KUELEKEA KWENYE SHEREHE ZA UBINGWA
YANGA!
---------------------------------------------------
KAMATI YA MAANDALIZI!
-Ulinzi na usalama-Mgambo JKT
-Vinywaji-Azam fc
-Wapishi na...
Yamkini hali si shwari kwa wafanyakazi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) makao makuu yaliyopo Karume, kufuatia kudai mishahara yao ya miezi miwili na nusu.
Tangu kuingia madarakani kwa Jamal...
Hii ni baada ya Roberto Martinez kufungashiwa virago vyake .
Uvumi umekolezwa zaidi baada ya Frank kuachia kiti cha ukocha Ajax Amsterdam .
Ikumbukwe kwamba kwa miaka mingi ndoto ya De Boer...
Ikiwa msimu wa ligi kuu soka nchini Uingereza unakaribia kufikia tamati leo klabu ya Everton iliyopo katika jiji la Liverpool imemfukuza kazi kocha mkuu, Roberto Martinez baada ya kuitumikia timu...
FC Red Bull Salzburg is an Austrian association football club, based in Wals-Siezenheim. Their home ground is the Red Bull Arena. Due to sponsorship restrictions, the club is known as FC Salzburg...
Hadithi imegeuka tena .... Nyoni hakuwa na kadi tatu za njano?! ..Ngoja kwanza nimuombe Mungu azidi kunipa uhai na Movie hii katika soka la bongo nione inaishiaje!!!!!!!!??? Mtanielewa .
Walevi...
Matokeo ya club ya watani zetu yanafanya niamini kuwa wanastahili moja kati ya majina haya
1. Simba KOKO Sc
2. Panya Sc
Kwa takriban nusu muongo sasa wameshindwa kabisa kufurukuta.... Wamebaki...
Nawatakien championship njema huko mnakoenda kwny ligi ya nyas asanten kwa kushirike Epl mkajitahid tukutane tena msimu wa 2017/2018 mkifka muwasalimie Bolton wandara na qpr muwaambie waje...
Olympic inakaribia Je Hakuna Majipu kwenye timu? je ni nani na nani watatuwakilisha na rekodi zao tuwekewe hapa, Tanzania kwanini tunakuja kuwajua mpaka siku ya mwisho? tuwekewe na tupewe vigezo...
Ligi Kuu ya Hispania,maarufu kama La Liga imeendelea kuwadhihirishia wanazi wa soka la EPL na kwingineko kuwa ni ligi bora na yenye ushindani hadi mechi ya mwisho. Ligi zote kubwa Ulaya...
Beki wa kulia wa Simba SC, Hassan Ramadhani Kessy (katikati) akitia dole gumba kwenye fomu za Mkataba wa Yanga kwa kuitumikia klabu hiyo kwa miaka miwili kuanzia mwezi ujao.
Zoezi hilo...
Image captionBasi la Manchester United lilishambuliwa kwa mawe lilipokuwa linaelekea katika uwanja wa Upton Park
Basi la Manchester United lilishambuliwa kwa mawe lilipokuwa linaelekea katika...
LATEST: Simba imepewa amri na FIFA kuhakikisha inalipa deni la Sh64milioni za Mkenya Donald Mosoti ndani ya siku 30 kuanzia leo, vinginevyo itapokonywa pointi na kushushwa daraja.
TFF nayo...
KUNA kila dalili kwamba, huenda vikombe vya mashindano ya mwaka 2016 ya Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho vikaenda kwa timu za Afrika Kaskazini (Magreb) baada ya timu za Kusini mwa...
Habari wakuu,
Leo ni mechi ya ligi kuu Tanzania bara kati ya mabingwa wa Tanzania bara, Yanga(kama rufaa ya Azam itatupwa) dhidi ya timu ya jiji la Mbeya, Mbeya city. Tuwe sote pamoja kujuzana...
Nawapongeza TFF chini ya uongozi wa Rais Malinzi kwa uteuzi wa Katibu Mkuu mpya wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Celestine Mwesigwa.
Ni matarajio ya wanasoka hapa nchini Kuwa Mwesigwa...
There were 32, then 16, then 8, and now there are 4.
Coming up next is championship Sunday. The conference championship games will be played to earn a trip to San Francisco for Super Bowl 50.
So...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.