Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limetangaza kesho Mei 27, 2016 kuanza kwa mchakato wa kuchukua fomu za kugombea uongozi katika Klabu ya Young Africans ya Dar es...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
....Jose Mourinho wants Rio Ferdinand as part of his new backroom staff at Manchester United, according to The Telegraph . source. newsnow/man utd kwa hiyo nimejikuta nafutahia tu na kama kweli...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
SIMBA SC ipo katika hatua za mwisho kumsaini mkufunzi, Milovan Curkovic ambaye aliifundisha timu hiyo kwa vipindi viwili (lakini si zaidi ya miaka miwili.) Kwa mara ya kwanza, Mserbia huyo...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Unaweza kujiuliza mara mbili hizi elimu ya humu bwana na kama anaifahamu vyema hadhira yake. Uandishi huu ni aibu kwa Shirikisho la Soka Tanzania.
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Inaungana na wale washindi wawili wa championship league , baada ya kuichapa Sheffied Wednesday katika fainali ya play off iliyopigwa Wembley . Shukran kwa bao kali la Mweusi Diame , kwa shuti...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Pamoja na uongozi wa Free State Stars ya Afrika Kusini kumzuia kiungo wake mshambuliaji, Mrisho Ngassa kumtoa kwa mkopo, nyota huyo amewatoa hofu mashabiki wa Yanga na kuwaambia siku si nyingi...
2 Reactions
23 Replies
10K Views
Kocha Mkuu wa timu ya soka ya Tanzania, Charles Boniface Mkwasa amesema kwamba mchezo ujao kati ya Mapharao wa Misri na Taifa Stars, utakuwa ni fainali ya kuamua taifa litakalofuzu katika fainali...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Hanspope: "safari hii hatutaki wachezaji wa kuokota kijiweni kama Kiiza, hakuwa na timu karibu mwaka mzima yule" ========== BOSI wa kamati ya usajili ya Simba, Zacharia Hanspoppe amewaambia...
4 Reactions
52 Replies
6K Views
1 Reactions
0 Replies
693 Views
Real Madrid imetwaa Kombe la Mabingwa Ulaya kwa mara ya 11 kwa kuwafunga Atletico Madrid penati 5 kwa 3 baada ya dakika 120 kumalizika kwa sare 1-1 huku Atletico wakikosa penati katika dakika ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwa wapenzi wa wwe hii ni week ya burudani iyo n baada ya urejeo wa Seth Rollins baada ya kuumia na kutokuwepo ulingoni kwa takribani miezi 7 na sasa tunagojea mpambano kati ya Seth Vs Roman...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Timu ya Taifa ya Tanzania inatarajia kucheza mechi ya kirafiki na Kenya Huko Nairobi mnamo tarehe 29th May 2016. Uwepo wa mchezo huu tayari umeshathibitishwa na chama cha sola cha kenya na...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Salamu wanajamvi. Ningependa kuchukua nafasi hii kuwashauri sana mashabiki wa Simba. Nahitaji pia wawe makini sana katika hili. LigiKuu ya Tanzania Bara imefika kikomo, na Klabu ya Simba ipo...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Miaka kadhaa iliyopita niliwahi kufanya mahojiano maalum na mchezaji wa simba aitwaye Joji Lukas , pamoja na ukweli kwamba mchezaji huyu hakuwa maarufu sana lakini alikuwa ni muhimu sana , hasa...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Fifa World Ranking 2016 Wanasoka Bora America ya Kusini na ulimwenguni kote" LA ALBICELESTE" ARGENTINA wamerejea katika nafasi yao ya zamani namba-1 Akifuatia BELGIUM-2 CHILE-3 Huku timu yetu...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Kwenye uchambuzi anga za kimataifa na kitaifa nani huwa anachambua kwa ustadi zaidi kati ya Shaffi Dauda, Maestro, Edo Mwembe, Oscar Oscar, Dk Lick, Kitenge?
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Home » Unlabelled » BASI JIPYA LA AZAM LAWASILI...KAMA LA KLABU KUBWA ZA ULAYA Hakuna Afrika nzima; Basi jipya la wachezaji wa klabu ya Azam FC ya Dar es Salaam, lililowasili nchini...
3 Reactions
106 Replies
46K Views
Back
Top Bottom