 1 Coastal union 0~Prisons 2 Mcc 0~Ndanda 0 Mtibwa 2~African sport 0 Mwadui 0 ~ Kagera Sugar 2. -Kunani...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Fus -rabat hawa ni waarabu wa morocco ni hatari sana kwa kugawa dozi. Hatua ya 32 bora Fus rabat 7 Sc villa(uganda) 0 goli zote zilifungwa nchini morroco Hatua ya 16 Fus rabat 4 stade...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
VIDEOS Video 10 kali kwa East Africa zilizotajwa na kituo cha TV cha Sound City cha Nigeria, watanzania 6 kwenye list By Rama Mwelondo TZA onMay 21, 2016 COMMENTS Jumamosi ya May 21 2016 stori...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
1.YANGA SC - Tanzania. 2.TP MAZEMBE - Congo 3.ETOILE DU SAHEL - Tunisia 4.MADIAMA - Ghana 5 .AL AHLY TRIPOL - Libya 6.MO Bejaia - Algeria 7.FUS Rabat - Morocco 8.Kawkab Marrakech - Morocco Mungu...
0 Reactions
42 Replies
7K Views
Kama Zanzibar ni mwanachama wa shirikisho la mpira Afrika CAF, na inatambulika kwa vilabu vyake toka Zanzibar kushiriki mashindano yanayoandaliwa na CAF. Kwa nini wachezaji toka Zanzinar ambao...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Changes in language aside, here are the other things that will be different about football from 1 June: Law 1 - the field of play Logos permitted on corner flags (previously banned). Mix of...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu naomba kwa wanaojua wanisaidie links za live streaminh ambazo haziitaji buffering ili nichek live mechi ya fa cup final
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Mliopo huko tupieni updates au kama inaoneshwa live kwenye Azam Tv au TBC,ITV mtujuze wengine tuko mbali na hapo.
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Wakuu, bahati mbaya sikuirekodi ila wanautaratibu wa kurejea siku ya jumapili katika kipindi cha michezo mchana, na huku kila j2 TANESCO wanatukatia umeme mchana kutwa. Katika kipindi cha michezo...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Milan is one of the most successful clubs in the world with 7 UEFA Champions league titles, making it the second most successful in Europe in terms of UEFA Champions trophies and 19 Serie A...
0 Reactions
51 Replies
4K Views
Back in the days hapa Tanzania, Nameless,Wahu,nNecessry noise,Prezzo ilkuwa shida,walibang na wengineo, Siku hizi ukiongelea Kenyan music hapa Tanzania ni Sauti sol( damn i love these...
3 Reactions
169 Replies
16K Views
Back
Top Bottom