Huu ni mtandao unaomilikiwa na NBC TV network na ni unaoheshimika duniani kwa habari zao za uhakika,
lakini nimeshindwa kuyaamini macho yangu wakati nasoma habari zao kuhusu African player of the...
Nimeamua kuandika walau kwa uchache baada ya kuona na kufuatilia nidhamu ya Kapteni wa timu ya Azam FC, John Boko tangu alipokumbwa na tukio la kudhalilishwa na Juma Nyoso wa Mbeya City.
Boko...
Katika muendelezo wa Mapinduzi Cup leo usiku Mtibwa inakutana Yanga.Nichukua fursa hii kuwatakia ushindi mkubwa Mtibwa Sugar.Nitoe onyo kali kwa marefa ambao wamekuwa wakilalamikiwa kuibeba...
Kutokana na kwamba wengi wetu leo tunajua kuwa Mchezaji wetu anayecheza soka la kulipwa katika klabu ya Tout Puisant Mazembe Mbwana Samata " POPA " leo atateuliwa kuwa Mchezaji bora huko nchini...
Nimekua nikifuatilia sana hizi zinazoitwa dakika za nyongeza
sioni uhalisia wake maana mpira unakufa muda mwingi sana lkn dk zinakua chache
natambua [rerogative ya refarii kwa sasa lkn sidha i...
ILI SOKA LIKUE INABIDI TUWAPE RUHUSA MATAJIRI KUWEKEZA KATIKA SOKA HASA KATIKA CLUB KAMA WALIVYOWENZETU NAIMBA SERIKALI IACHANE NA MASUALA YA KUJIHUSISHA NA SOKA IWAACHIE WATU BINAFSI TOA MAONI...
Kiambatanisho cha nakala ya mkataba wa Haruna Niyonzima kipengele cha kuvunja mkataba kama kinavyosemeka.
Kwa sababu walizozitoa Yanga na mkataba unavyosomeka, je wako sawa?
Au walikurupuka ndio...
Mcheza kriketi maarufu wa West Indian amelambwa faini ya pauni 4,900 (zaidi ya Sh million 15) katakana na kitendo chake cha kuomba ‘mtoko’ kwa mtangazaji wa like wakati akihojiwa.
Chris Gayle...
nimesoma habari hizi kwa jamaa mmoja kuwa Mo Dewj kama alivyosema before yupo tayari kuichukua Simba na tatizo limebaki kwa Hans Pop kwa maana ya kuwa wengine wote wapo tayari au wamekubaliana na...
Rafael Benitez amefukuzwa kazi kama meneja wa Real Madrid, miezi saba tu baada ya kupewa kazi hiyo Bernabeu. Benitez, 55, aliondolewa kufuatia mkutano wa bodi ya klabu hiyo siku ya Jumatatu. Kocha...
Tukio la kukataa kuuza hisa zao kwa Mo Dewj kwa madai kuwa Club ni kubwa sana sijajua walitumia mchanganuo gani kuona kuwa Bil 20 kwa Simba ni chache.Walipaswa kuangalia kwa miaka 10 team...
NA MOODY KABWE
Yale aliokuwa anayasema mwenyekiti wa YANGA AFRICA BW YUSUFU MANJI
Nimeaza kuyaona leo nlikuwa natazama mpira kati ya MTIBWA SUKARI vs AZAMFC MAARUFU MAKONTENA FC
Kiukweli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.