Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Ligi kuu tanzania bara kati ya Yanga na ndanda FC. 58' Mins | Yanga 0 - 0 Ndanda FC 79' Mins | Yanga 1 - 0 Ndanda FC Kelvin Yondani 60' Mins ( Yanga) 81' Mins | Yanga 1 - 0 Ndanda FC Kelvin...
1 Reactions
35 Replies
3K Views
Hizi timu ziko kiu shabiki tu na si ki-maendeleo,tupate timu zenye muelekeo wa mfano mzuri ni Tp Mazembe au kwa hapa tz Azam,bila ya hivyo tutasubiri sana...wataishia kuuza na kumaliza viwango...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
VUTA nikuvute ya muda mrefu kati ya mmiliki wa klabu ya TP Mazembe, Moise Katumbi na Mbwana Samatta imemalizika jana Ijumaa baada ya mmiliki huyo kukubali mshambuliaji wake kuondoka kwenda...
4 Reactions
20 Replies
5K Views
Habari zilizonifikia punde kutoka jikoni zinasema kwamba lile sakata la fundi Niyonzima limemalizika na rasmi amerudi kundini na leo atazungumza na wanachama wa Yanga na mashabiki kupitia vyombo...
0 Reactions
6 Replies
9K Views
FT: Simba SC 1 Mtibwa Sugar 1 Mfungaji; Hamisi Kiiza akiunganisha krosi safi ya Tshabalala kutoka kushoto. Kwa taarifa zaidi: LIVE KUTOKA TAIFA: SIMBA 1 VS MTIBWA SUGAR 0 (FULL TIME) - SALEH...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
IBRAHIM AJIB, WEWE NI NANI NA NI YUPI? Hakuna siku ambayo dunia imewahi kushuhudia mvua ya maua waridi, lakini kwa sababu ni moja ya maua yanayohitajika sana namna pekee ya kuendeleza...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
“NINAFIKIRI miaka 10 niliyoitumikia timu ya Taifa Stars inatosha kiukweli na huu ni muda wangu sahihi wa mimi kustaafu kuichezea timu hiyo. “Acha niwaachie vijana wengine wanaochipukia waje...
5 Reactions
62 Replies
17K Views
Kama kawaida ya mambumbumbu Coach katolewa kafara,Coach ametuaga huko Twitter. ===================== Kwa masikitiko makubwa klabu ya Simba inawaarifu umma kupitia vyombo vya habari.uamuzi wake...
1 Reactions
48 Replies
8K Views
Tunashuhudia kiungo wa simba Justice Majabvi akigoma kuelekea Mwanza kwa ajili ya mchezo dhidi ya Toto Africa, sababu kubwa ni Majabvi kutotimiziwa haki zake kama mchezaji wa kulipwa hasa kupatiwa...
0 Reactions
46 Replies
6K Views
MCHEZAJI wa Simba, Joseph Kimwaga leo alikusudia kuvunja mkataba na klabu hiyo kwa kile alichodai kuwa hawezi kuvumilia tabia za ubaguzi zinazoendelea ndani ya timu hiyo lakini viongozi wake...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Karibuni wanamichezo tujuzane kinachojiri katika Kombe la Mapinduzi. Michuano imeanza leo 3/1/2016 mpaka 13/1/2016. Mechi zinaonyeshwa Live kupitia Azam Two na ZBC two...
0 Reactions
434 Replies
46K Views
Kwa kifupi ninaungana na Watanzania au Manaafrika Mashariki wengi wanaompongeza mcheza kandanda Mbwana Samatta kwa mafanikio aliyoyafikia na kumuombea apate zaidi ya hayo. Langu kubwa ni hili...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wapendwa wanajukwaa na watanzania kwa ujumla, ni dhahiri kwamba sote tunapenda kuona nchi yetu ikisonga mbele kitaifa na kimataifa katika michezo na sanaa mbalimbali. Tumeshuhudia baadhi ya vijana...
1 Reactions
29 Replies
5K Views
Ukistaajabu ya Samatta utayaona ya Mkwasa Ni takribani wiki moja sasa tangu mshambuliaji wa timu ya taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' na klabu ya TP Mazembe, Mbwana Samatta ashinde tuzo ya mchezaji...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu, tokea timu hii ilipoanzishwa nilikuwa na matarajio ya kututoa majonzi Watanzania kwamba tumepata mkombozi katika soka. Hatukukaa kimya kwani tumekuwa tukiwashauri wasikumbwe na ugonjwa wa...
0 Reactions
0 Replies
738 Views
Kwa wafuatiliaji wa mpira wa bongo, wanatambua kuwa Mtibwa Sugar ni moja kati ya timu imara na zenye uzoefu wa kutosha ktk ligi. Aidha imetwaa ubingwa mara kadhaa na kuibua wachezaji bora sana ktk...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
No pressure on Kenya Sevens as they build towards the Olympics says coach Benjamin Ayimba Nairobi — After silencing critics with a breathtaking performance in Cape Town 7s, Kenya Sevens head...
1 Reactions
0 Replies
959 Views
Mshirikishe mwenzako Image copyrightGETTY Image captionLiverpool walisawazisha dakika ya 90 Majogoo wa Anfield Liverpool wakiwa katika dimba lao walifunga bao la dakika za mwisho na kulazimisha...
0 Reactions
0 Replies
998 Views
Back
Top Bottom