KOCHA wa timu ya Simba, Jackson Mayanja, amewafunda wachezaji wa Tanzania na kuwataka kujituma wanapokuwa uwanjani ili wapate soko la kimataifa na kufikia hatua kama ya Mbwana Samatta, anayechezea...
Habari wadau.
true basketball fans around the world muda wa kikapu fever umefika...
March madness 2016 ndio yaanza kesho...
brackets zako umezijaza?
Mwaka huu binafsi naipa nafasi university...
MABINGWA wa soka Tanzania Bara, Yanga, wanaonekana katika nafasi kubwa ya kukwea pipa kwenda Misri kuvaana na National Al Ahly katika raundi ya pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika ikiwa wataulinda...
Nimejaribu kufuatilia matangazo ya mpira kupitia TBC radio (inafahamika kama TBC Taifa) na kugundua kuwa mechi zinazo husisha timu za Simba na Yanga tu kwenye VPL hata iwe Kagera basi mechi lazima...
Aliyekua Golikipa wa Simba na Timu ya Taifa ya Uganda (Korongo) Abel Dhaira amebainika kusumbuliwa na saratani ya utumbo mpana (colon cancer) na sasa anaendelea kugangwa kwa dawa (chemotherapy)...
Ni mechi ya raundi ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika, kati ya APR ya Rwanda Vs Yanga Mchezo utapigwa pale Kigali Rwanda kwanzia saa 10 kwa majira ya nyumbani. Kila laheri watani zangu wa...
Habari zenu wanajamvi.
Ningependa kuuliza kwa anayejua juu ya football academy zilizopo hapa Tanzania. Je zipo ngapi,gharama na requirements za kuwachukua wanafunzi.Je zina ufanisi?
Asanteni.
[''maandalizi yoote yamekamilika, data za uhakika zimepatikana, history na mambo muhimu yoote yameshakusanywa, hivyo tunasubiri muda uliopangwa ili tuweze kuirusha hewani na wadau mpate kuifahamu...
Yanga na Simba mwaka 1974 Uwanja wa Nyamagana Mwanza.
Mechi ya Yanga na Simba ambayo itakumbukwa kwa simulizi zake za kusisimua ni ile ilochezwa uwanja wa Nyamagana mkoani mwanza mwaka 1974...
MABINGWA wa soka Tanzania Bara, Yanga, watapambana na mabingwa wa Rwanda, Armée Patriotique Rwandaise (APR), katika raundi ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kufuzu raundi ya awali kwa...
Azam mdhamini wa ligi... Azam mdhamini wa Kombe la shirikisho..... Azam anahairishiwa mechi akashiriki bonanza Zambia Hii haipo popote duniani.... Kama sio kupanga matokeo ni nini wanatufuta...
Gunter Benko-Mech kali ya kombe la ulaya kati ya ufaransa ya kina zizzou na ureno ya kina figo ananyoosha mkono ktk dakika za majeruhi kuashiria penalti dhidi ya ureno baada ya mlinz wa ureno abel...
Super Sunday. Ni Mnyama Vs Wagonga nyundo wa Mbeya pale Uwanja wa Taifa, Simba S.C inashuka dimbani kusaka ushindi ili kupanda Kileleni mwa Msimamo baada ya jana Vibonde wawili kutoa suluhu ya...
MABINGWA wa soka Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, wameondoka leo Jumatano Machi 9, 2016 kwenda Afrika Kusini huku mabingwa wa Tanzania Bara, Yanga, nao wakitarajiwa kuondoka Alhamisi Machi 10...
Hili jambo limekuwa likinitatiza kidogo.utasikia fifa imetoa kiasi fulani kuendeleza soka nchi fulani au kusaidia ujenzi wa uwanja nk.je wana mradi gani?au chanzo chao cha mapato ni kipi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.