Msemaji wa klabu ya Yanga Jerry Murro akizungumza na waandishi wa habari amedai kuna watu wanahujumu uchaguzi wa klabu hiyo ndani ya TFF, Serikali na Yanga
wamesema wana ushahidi na wanaendelea...
WAKATI Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), ikisogeza mbele uchukuaji fomu ya uchaguzi wa Yanga, uongozi wa Yanga klabu hiyo umejitangazia mchakato wao wa uchaguzi tofauti na...
Mchazaji wa pili kwa Dunia ( mwizi )baada ya C.Ronaldo huyo si Mwingine ni Lionel Messi amezua kichekesho mahakamani baada ya kujibu wakili kuwa alikuwa akisign kitu asichokijua katika mikataba ya...
Shirikisho la Soka la Kimataifa FIFA lazifanyia marekebisho Sheria mpya 95 za Soka, kuanza kutumika leo
=========
Shirikisho la kabumbu la kimataifa FIFA limezifanyia marekebisho kanuni kadhaa...
Champions league goals..
Messi=4
Suarez=8
Neymar=3
TOTAL =15
Ronaldo=16
Final equation
MSN+1=Ronaldo
If Ronaldo=16
Messi=4
Neymar=3
Suarez=8
Then
1.4(Messi)=Ronaldo
2.4(Neymar)+Messi=Ronaldo...
Kamati ya Uchaguzi ya kablu ya Yanga leo imetengaza tarehe rasmi ya uchaguzi wa klabu hiyo kuwa Juni 11,huku ikisisitiza TFF na BMT wakae kama waangalizi katika uchaguzi huo.
Akiongea na...
Kamati ya Uchaguzi ya kablu ya Yanga leo imetengaza tarehe rasmi ya uchaguzi wa klabu hiyo kuwa Juni 11,huku ikisisitiza TFF na BMT wakae kama waangalizi katika uchaguzi huo.
Akiongea na...
Sevilla have paid tribute to " club icon " Jose Antonio Reyes after announcing his Exit from the club.
Mchezaji huyo mwenye miaka 32 amesaidia sevilla kuvunja rekodi baada ya kutwaa kombe la...
Taarifa niliyoipata si mda mrefu ni kuwa katibu wa TFF ndugu mwesigwa celestine jumamosi ijayo kwenye mkutano kamati ya utendaji anaenda kung'olewa.
Malinzi amekuwa anamshutumu katibu wake kuwa...
Baada ya kutangaza kuvunja mkataba klabu ya Yanga dhidi ya mchezaji raia wa Rwanda, Haruna Niyonzima, Katibu wa klabu hiyo Dr Jonas Tiboroha sasa amekalia kuti kavu kutokana na kufanya maamuzi ya...
WAKUU HUYU JAMAA SJAWAHI ONA MWINGINE AFRICA NA HUKO KWA WENZETU LABDA GAUCHO,JAMAA ALIKUWA ANAPGA VYENGA,MAKANZU YA KUCHUKULIA MPIRA MGONGONI, MNAMZUNGUMZIAJE HUYU KIUNGO MSHAMBULIAJI TOKA NIGERIA.
Messi ni mchezaji mashuhuri awapo uwanjani.Ni aina ya mchezaji aliyejaaliwa kila kitu katika Ufundi,unyumbulifu wa Mpira.
Nyuma ya pazia kwa hivi karibu Messi amekutwa na shitaka na ukwepaji...
Wakuu kama kichwa cha habari hapo juu muda huu kuna mechi kati ya genk anayochezea mtanzania Mbwana Samatta na sporting charleroi mpaka sasa timu ya samata inaongoza goli 2 huku akiwa amefunga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.