Na Princess Asia, DAR ES SALAAM
MSHAMBULIAJI wa Simba SC, Hamisi Friday Kiiza amesema kwamba yeye ndiye mfungaji bora wa michuano ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Kombe la Azam...
The first player to play six straight NBA finals since 1966.....who let tha dog [emoji190] out....King Lebron
Huyu jamaa ni mnyama,kikapu kilichopigwa Leo sio cha kawaida japo kijana Lowry...
Wakuu,
Mtaniwia radhi kuufikisha ujumbe huu humu badala ya ukumbi wa michezo na burudani kule, kwani binafsi naliona suala hili ni kwa maslahi ya kitaifa zaidi.
Kiukweli kabisa katika nchi yetu...
Baada ya wiki kadhaa za tetesi hatimaye Mourinho amepewa rasmi mkataba wa kuinoa Machester united kwa miaka mitatu ijaYO Source BeinSport Tv. Haya EPL kumekucha sasa huku Gurdiola kule Mourinho...
Habari wanajf wanamichezo. Kwa uongozi huu wa Simba Sports Club hata wasajili vipi timu itaendelea kuboronga tu hadi pale uongozi uliopo utakapotolewa madarakani.
Tatizo la Simba sio wachezaji ni...
Kikosi cha timu ya soka ya Tanzania – Taifa Stars, chini ya makocha Charles Boniface Mkwasa na Hemed Morocco kinatarajiwa kuondoka kesho saa 12.00 alfajiri kwenda Nairobi, Kenya kucheza na...
Afrika imekuwa ikitoa wachezaj wazuri wenye sifa kubwa toka miaka ya akina asprilla,okocha,etoo,t.henry,drogba n.k
Najiuliza katika miaka yote Hii ni kocha gani mwafrika kabisa ambaye amewah...
Wanachama wa Yanga wamecharuka na kufanya kitendo kinachoonyesha ni hasira kutokana na kuchana na kuchoma moto magazeti.
Wanachama hao wa Yanga, leo wamechoma moto magazeti ya Nipashena The...
Bongo star Diamond Platnumz performs with Ne-Yo
May. 23, 2016, 6:00 pm
By ELLY GITAU, @elijahgitau
American R&B and pop star Ne-Yo performing with Diamond Platnumz at the Jembeka Festival 2016 in...
FULL TIME: SAGRADA ESPERANCA 1-0 YANGA SC.
YANGA ANASONGA MBELE KWA MATOKEO YA JUMLA YA SAGRADA ESPERANCA 1-2 YANGA SC.
KIKOSI CHA YANGA DHIDI YA ESPERANCA KATIKA MJI WA DUNDO NCHINI ANGOLA...
Baada ya Spurs kwenda sare ya 1-1 na West Brom jana,uzito wa ubingwa wa Leicester umepungua. Kimahesabu,Spurs wenye alama 69 sasa,watafikisha alama 78 kama watashinda michezo yao mitatu...
Katika miaka 7 ya Pep Guardiola kama kocha katika champions league ni aidha kombe achukue guardiola au timu iliyomtoa nusu fainali
2009 - Guardiola
2010 - Intermilan baada ya kumtoa pep semi
2011...
***MPIRA UMEKWISHA NA YANGA WANATAWAZWA KUWA MABINGWA***
DAKIKA 3 ZINAONGEZWA NA KAMISAA YA MCHEZO
87' Nadir Haroub 'Cannavaro' anaingia kuchukua nafasi ya Vicent Bussou
84' Faridi...
Smba imetutia aibu tunatukanwa sana .Tunazomewa kila kona,viongozi masikini bado wanaitaka.
Ndugu Dewji ichukue na utuondolee kadhia hii. Sisi tunaitaka simba ifanikiwe,hatutaki kwenda club...
Yule msemaji mahiri kabisa katika soka la bongo, Masao Bwire wa Ruvu shooting ameanza tambo zake mara baada ya timu yake kurudi ligi kuu na kuhaidi kuwa timu hiyo ya RUVU shooting itatwaa ubingwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.