Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), leo Juni 7, 2016 limefanya kikao cha pamoja na uongozi wa Klabu ya Young Africans.
Kikao hicho kilifanyika ofisi ya TFF iliyoko Uwanja wa Kumbukumbu...
Waswahili wanasema, "Mwenye kisu kikali, ndiye mla nyama". Na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limetoa kalenda ya msimu mpya wa mashindano na matukio ambako baada ya mapumziko ya wachazeji...
Kocha / mchezaji wa Yanga/kocha msaidizi yanga Bw.Mkwasa Leo amechezesha wachezaji wa timu yake licha ya kuwa chini ya viwango.
Watanzania tuache ushabiki wa yanga Na simba Na kuwachukia...
SASA NIMEAMUA WAJUKUU ZANGU NITAWASIMULIA KUHUSU NYERERE.
Nimetamani sana hapo kwenye Makala yangu ya leo Jumapili ya Tarehe 5 June ingesomeka TFF ITAMBUENI TOFAUTI YA MAVAZI na sio Mbeya City...
Hivi huu mwaka una nini?
Kafa Antonin Scalia...kafa Phife Dawg...kafa Prince...kafa Muhammad Ali...na leo habari zimekuja eti Kimbo Slice kafariki huko South Florida!
Kwa mujibu wa CNN, Slice...
Klabu za Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara zimetakiwa kuanzia msimu ujao ziwe na ofisi, Uwanja wa mazoezi, kuendeleza programu za vijana ikiwa ni pamoja na kuwapa haki ya kusoma.
Hayo yamefikiwa...
Carlos Tevez, Paulo Dybala left off Argentina's Copa America
Zaidi fungua hapa;
squad Carlos Tevez, Paulo Dybala left off Argentina's Copa America squad
Kumekucha sasa.
Ni kwamba kuna tetesi kwamba TFF wameamua kuwaachia Yanga waendelee na mchakato wao wa uchaguzi na wataongea na waandishi wa habari siku ya juma nne.
KIWANGO KIBOVU,UTEUZI MBOVU,NDO HALALI.
Kwa stars yetu hii imekuwa tatizo kubwa,siku ya kufa nyani ...
Mkwasa alianza vizuri ila kitendo cha kutojiamini na kutaka kum please Samatta itamgharimu...
Arsenal wameanza mazungumzo na Leicester City kuhusu uhamisho wa Riyad Mahrez 25, baada ya kufikia makubaliano ya kumsajili Jamie Vardy, 29. (Sun) Washika bunduki hao wanaimani Vardy atasaini...
Nianze na DAIMA MBELE NYUMA MWIKO
____________Jina
MOODY KABWE
NI MWNACHAMA WA YANGA TANGU
Tarehe 7/11/2009
Kadi No 006259
Na kadi yangu ni halali mpaka mwaka 2018
Nikiwa Ni mwanachama...
Wengi wanalaumu kitendo cha kuachwa nahodha wa zamani Nadi Haroub kimesababisha kufungwa mchezo wa jana mimi nasema yalikua matokeo ya mchezo tu na tujenge imani na upendo kwa manahodha wanaopewa...
Vyombo mbalimbali vya habari vya ulaya vimeripoti leo hii.
" Jamie Vardy is widely reported to be the subject of a bid from Arsenal that meets A BUY OUT CLAUSE in the extended deal he penned in...
Baada ya mchakato mzima kukamilika sauti na video za waliokuwa wanapanga kuihujumu Yanga kupitia uchaguzi mkuu wa klabu, uongozi wa Yanga leo tarehe 6 June, saa 6 : 00 mchana utawakabidhi ushahidi...
Nachukua nafasi kumtadharisha kocha wa timu ya taifa kutofautisha timu ya Taiga na klabu yake Yanga,madhara ya mapenzi kwa Yanga yameiponza timu Yetu ya taifa.
Jamal Malinzi, rais wa shirikisho la soka nchini, sasa inafaa ajipime. Tokea aingie madarakani kafanya mambo mengi ya kulalamikiwa na soka letu haliendi mbele kama Taifa.
Hivi karibuni tu kuna...
Stars imekuwa ikiendeshwa kiujanja ujanja tu bila kuwepo program yoyote ya maana ambayo inaweza kuwa dira ya soka la Tanzania hasa linapokuja suala la timu ya taifa.
Jambo baya zaidi ni kwamba...
Tumekuwa tukipiga kelele sana pale walimu wa kigeni wanapokuja kufundisha timu yetu ya taifa ya mpira wa mikuu kwamba hawana viwango.
Na huwa hatuwapi nafasi ya kuizoea timu ispokukuwa Maximo...
Kwa kweli sina budi kutoa dukuduku langu kuhusiana na mwenendo mzima wa timu yetu ya taifa Taifa Stars .............. binafsi naamini soka sio maneno soka ni vitendo kwa hali inavyoendelea stars...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.