Iko wazi sasa kwamba nchi hii haina uwezo wala mikakati yoyote ya kuboresha timu yake ya Taifa , wala hakuna kiongozi yeyote ( wa soka wala wa kisiasa ) mwenye uchungu na anayeweza kuona aibu...
Chama cha soka nchini Argentina (AFA) kimetishia kuitoa timu yake ya taifa nje ya mashindano ya Copa America kutokana na serikali ya nchi hiyo kuingilia masuala ya soka.
Argentina ni miongoni mwa...
MWENYEKITI wa Yanga, Yussuf Manji amechukua fomu za kutetea nafasi yake makao makuu ya klabu, Jangwani, Dar es Salaam leo na kudai kwamba kuna njama zinafanywa na baadhi ya watu ndani ya Baraza la...
Kuna taarifa za uhakika kuwa Taifa Stars itaonyeshwa duniani kote hapo kesho katika mechi yake dhidi ya Misri.
Kwa walio nje ya Tanzania, Stars wataonyeshwa kupitia channel ya BeIn Sports both...
WanaJF,
Serikali kupitia wizara ya ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi imemzawadia Mbwama Samatta kiwanja chenye ukubwa wa mita za mraba 1200 (Lowa Density) chenye thamani ya pesa za kitanzania...
Mwekiti wa kamati ya uchaguzi ya TFF Wakili Aloyce Komba ameamua kujitoa katika kuratibu na kusimamia mchakato wa uchaguzi wa klabu ya Yanga uliopangwa kufanyika tarehe 25 June 2016.
Komba...
Yusuph Manji ambae ni mwenyekiti wa klabu ya Yanga, Leo amejitokeza kuwania nafasi hiyo baada ya muda wa kuongoza kuelekea tamati. Manji amechukua fomu pamoja na makamu mwenyekiti wa sasa, Clement...
Mwenyekiti wa kamati ya uchaguzi ya TFF Wakili Aloyce Komba ameamua kujitoa katika kuratibu na kusimamia mchakato wa uchaguzi wa klabu ya Yanga uliopangwa kufanyika tarehe 25 June 2016 na zaidi...
Mabingwa wa soka wa Tanzania Yanga wamepangiwa kundi A litakalokuwa na timu za TP Mazembe ya Congo, Medeama ya Ghana na Mo Bejaia ya Algeria.
Kundi b litakuwa na timu za Etoile du sahel ya...
Bado sijaelewa vigezo vilivyotumika , kama kuna anayejua zaidi anifahamishe .
Au ni majeruhi ? Maana kama ni kuhusiana na kiwango basi bila shaka huyu kocha atakuwa anaumwa uzee .
Fifa imesema aliyekua raisi wa fifa Sepp blatter pamoja na manaibu wake wawili walijipatia kiasi cha dollar million 80 isivyo halali.Huyu mzee alikua mwizi na ndio maana kila alipotaka kutolewa...
Nimekuona si mara moja ukipata lunch kwenye kihoteli cha wasomali mtaa wa kongo , kariakoo .
Hiki kihoteli kisichokuwa hata na feni achilia mbali a/c si sawa kwa hadhi yako , hakuna haja ya wewe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.