Jedwali la msimamo wa ligi ya EPL kufikia 14 Januari, 2016.
Nambari Klabu Mechi Mabao Alama
1 Arsenal 21 16 43
2 Leicester 21 13 43
3 Man City 21 18 40
4 Tottenham 21 17 36
5 West Ham 21 9 35
6...
Saa moja iliyopita
Mshirikishe mwenzako
Image copyrightGetty
Image captionElneny anaweza kuchezea Arsenal dhidi ya Stoke Jumapili
Meneja wa Arsenal Arsene Wenger amethibitisha kwamba klabu hiyo...
Aliyofanya huyu jamaa uenda ikachukua vizazi kadhaa kuyafikia. Ni muhimu kuweka na alama ya kudumu kama kumbukmbu yake.
Siku za nyuma wanamichezo waliopata mafanikio makubwa waliwekwa kwenye...
Uingereza yapendekeza kufutwa rekodi za riadha
Shirikisho la riadha la Uingereza limependekeza kuwa rekodi zote zilizowekwa katika mchezo huo zibadilishwe upya ili kusaidia mwanzo mpya...
Mshirikishe mwenzako
Image copyrightPA
Image captionVan Gaal hakufurahishwa na uamuzi wa refa kuwapa Newcastle penalti
Meneja wa Manchester United Louis van Gaal amesema klabu yake ilikuwa na...
Wakuu wote na wapenda soka kwa ujumla kwa mara nyengine tena leo tutashuhudia ni nani ataestahiki kuchukua tuzo ya mchezaji bora wa dunia tuzo ambayo inajulikana kwa jina la ballon d'or tuzo hii...
Meneja wa Liverpool, Jurgen Klopp, amemuonya Pep Guardiola kuwa changamoto kuu atakayokumbana nayo katika ligi kuu ya Uingereza, ni wingi wa mechi wanazocheza.
Guardiola, 44, ambaye anaihama...
Mshirikishe mwenzako
Image copyrightPA
Image captionGeorginio Wijnaldum alifungia Newcastle bao la kwanza
Newcastle United wakicheza katika dimba lao la St James Park wamekwenda sare ya kufunga...
13 Januari 2016
Mshirikishe mwenzako
Image copyrightGetty
Image captionPierre-Emerick Aubemeyang
Kilabu ya Ujerumani Borussia Dortmund imemaliza uvumi kwamba mshambuliaji wa Gabon Pierre-Emerick...
Dogo Samatta, nenda tu France baba, mwaka mmoja ukigonga fresh unaibukia emirates kwa Wenger, Belgium unaenda kupoteza muda kama Mbokani, si alikuwa juu zaidi yako?
======================...
By Philipp Lahm
Jan 12, 2016
In his latest exclusive column for Goal, the Bayern Munich defender says Lionel Messi deserved to win his fifth title but suggests a format change for the future...
Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) iliyokutana Disemba 15 mwaka jana, imeiagiza klabu ya Etoile du Sahel ya Tunisia kuilipa Simba SC ya Tanzania pesa za uhamisho wa...
REKODI YA DYLAN KERR SIMBA SC;
Jumla ya Mechi; 30
Mechi alizoshinda; 19
Mechi alizofungwa; 5
Mechi alizotoa sare; 6
MATOKEO YA MECHI ZA SIMBA SC CHINI KERR;
Simba SC 2-1 Zanzibar Kombaini...
Kumekuwa na kawaida ya watu kualikwa ikulu hasa wanapo kuwa wamepewa tuzo au wamepata ushindi fulani..
Ni jambo zuri na linatia moyo,Wote tunajua Samatta kapata tuzo ya uchezaji bora Afrika kwa...
Mbwana Samatta alivyopokelewa leo jijini Dar
Mwanasoka Bora wa Afrika, Mtanzania, Mbwana Samatta akikatisha katika jiji la Dar leo kuanzia Hoteli ya Hyatt Regency Kempinsk mpaka Escape One...
Droo ya raundi ya nne ya michuano ya kombe la Fa imetoka huku timu za ligi kuu ya England zikipangwa na zile za daraja la chini.
Arsenal, ambao ni mabingwa watetezi wao wamepangwa kukipiga na...
Mkufunzi wa kilabu ya Manchester United Louis Van Gaal amesema kuwa amechoshwa na baadhi ya mechi za timu yake msimu huu.
''Kuna mechi ambazo hata mie nimezifurahia'',alisema raia huyo wa...
Sijui kwa sababu walitutawala au ni lipi?
Yaani tunamdomo kama waingeleza
Mchezaji wa kingeleza akifanya kitu kidogo promo anayopewa utadhani hakuna zaidi yake!
Angalia bei zao zilivyo! Kufuru...
Alain Mulumba & Totoo Ze Bingwa - My Life
Director /Producer : Bonavida Brothers / Joe Studio
Source: Totoo Ze Bingwa Youtube
Location: Dar-es-Salaam , Tanzania
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.