Linex - Kwa Hela (Official Video)
Msanii wa Tanzania Linex ameachia wimbo mpya unaitwa “Kwa Hela” ambao umetaarishwa na Producer Ema The Boy, Wimbo huu imepangiliwa kwa ustadi wa hali ya juu...
Hemed Kivuyo kwanza style yako ya utangazaji ya kuanza na SIMULIZI ZISIZOELEWEKA kwa wengi ni kama unatwanga maji kwenye kinu.
Pili, umeshindwa kuficha unazi wako ktk matangazo yako na kwa kigezo...
Dakika kumi zijazo mechi hiyo ya CECAFA (kati ya Tanzania na Kenya) itaanza kuchezwa uwanja wa Taifa wa zamani. Tutawaletea live show (via texts) hapa hapa.
Ahsante
Arsenal aliishinda kwa taabu Lecester City wiki ilopita japo wale madogo walikua pungufu,Mancity amepigwa kirahisi mechi 2 mfululizo,Bingwa wenu bado anaburuzwa kwenye msimamo wa ligi yenu,Chelsea...
Pengine rekodi zifuatazo zinaweza zikawapa hasira zaidi mashabiki wa ‘Mnyama’ na hata kuwataka Viongozi wao kuhakikisha kuwa wanafanya kila linalowezekana ili timu yao hiyo iwe bingwa wa VPL...
Ndugu wajuzi wa mpira au watu mnao fuatilia masuala ya mpira, hivi nikweli kuwa ligi kuu ya uingreza wana tumia mpira mmoja tu kwa mechi? Kwamba mpira ukitoka nnje unasubiriwa huo huo hadi...
Jisomee mwenyewe, mii nimeitoa kule!
Be afraid, famous people. Be very, very afraid.
When Aaron Ramsey scores for Arsenal ,
celebrity lives are in danger.
After the Welsh midfielder scored the...
Kibao kikali Collabo ya Active (Rwanda) ft Barnaba Classic (Tanzania) song : Amafayeri
Amafiyeri by Active ft Barnaba(Official audio 2016)
Source: AFRIFAME
Wadau wa michezo na wafuatiliaji wa ligi yetu vpl ni wazi wanajua nini kinaendelea j mosi ni siku ya kuanza kutabiri japo kwa asilimia 48 nani atakua bingwa 2015/2016 kule mchangani mtanisamehe...
Robo Fainali ya michuano ya Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation Cup) inatarajiwa kuchezwa wikiendi ya mwisho wa mwezi Machi mwaka huu, huku timu nane zikichuana kusaka nafasi ya kuingia...
Wakuu habarini!
Tanzania katika mpira wa miguu tuna Timu za taifa kadhaa,ikiwemo Taifa stars,Twiga stars kwa upande wa wanawake na vijana chini ya miaka 21
Katika timu ya Twiga stars kuna kitu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.